Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

Mbatia anasaidia kitu gani? Hakuna hata mwenye kujua cha kufanya japo kuna zaidi ya majengo matatu yameanguka hapo Dar. Acheni porojo zenu, Meya wa Ilala lazima awajibike kwa uzembe, Waziri wa Ujenzi na Naibu wake, waziri wa ardhi na naibu wake, Mkuu wa mkoa na wa wilaya. Waliobakia washitakiwe, ili iwe fundisho kwa uzembe huu

Mwache Maya wa Ilala. Ni kijana anayechapa kazi kwa weledi.
Alishasema hilo jengo lisiendelee kujengwa na alikuwa anaongoja ripoti ya mhandisi.

Tukipata vijana kadhaa kama Meya wa Ilala nchi itaendelea faster faster...

In his own words Mustahiki Meya anasema "Jengo hili lililoanguka binafsi nililisimamisha mwezi wa kumi mwaka jana na sasa nangoja taarifa toka kwa mhandisi wa halmashauri nini kiliendelea. Naendelea kutoa pole kwa wahanga na familia zao na naomba tuwe na moyo wa uvumilivu kipindi hiki."16
 
Hukawii kuskia sababu ya jengo kuanguka ni ugaidi wa CHADEMA. Nimeskia mmiliki wa kampuni iliyojenga ni diwani wa CCM pale Kinondoni
 
zemacopolo unapenda majanga yatokee ili watu waonyeshe maujuzi yao sio? Umeeleweka mkuu.
 
zemacopolo unapenda majanga yatokee ili watu waonyeshe maujuzi yao sio? Umeeleweka mkuu.

Sio kweli. Sipendi kabisa majanga, ila yakitokea msaada kwa waathirika ni jambo la kwanza kuhitajika. Wale wote wanaoshiriki kusaidia inapaswa tuwashukuru na kuwapongeza.
 
daaa wasomi nyie hamnazo. bsai msitucheke ss ambao haujasoma kama mnakwenda kwenye majanga kutafuta nani yupo na nani hayupo. poleni sana.
 
Mwache Maya wa Ilala. Ni kijana anayechapa kazi kwa weledi.
Alishasema hilo jengo lisiendelee kujengwa na alikuwa anaongoja ripoti ya mhandisi.

Tukipata vijana kadhaa kama Meya wa Ilala nchi itaendelea faster faster...

In his own words Mustahiki Meya anasema "Jengo hili lililoanguka binafsi nililisimamisha mwezi wa kumi mwaka jana na sasa nangoja taarifa toka kwa mhandisi wa halmashauri nini kiliendelea. Naendelea kutoa pole kwa wahanga na familia zao na naomba tuwe na moyo wa uvumilivu kipindi hiki."16

Hiyo riport ilikuwa Mtwara inakuja kwa miguu tangu mwezi wa 10 mpaka jana? haya tayari ameshapata riport zaidi ya watu 40 wamekufa kutoka na uzembe na uvivu kwa kusubiri report. Kama aligundua jengo lilikuwa hatari, angechukua hatua za haraka na sio kusubiri. Tunaambiwa vibarua walikuwa ndani wakisubiri kumwaga zege. Usitetee Ujinga hapa, ndugu zetu, walala hoi wenzetu wamekufa kwa UPUUZI wa Meya wa Ilala
 
Wewe una beef binafsi na Meya kwa sababu ya mafanikio yake makubwa ya hivi karibuni. Watu kama nyinyi kwenye jamii hamkosekani...
 
watanzania bhana. kumbe mnaenda kwenye majanga kuangalia nani yupo na nani hayupo. hatari sana. lkn kama wahusika wangefanya kazi kwa weledi na bila kuangalia 10% haya tusingeyajadili leo. acheni mambo ya kuangalia watu angalieni sysetm jamani. sasa kama wasomi mna mawazo mgando ya kuangali nani na hawapo je ss ambao si wasomi tufanye nini. upumba......v kabisa.
 
Hii yote inathibitisha umuhimu wa JKT. Vijana wengi wasiopitia mafunzo ya JKT fikra zao ziko kama nngu007.

Uzalendo kwao ni msamiati mgumu sana kuuelewa...

Umeona ULIVYO na SHORT MEMORIES? kuna MSEMO USEMAO JUDGING a HUMAN BEING is a SIN... kwa Maongezi yetu haya Mafupi Umekosa HOJA ya kuninyamazisha Unaenda kuongelea UMUHIMU wa JKT? ni nani alieyeondoa JKT kwa MANUFAA ya wanae na MAFISADI ili washike VYEO ndani ya SERIKALI ya NCHI hii na kuiharibu kiasi cha kuifanya isiweze kujiendesha bali KUFUNGUA MIDOMO na KUSUBIRI MIKOPO ya WACHINA? ni nani ambaye hajui HIYO MIKOPO NI UKOLONI MAMBOLEO? CAPITALISM in the HIGHEST STAGE????

Kwenda JKT sio LAZIMA na SIO TICKET ya kukufanya UWE MZALENDO; Rais wetu KAENDA; LOWASSA Kaenda; Slaa wa CHADEMA kaenda; John Malecela Kaenda; Mkapa Kaenda... Lakini Hiyo SIO TICKET ya kukufanya wewe ndio Mzalendo; Mkapa aliuza VIWANDA vyooote vya LABOR intensive DAR kwa Matajiri Uchwara; Hawakuajiri mtu ila waliuza VIPURI na kuacha VIWANDA kama MAGOFU Wananchi wa Dar wengi ndio hivyo viwanda vilikuwa sehemu ya AJIRA zao; ilikuwa inaajiri FAMILIA... Babu... Baba... Mtoto... Mjukuu... n.k na hawakureplace na AJIRA nyingine... Wananchi wanamaliza ELIMU ya MSINGI baba babu na vijana wote wanakaa nyumbani wanaangaliana wakati ule walikuwa wanaajiriwa na URAFIKI; KILTEX; SUNGURATEX; UBUNGO GARMETS na vingine vingi tu Dar ambavyo vilikuwa LABOR intensive... vilikuwa vinazalisha QUALITY sababu ya MTU zaidi ya MASHINE... MKAPA MZALENDO akauza... sasa wapate wapi MLO; Pango la kulala sababu wanazaliana familia inakua... sehemu ya Karibu ni MISIKITINI na MAKANISANI... ndio waliokuwa wanatoa hiyo MISAADA; na wao wana Masharti yao kwanini serikali haiwapatii AJIRA? sababu ni hizi na zile... kwahiyo lazima pia mfuate Masharti yetu ili mpate mlo MEZANI... NDIO hayo watu wanamuona SHEIKH PONDA kuwa ni MBAYA lakini kama kungekuwa na AJIRA sidhani kungekuwa na Matatizo... ndio hapo UZALENDO... DEFINITION ya UZALENDO nchini kwetu UMEKUFA na JK NYERERE... yeah alikuwa na SHORT COMMINGS zake lakini ukiangalia in a long run alikuwa na SMOOTH IDEOLOGY but watekelezaji walikuwa sio WAZALENDO walijivalisha MAKOTI ya VAZI la KONDOO kumbe NDANI ni MAFISADI na MAFIOSO wa kupindukia...

Mwana Jamii FORUM... Nimehenya JKT kwa Mwaka Mmoja - OLJORO JKT F - COY; Umuhimu wa JKT wakati ULE tuliujua sana... sio sasa hivi Watoto wooote wa VIONGOZI wetu wanasoma NJE; nani atawaleta kujiunga na JKT hauoni ni UBAGUZI? wakati wetu Watoto wa WAKUBWA na sisi tulikuwa tunasoma shule hizo hizo; kulikuwa hakuna SHULE za KATA ambazo zimedhoofisha ELIMU YETU KUPITA KIASI; NENDA KENYA... Hawaanzishi SHULE kama SISI... Wanaimarisha SHULE ZILIZOPO kuwa BORA...

Kama RAFIKI yangu Mmoja anavyosema.... namnukuu
"TO GREED, ALL NATURE is INSUFFICIENT"
 
Umeona ULIVYO na SHORT MEMORIES? kuna MSEMO USEMAO JUDGING a HUMAN BEING is a SIN... kwa Maongezi yetu haya Mafupi Umekosa HOJA ya kuninyamazisha Unaenda kuongelea UMUHIMU wa JKT? ni nani alieyeondoa JKT kwa MANUFAA ya wanae na MAFISADI ili washike VYEO ndani ya SERIKALI ya NCHI hii na kuiharibu kiasi cha kuifanya isiweze kujiendesha bali KUFUNGUA MIDOMO na KUSUBIRI MIKOPO ya WACHINA? ni nani ambaye hajui HIYO MIKOPO NI UKOLONI MAMBOLEO? CAPITALISM in the HIGHEST STAGE????

Mwana Jamii FORUM... Nimehenya JKT kwa Mwaka Mmoja - OLJORO JKT F - COY; Umuhimu wa JKT wakati ULE tuliujua sana... sio sasa hivi Watoto wooote wa VIONGOZI wetu wanasoma NJE; nani atawaleta kujiunga na JKT hauoni ni UBAGUZI? wakati wetu Watoto wa WAKUBWA na sisi tulikuwa tunasoma shule hizo hizo; kulikuwa hakuna SHULE za KATA ambazo zimedhoofisha ELIMU YETU KUPITA KIASI; NENDA KENYA... Hawaanzishi SHULE kama SISI... Wanaimarisha SHULE ZILIZOPO kuwa BORA...

Kama RAFIKI yangu Mmoja anavyosema.... namnukuu
"TO GREED, ALL NATURE is INSUFFICIENT"

Hongera kwa kupita JKT, una kila sababu ya kujivunia kwa hilo.

Sasa nakuomba utumie elimu ya uraia uliyoipata JKT kutambua kuwa Tanzania ni MOJA...
 
Hatuhitaji wanasiasa kukimbilia kwenye majanga na kupiga picha, tunataka majanga ya kujitakia yakome, hii ni kazi ya serikali iliyopo madarakani, hakuna kuleta siasa hapa, majengo karibu yote mjini sticker na majina ya wahandisi ni ya kununua tu
 
Ni tusi sana kwa wapinzani wengine kweli kelele za mpangaji hazimsumbui mwenye nyumba hao cuf chadema na tlp walikua wapi hasa macho yote kwa DJ mbowe ama ndp alienda kutoa tamko kwenye fesibuku
 
Hongera kwa kupita JKT, una kila sababu ya kujivunia kwa hilo.

Sasa nakuomba utumie elimu ya uraia uliyoipata JKT kutambua kuwa Tanzania ni MOJA...

Here we go AGAIN... Nani kasema Tanzania sio MOJA?? unaweza kunifafanulia???
 
MARCOPOLO...Nilishakwambia ukue simaanishi kimwili ila akili,una aibisha watu wenye elimu.
 
Kwahiyo Mbunge wa Hai hapaswi kusaidia watu wa Ilala?

Kweli elimu ya uraia inahitajika sana!!!

Yuko jimboni kwake anatekeleza ahadi, wengine wako kwenye kuimarisha chama kwenye M4C nk. Mbatia yuko free hajabanwa na majukumu kama hayo.

JokaKuu,

Je unajaribu kusema kuwa wale wahandisi wote waliohitimu wamepewa fursa hiyo na CCM?

ZeMarcopolo,

..Nice try, but it is not, as "black and white" like that.

..huyu alionekana ni tishio kwa serikali na CCM.

..ndiyo maana wakaamua kumlostisha yeye na wengine kama Matiko Matare.

NB:

..unakumbuka Mama Mongella[mjumbe CC CCM] alikwenda pale cafeteria, na alichokisema?
 
Last edited by a moderator:
Hongera, sana ndg yangu Mbatia ww ndiyo kiongozi,maana kiongozi huongoza kwa vitendo ila mwanasiasa yeye ni kusema tu.Hongera sana Mh Mbatia.
 
Kwahiyo wewe unajiuliza kuhusu wire mesh wakati kuna binadamu wako chini ya kifusi. Halafu unaamini kuwa kujiuliza kwako kuna thamani kuliko waliojitoa kuokoa waathirika!!!

Haya endelea kujiuliza...

Wewe ubongo wako naona umeoza kwa sababu ya kupewa vya bure!! Kweli unataka kutuaminisha kwa nguvu kuwa hao vibaraka wenzako kama Mbatia na Kikwete wanaosubiri ajali zitokee tena kwa sababu ya uzembe wa hali ya juu ni bora kuliko wale wanaopiga kelele kuzizuia!? Huendauna ugonjwa mbaya sana unakusumbua....
 
Back
Top Bottom