Mbatia Ashambulia Upinzani Tanzania

Mbatia Ashambulia Upinzani Tanzania

Mdee uko wapi umthibiti huyu jamaa???naona ameanza kufurukuta baada ya kupata viti maalumu!!
 
Wanao mponda Mbatia nikama akili zao ni 0.01 KB. Hebu tafakari mawazo yao hapo juu.
 
Tunaposema uharibifu wa mazingira ni tatizo kubwa linaloikabaili dunia yetu kwa sasa, hilo gazeti hapo ni mfano hai.

Maanake halifai hata kufungia viGwangala.
 
Huyu Mbatia ni njaa zinazomsumbua hana hata chembe ya uzalendo,kabla ya kupewa ubunge wa kuteuliwa si alikuwa anavaa tshirt sasa leo kuvaa suti ndo amekuwa mzalendo
 
mbatia huwa simuelewi kabisa, hivi ana matatizo gani huyu?
 
NCCR + CHADEMA = CCM + CHADEMA

Given: NCCR = MBATIA

Find MBATIA

du mkuu ingawa namba nilipata d hili swali najibu. jibu ni mbatia ni nccr wakati huo huo yuko ccm.
 
Kitendo cha kuandikwa tu kwenye gazeti la Uhuru ni ushahidi tosha wa u-chama wa mwandikwa.Hivyobasi,James Mbatia ana mahaba na CCM
 
We ukiona mwanaume anapewa ubunge wa viti maalumu unategemea nini?
 
Hili jamaa ni boga kweli nilikuwa nalo chuo kabla halijafukuzwa, hivi mwanaume mzima utapewaje viti maalumu ambavyo vinatolewa kwa wanawake kwa sababu ya ushindani, wewe kwa tabia hizi za kishoga utapaje heshima maskini, very stupid man lione limeenda kujaza nafasi za watanzani kule badala ya wanaostahili, sasa huyu ndio alitaka kuwa mbunge wangu mimi huku kawe, asante halima kwa kumshughulikia
 
Gazeti lenyewe Uhuru, kwanza hata msingelileta hapa, nina hakika hii habari isingejulikana! Umbea tu hawa Uhuru!
 
Hii ni kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania

[h=2]Neema ya gesi yageuka ‘laana’ - JAMES MBATIA [/h]Jumatano, Januari 02, 2013 05:22 Happy Severine, Mtwara

[TABLE="class: contenttoc"]
[TR]
[TH]Sura za Habari Hii[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Neema ya gesi yageuka ‘laana’ [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]JAMES MBATIA [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Habari Yote [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kurasa 2 kati ya 2
JAMES MBATIA
Naye, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, alisema anaungana na wananchi wa Mtwara, kupinga gesi hiyo kusafirishwa kwenda Dar es Salaam.

Alisema maandamano hayo ni matokeo ya viongozi kushindwa kufikiri na kuwashirikisha wananchi namna watakavyonufaika kama wazawa wa mikoa hiyo.

“Kwanza niseme, wananchi wa Mtwara wana hoja, ile gesi ni nyingi sana kwa Tanzania tutaitumia kwa miaka 120, lakini nchi kama Uingereza ambayo ina mahitaji makubwa itatumika kwa miaka 80.

“Nashauri ni vema Serikali ikafanyia kazi hoja zilizotolewa, vinginevyo kila mkoa ulio na rasilimali kama hizo na nyingine wananchi wataibuka na kusema ni mali zao, hapo ndipo sasa vurugu na vipande vya nchi vitakapogawanyika,” alisema.
 
Na kwa taarifa ya wasiojua, aliyewambia wanamtwara wagombe ni Mbatia. Mmwagieni tu matusi kwa kufuata upotoshaji wa gazeti la uhuru, lakini historia itasema ukweli.
Soma ushahidi huu, wa alichosema akiwa huko huko Mtwara, miezi takriban tisa kabla ya wanamtwara kuandamana

Msikubali gesi kupelekwa Dar, asema Mbatia

Thursday, March 8, 2012

MWENYEKITI wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia amewataka wananchi wa Mkoa wa Mtwara, wasiruhusu gesi inayozalishwa mkoani humo, kusafirishwa kwenda Dar es Salaam na maeneo mengine ya nchi kabla ya hawajanufaika nayo. Wito huo unakuja wakati Serikali imeshaamua kujenga bomba kwa ajili ya kusafirishia gesi kutoka Msimbati, nje kidogo ya mji wa Mtwara kwenda Dar es Salaam, ukiwa ni mkakati wa kupunguza tatizo la umeme linaloikabili taifa. Hata hivyo baadhi ya wanasiasa wa upinzani, wanaupinga mpango huo.Tayari viongozi wa CUF mkoani humu, wameshatangaza azma ya kupinga uamuzi huo kwa maandamano na kuhujumu mradi huo. Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Uwanja wa Soko Kuu la mjini Mtwara, Mbatia alisema watu wa Mtwara lazima watumie uwezo wao kupinga mpango huo wa Serikali vinginevyo, wataendelea kuwa maskini. "Lazima mseme hapana tena kwa hasira kubwa, msiruhusu gesi hii kwenda Dar es Salaam kabla ya kuwanuisha wenye rasilimali," alisema Mbatia huku akishangiliwa na umati wa watu. Akizungumzia hali ya maisha, mwenyekiti huyo alisema wakati taifa linajiandaa kufanya tathimini ya utekelezaji wa malengo nane ya maendeleo, Mkoa wa Mtwara umevuka kiwango cha umaskini na kufikia kiwango cha ufukara. "Wakati maeneo mengine wakisonga mbele kupunguza umaskini, Mtwara kiwango cha umaskini kimekithiri na kuvuka mipaka na sasa ni ufukara," alisema Mbatia huku akiungwa mkono na wananchi. Katika mkutano huo Mbatia alimpokea mwanachama mpya, Uledi Abdallah aliyekuwa mgombea ubunge wa Mtwara Mjini, kupitia CUF mwaka 2010 kabla ya kujiondoa uanachama wiki mbili zilizopita. Akizungumza katika mkutano huo Uledi ambaye muda wote alikuwa akishangiliwa alisema baada ya kupitia sera za vyama vyote vya siasa nchini amejiridhisha kuwa NCCR-Mageuzi ndicho chama chenye mwelekeo wa kuwakomboa watu wa Mtwara.



Chanzo - Mwananchi
 
Back
Top Bottom