Mbashara J2: Kutoka kanisa la Mzee wa Upako, Ubungo

Hivi ni nani anauyerasimisha maneno ya kiarabu kuwa kiswahili karne hii? hayo yaliyopo yanatutosha kwani yalitokea katika karne za giza , kwani walishindwa kutohoa kutoka kabila lolote la kiasili?
Sahihi kabisa mkuu, Tanzania si nchi ya kiarabu sasa kwanini tuchukue sana maneno toka huko, hayo ya nyuma yalitokea kutokana na mazingira ya wakati huo. Binafsi hilo neno silipendi kabisa, sina namna tu ya kulikataa, lakini "msema kweli ni mpenzi wa Mungu " silipendi.
 
Pasuka...!!
 
Anasema hakubali kuzoewa haraka haraka.

Usikubali kupewa lifti na usiyemfahamu.

Hata ukipewa lifti na rafiki yako panda garini ila usicheke cheke.

Haloooo
Waumini wanajibu 'halooo'
 
Ni mdadisi sana anafahamu hadi "kamatia chini"

Anaongelea "zitakuja nyakati za hatari"

Wanaume wanavaa hereni na kusuka

Zamani si sasa. Maudhui na ujumbe nyimbo za zamank na sasa ni tofauti.

Nyakati mbaya zimekuja.
 
Aisee kumbe huyu mzee naye huwa anaonjaonja kidogo, kwa hiyo alionja ili akawatukane majirani zake, daaah mpaka nije nimuamini tena mimi, marafiki zangu, Ndugu zangu na familia yangu itachukua muda sana
Nduguyangu uonjali wake mm naona toomuch...maana huenda castle,castle lite,safari,pulsner ,kilimanjaro,zilidunda..kuhamia bapa bila kutanguliza hizo naokama haiwezekani..huyu mzoefutu!
 
Mkuu ati unasemje?? Benny Hinn?
Haufahamu kisa cha kudivorce na mkewe mwaka juzi kabla ya kusuluhishwa na Mchungaji Crouch mmiliki wa TBN?
Haukuwahi kusikia ile skendo yake iliyozizima ya kuwa na mahusiano na Paula White??

TB Joshua? Haujasikia wale wanawake waumini viongozi waliodefect wakidai jamaa aliwageuza sex slaves?

Pastor Chris? Huyu walau namkubali sana, na moja ya watu ninaojifunza mengi kutoka kwao, kwenye mambo ya imani mimi simo ila namkubali sana anajua kutafuta hela huyu mtu ni genius.. Ila naye ana skendo lukuki, uzuri skendo zake zote zinahusiana na mambo ya hela sio ujinga ujinga wa ulevi au ngono kama wenzake! Unakumbuka ile skendo ya yule muumini wake aliyekuwa anaiba hela wizarani alikokuwa anafanya kazi na kuzipeleka kwa Pastor Chris, na pastor anazipokea bila hiyana??
Hakuna mkamilifu hapa duniani,hata ukiwa mtumishi haimaanishi umeuvua ubinadamu tusiwahukumu maana nawenyewe ni binadamu kama sisi kama isivyo rahisi sisi waumini kuzishinda dhambi basi na wao ni hivyohivyo tena wao zaidi maana wana majaribu sana na shetani anawawinda sana so kama una hofu ya Mungu ni vyema kuwaombea watumishi wa Mungu na Mungu atakubariki maana utakuwa umegusa moyo wa Mungu,kinyume chake basi ni kugusa mboni ya jicho lake.

Hata Yakobo alipokutana na malaika,alipomng'ang'ania ambariki,alimshinda ila aliteguliwa mguu showing kwamba bado alikuwa dhaifu mbele za Mungu,binafsi hata nikinung'unika juu ya viongozi wangu wa dini rohoni naambiwaga kutubu,kikubwa ni kuwaombea tu.
 
Kwa haya mahubiri ya sa hivi Shigongo atalipwa hela zake. Amezungumzia umuhimu wa kulipa deni. Kwamba usipolipa deni unaumiza anayekudai.
 
Mkuu mbona unawalisha members matango pori?? Nilidhani update za humu ni za live coverage?
Unayo update wewe si live but recorded
 
meongelea chukizo la uharibifu askofu uingereza shoga. Kaongelea Utabiri wa TB joshua kutotimia. Kwa nini hajaomba msamaha na kuendelea kujifanya mjanja huku wengine wajinga.
 
Bujibuji hulka asili ya binadamu ni kujitetea na kuficha uovu hata kama amekamatwa red handed! Ni binadamu wachache mno wanaoenda kinyume na hii tabia ndio hukubali kutenda kosa fulani bila kujali udogo wala ukubwa wake
Lusekelo atajitokeza mbele ya jamii kanisani kwake akiwa kavaa sura ya upole na utetezi mwingi sana ili kujisafisha
Afanye hivyo ajisafishe aaminike aendelee kupiga pesa lakini akumbuke kutubu! Kapewa warning Mungu hadhihakiwi...
 
Hakuna mkamilifu hapa duniani,hata ukiwa mtumishi haimaanishi umeuvua ubinadamu tusiwahukumu maana nawenyewe ni binadamu kama sisi kama isivyo rahisi sisi waumini kuzishinda dhambi basi na wao ni hivyohivyo tena wao zaidi maana wana majaribu sana na shetani anawawinda sana so kama una hofu ya Mungu ni vyema kuwaombea watumishi wa Mungu na Mungu atakubariki maana utakuwa umegusa moyo wa Mungu,kinyume chake basi ni kugusa mboni ya jicho lake.

Hata Yakobo alipokutana na malaika,alipomng'ang'ania ambariki,alimshinda ila aliteguliwa mguu showing kwamba bado alikuwa dhaifu mbele za Mungu,binafsi hata nikinung'unika juu ya viongozi wangu wa dini rohoni naambiwaga kutubu,kikubwa ni kuwaombea tu.

Amen! Amem Sista..
Hata mfalme Daudi aliyetumiwa na Mungu kumjengea hekalu takatifu aliteleza dhambini, Mfalme Solomon kiongozi wa taifa teule aliteleza dhambini, Petro aliyeawekwa kiongozi wa mitume mingine alimkana yesu kwahiyo si jambo la ajabu Lusekelo akiteleza pia..

Ila dada kwenye ishu ya kuwaombea mimi simo, am not religious hata kidogo na wala sio mtu wa imani.. Kwahiyo jitahidi sista kuwaombea.. Mimi nawafuatilia tu kwa reasons zangu nyingine!
 
View attachment 440081
Wajumbe leo ni jumapili tulivu, waumini wa madhehebu ya kikiristu wakijiwa kwenye harakati za kuelekea kwenye majumba ya ibada kwa ajili ya kumtumikia Mungu na Bwana wao Yesu Kristu.
Leo tutawaletea Live kutoka GRC Ubungo, kanisa la Lusekelo Mzee wa Upako Transfoma

Mahubiri ya leo yanategemewa kuwa motomoto sana, ikizingatiwa kuwa wiki hii Mchungaji huyu maarufu alitajwa kuliko yeyote katika vyombo vya habari hasa mitandao ya kijamii. Transfoma linategemewa kulipuka, Inategewa kuwa Mzee wa Upako kuibuka na kufunguka kuhusu ''mambo aliyosingiziwa'' kwa wiki hii nzima kwamba alikuwa tungi kwa kiwango cha kufunga mtaa

Nini mzee wa Upako Transfoma atafunguka kuhusu sakata lake, usiondoke

Kanisani tunajua ni sehemu au mahala ambapo Waumini wanatakiwa kuwa na ' furaha ' na ' nyuso ' za ' bashasha ' kabisa ili kuweza kumkaribisha Roho Mtakatifu na kuonyesha Upendo wao lakini katika hiyo picha hapo nawaona hao ' Waumini ' karibia wengi wao wana ' nyuso ' za ' Hasira ' na kutaka ' kupovuka '. Je kwa hali hiyo ' maombi ' yao ya leo Mwenyezi Mungu atayakubali?
 
Back
Top Bottom