Mbatia Ashambulia Upinzani Tanzania

Greenwhich

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
1,337
968
Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia amewashambulia viongozi wa upinzani kwa kuchochea mgogoro wa Gesi katika mikoa ya kusini.Mbatia amesema viongozi hao si wazalendo na ni wababaishaji wakubwa.

IMG-20130102-00126_cdd25.jpg
 
Mwehu kweli huyo!,kwa hiyo yeye kwa akili yake fupi anadhani kuwa madai ya wanamtwara si ya msingi na sahihi,waache wadai rasilimali yao kwa manufaa yao na wengine baadae
 
analipa fadhila, yale yale akili za akina Mrema, Cheyo n.k
it's still load............, oooops!network error try again later.
 
Kwa hiyo mtu akidai haki/akisema ukweli ni uchochez wa CHADEMA!
 
Huo ndiyo ubaya wa utumwa, kapewa ubunge wa kuteuliwa basi amekuwa mtumwa wa mawazo REMOTE asimuuzi aliyemteua. ndo maana hana budi kutetea mdomoni moyoni akitambua ni dhulma.
 
Huyu sijui bado anaendeleza kale kamchezo ka kibaha secondary?
 
Hence there are two Chademas...mathematically they are going to be cancelled,and remained NCCR=CCM Since NCCR=MBATIA then MBATIA=CCM!haha ha ha ha!ha ha!nimejibu kingwini zaidi
NCCR + CHADEMA = CCM + CHADEMA

Given: NCCR = MBATIA

Find MBATIA
 
Tatizo hata gazeti hili likimlisha maneno Mbatia, hawezi kukanusha kwa sababu ambazo ziko wazi kuwa kapata ubunge kutokana na huruma ya Mwenyekiti wa chama kinachomiliki gazeti hilo

haswaa, mi mwenyewe nashangaa alikoongelea, uhuru! ni gazeti kongwe lenye waumini wachache wa mrengo mmoja. nikishajuaga tu habari hii imetokea wapi kwishney, siumizi kichwa
 
Nilimsikiliza james mbatia wakati anaongea mbatia alikuwa anawaunga mkono wana mtwara kuwa ni lazima gesi ibadilishe maisha ya wana mtwara kwanza, sasa hili gazeti vipi tena.
 
Back
Top Bottom