TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,046
NCCR + CHADEMA = CCM + CHADEMA
Given: NCCR = MBATIA
Find MBATIA
By using substitutiom method,MBATIA=0
NCCR + CHADEMA = CCM + CHADEMA
Given: NCCR = MBATIA
Find MBATIA
NCCR + CHADEMA = CCM + CHADEMA
Given: NCCR = MBATIA
Find MBATIA
Huyu sijui bado anaendeleza kale kamchezo ka kibaha secondary?
the answer is mbati = ccm + chadema-chademanccr + chadema = ccm + chadema
given: Nccr = mbatia
find mbatia
NCCR + CHADEMA = CCM + CHADEMA
Given: NCCR = MBATIA
Find MBATIA
unaona mkuu, kwanza sijajua kigezo gani kilitumika kumzawadia ubunge huku akiwa chama cha upinzani.Huyu sijui bado anaendeleza kale kamchezo ka kibaha secondary?
Kibaraka wa mzee wa msogah hajaacha taarabu za vidole vitatu tu, waliomteua watamsumbua sana tena nasikia anapewa maagizo kwa msg halafu na mhariri wa uhuru anaambiwa shika kalamuMwenyekiti wa NCCR James Mbatia amewashambulia viongozi wa upinzani kwa kuchochea mgogoro wa Gesi katika mikoa ya kusini.Mbatia amesema viongozi hao si wazalendo na ni wababaishaji wakubwa.![]()
Kwani ulikuwa hujui? Angepewaje ubunge wa viti maalum n'a JK kama yeye siyo CCM damu??!!Hivi kumbe Mbatia naye ni CCM?
Heee...kamchezo gani tena hako? Hebu tufafanulieHuyu sijui bado anaendeleza kale kamchezo ka kibaha secondary?