Mbatia Ashambulia Upinzani Tanzania

Mbatia Ashambulia Upinzani Tanzania

Na hivi ndivyo alivyonukuliwa na waandishi wengine
JAMES MBATIA AMPINGA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA MUHONGO KUHUSU UVUNAJI WA GESI MTWARA [h=3]JAMES MBATIA AMPINGA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA MUHONGO KUHUSU UVUNAJI WA GESI MTWARA[/h]

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha NCCR-Mageuzi James Mbatia (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kwa umma wa watanzania kuhusu mtazamo wake wa mgawo wa rasilimali za taifa na hali ya uchumi wa taifa la Tanzania. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Ulinzi na Usalama wa Chama hicho Sebasitian Thomas. (Picha habari na www.mwaibale.blogspot.com)



Na Dotto Mwaibale


WENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameipinga kauli iliyotewa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ya kuwa wananchi wa mkoa wa Mtwara walishirikishwa katika mchakato wa uvunaji wa gesi badala yake ameitaka Serikali kutumia busara kuongea na wananchi hao ili kutatua mgogoro wa usafirishaji gesi hiyo asilia kutoka Mkoani Mtwara humo kwenda jijini Dar es salaam.


Mbatia alitoa kauli hiyo leo jijini Dar es salaam, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mgogoro huo ulioibuliwa hivi karibuni na wakazi wa Mkoa wa Mtwara waliopinga usafirishaji huo wa gesi kutoka mkoani mwao.


Mbatia ambaye pia ni Mbunge, alisema kwamba Serikali haipaswi kuwabeza wananchi hao kwa kitendo cha kuandamana, kwakuwa hiyo ilikuwa haki yao na wanastahili kupewa ufafanuzi wa rasilimali hiyo.


Alisema kuwa watanzania wa karne ya sasa, hawafai kuulizwa na watawala kuwa wanataka nini, bali ni swala la watawala na wananchi kukaa na kushirikiana kwa pamoja hili kufahamu namna ya kutatua changamoto mbalimbali na kutafuta ufumbuzi.


Alifafanua kuwa maandamano na madai ya wananchi wa Mtwara, yamedhihirisha ni kwa namna gani watu wamepata uamuko wa kutaka kutambua faida ya rasilimali walizo nazo.


Mbatia alisema kwamba kinachoteokea hivi sasa ni matokeo ya mfumo mbovu ambao haukuwa shirikishi, uliowafanya wananchi kutofahamu namna ya matumizi ya rasilimali katika nchi yao.


"Toka awali kulijengeka dhana ya kutokuwa na ushirikishaji wa wananchi katika maendeleo kupitia rasilimali, kinachotokea sasa wananchi wamepata ufahamu na wanapaswa kusikilizwa kwakuwa wana uelewa na wanahitaji kufahamu juu ya mali zao"alisema Mbatia


Aliongeza kuwa Serikali inapaswa kufurahia kuwa wananchi kwasasa wanajitambua, na kwamba wapo tayari kushirkiana na Serikali yao katika kuendeleza uchumi wa nchi hii.​

You might also like:
 
kutoka angle nyingine
[h=3]Gas city: Mbunge kufa na wananchi kuzuia gesi kupelekwa Dar, Mbatia afunguka[/h]


Suala la gesi asilia inayopatikana katika mkoa wa Mtwara, limechukua sura mpya baada ya Mbunge wa jimbo la Mtwara Mjini kupitia CCM, Asnen Murj kusema kuwa, yupo tayari kufa au kupona kwa ajili ya kutetea maslahi ya wananchi wa Mkoa wa Mtwara, wanaopinga kitendo cha Serikali kusafirisha gesi hiyo kutoka Mtwara hadi jijini Dar es Salaam.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mbunge wa jimbo la Mtwara Mjini Asnen Murj[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Murji ametoa msimamo huo katika mkutano maalumu uliohudhuriwa viongozi wa umoja wa vyama vya siasa na wananchi uliofanyika katika ukumbi wa Pentekosti mjini Mtwara na kusema kuwa, anaunga mkono uamuzi uliofanywa na umoja wa vyama vya siasa mkoani Mtwara, kuandaa maandamano ya amani kupinga kusafirishwa gesi hiyo.

Aidha, Murj amesema kuwa, anapongeza kitendo hicho, kwa vile kimedhihirisha wananchi wa Mtwara, hawaungi mkono suala la Serikali kusafirisha gesi bila kuwapo na sheria maalumu ya kuwanufaisha na kuongeza kuwa, anashangazwa na kitendo cha Serikali kutangaza kusafirisha gesi, wakati hata rasimu ambayo imeandaliwa kuhusu gesi haioneshi wananchi watanufaika vipi.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi James Mbatia[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Amesema kuwa, anasikitishwa na kauli chafu na kejeli zilizotolewa na Mkuu wa Mkoa, Kanali mstaafu Joseph Simbakalia, kwa kuwaita wananchi wapuuzi.
Juma lililopita mamia ya wananchi wa Mtwara, wameandamana kwa amani kupinga kitendo hicho, huku Mkuu wa Mkoa huo, Kanali mstaafu Simbakalia akibeza maandamano hayo akidai kuwa, hayana tija kwa taifa.

Wakati huo huo, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amesema kuwa, anaungana na wananchi wa Mtwara, kupinga gesi hiyo kusafirishwa kwenda jijini Dar es Salaam kusema kuwa, maandamano hayo ni matokeo ya viongozi kushindwa kufikiri na kuwashirikisha wananchi namna watakavyonufaika kama wazawa wa mikoa hiyo.
 
- tick

We mkaliiii! lazima umesoma hesabu vizuri maana umegusa kila hatua alafu mwisho ukatoa conclusion!!! umepata 100%

wewe na mkuu kasimba nyote hesabu mnajua mmepata 100 kwa 100=hongera zenu
 
James Mbatia leo amepata nafasi ya uenyekiti wa NCCR mageuzi (chama mshirika wa CCM).

NCCR kimewahi kujichanganya na watu kama Augustine Mrema, James Lamwai, Mabere Marandu na maofisa wote waandamizi wa Idara ya Usalama Tanzania ambao hawajapata kutokea.

Nakumbuka mwaka 1992 James akiwa mwaka wa tatu au wa pili pale mlimani alikuwa ni mmoja wa viongozi wa mgomo wa wanafunzi wa chuo hicho wakati ule na akafanikiwa kwa kiasi kikubwa kuongoza mgomo ule.

Lakini James Mbatia na wenzake walipoingizwa kwenye karandinga la FFU na wenzie huku wakipata kichapo cha uhakika na baadae kujeruhiwa vibaya waliona hakuna haja ya kugoma na wakawa watii wa amri hadi leo.

Baada ya tukio lile hadi leo sishangai kumsikia anatoa kauli za undumilakuwili, akitumia gazeti la CCM chama mshirika wa NCCR.
 
huyu mzee ana kamchezo fulani hivi halafu bado kwenye pub wanamsifia kwa hako kamchezo kake, nimeamini ubunge wa viti maalumu haupewi bure lazima ushughulike, heri yake uchumi anao mwenyewe siku akiondoka duniani anaondoka nao, heko zake,
 
James Mbatia leo amepata nafasi ya uenyekiti wa NCCR mageuzi (chama mshirika wa CCM).

NCCR kimewahi kujichanganya na watu kama Augustine Mrema, James Lamwai, Mabere Marandu na maofisa wote waandamizi wa Idara ya Usalama Tanzania ambao hawajapata kutokea.

Nakumbuka mwaka 1992 James akiwa mwaka wa tatu au wa pili pale mlimani alikuwa ni mmoja wa viongozi wa mgomo wa wanafunzi wa chuo hicho wakati ule na akafanikiwa kwa kiasi kikubwa kuongoza mgomo ule.

Lakini James Mbatia na wenzake walipoingizwa kwenye karandinga la FFU na wenzie huku wakipata kichapo cha uhakika na baadae kujeruhiwa vibaya waliona hakuna haja ya kugoma na wakawa watii wa amri hadi leo.

Baada ya tukio lile hadi leo sishangai kumsikia anatoa kauli za undumilakuwili, akitumia gazeti la CCM chama mshirika wa NCCR.

Mwambieni mleta mada aweke full story iliyoandikwa katika hilo gazeti. Someni pia magazeti mengine yamemnukuu vipi. Tatizo kuu hapa JF ni ushabiki wa vyama ambao unafanya baadhi ya watu waone kuwa kuwachafua wenzao kwa kila njia ndio mafanikio ya chama chao.
 
Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia amewashambulia viongozi wa upinzani kwa kuchochea mgogoro wa Gesi katika mikoa ya kusini.Mbatia amesema viongozi hao si wazalendo na ni wababaishaji wakubwa.

IMG-20130102-00126_cdd25.jpg

Greenwhich,
Kwa nini umepotosha umma?
 
Leo ndiyo nimeamini kweli Mbatia alisema haya yaliyoandikwa kwenye uhuru baada ya leo kupigwa mawe huko Mtwara..
 
Hili jamaa ni boga kweli nilikuwa nalo chuo kabla halijafukuzwa, hivi mwanaume mzima utapewaje viti maalumu ambavyo vinatolewa kwa wanawake kwa sababu ya ushindani, wewe kwa tabia hizi za kishoga utapaje heshima maskini, very stupid man lione limeenda kujaza nafasi za watanzani kule badala ya wanaostahili, sasa huyu ndio alitaka kuwa mbunge wangu mimi huku kawe, asante halima kwa kumshughulikia

Kuna habari za kuaminika kuwa Mbatia ni shoga!

Ukijaribu kufuatilia tabia za huyu jamaa ambaye ni M/kiti(T) NCCR-Mageuzi unaweza kuthibitisha ukweli huo. Kuna mambo yako wazi kabisa ya kuweza kujiuliza kama Kwanini alipewa Ubunge wa kuteuliwa na JK wakti yeye ni mpinzani??? Kwanini siku zote anapoongea anamtetea Kiwete,CCM na serikali yake? Kwanini siku zote yeye anakuwa kinyume na vyama vyote vya upinzani?

Tumesikia habari za kupopolewa kwa Mbatia kule Mtwara kutokana na Speech yake ambayo watu wa Mtwara wamesema HAWAMWELEWI!!!!Kwanini kiongozi wa Chama kitaifa uzungumze mahali halafu Wananchi wadai hawakuelewi? There're must be something,somewhere terribly wrong with Mr. Mbatia.

Huyu jamaa Mbatia aweza kuwa na uhusiano wa karibu sana na Kiwete,karibu ambayo ni zaidi ya karibu ya kawaida tukiwa nyuma ya pazia...............reading between the lines!!!

Mbatia ni hatari kwa mustakabali wa Demokrasia ya kweli Tanzania. He is the man to be watched carefully.
 
huyu mzee ana kamchezo fulani hivi halafu bado kwenye pub wanamsifia kwa hako kamchezo kake, nimeamini ubunge wa viti maalumu haupewi bure lazima ushughulike, heri yake uchumi anao mwenyewe siku akiondoka duniani anaondoka nao, heko zake,
Mmh....kamchezo gani hako anakocheza mheshimiwa mbunge wetu?! Mbona hujatufafanulia?
 
aibu iliyomkuta sidhan kama atakuja kuisahau maishan mwake,
mchumia tumbo mkubwa huyo,vipi sasa mbona jana ile akakimbilia polisi??
 
Si kosa lake, ana njaa xana huyu jamaa! Hata kina naniiii na naniiiiiii wanasubir muda upite waondoke!
 
Back
Top Bottom