MB nazo zapunguzwa kimya kimya

Acheni kuendekeza vya bure kubabake zenu.
Mie mbona najiunga 40,000 Voda kwa week na silalamiki???

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Ungeitaja na sifa yako ya kitaaluma ningekusifu.

Ile ya kuichangua engine ya gari unapoirejeshea nati kibao zinabaki.

Ukiulizwa unajibu "hizi hazina umuhimu"

Kumbe umesahau zinafungwa wapi!!!!!!!!
 
halotel wamepunguza 250 to 200 halafu zinafutika kama upepo by now natumia tigo wao wana 130lakini nimetumua masaa mengi yaani halotel zingeshakatika mda tu
 
Airtel wanavocha za university huwa wanatoa GB moja dakika 145 za airtel na dakika 5 kwenda mitandao mingine
 
halotel wamepunguza 250 to 200 halafu zinafutika kama upepo by now natumia tigo wao wana 130lakini nimetumua masaa mengi yaani halotel zingeshakatika mda tu
speed kubwa ndio maana zinaisha haraka, kwani simu yako haina data plan uwe unaangalia umetumia data kiasi gani?
 
Screenshot_2017-01-23-09-52-57.png
 
Hiyo hapo, ila me natumia huawei, naenda kwenye data meter ndio nakutana na hizo settings, inaonyesha daily usage ikoje na ya monthly pia, kwa hiyo kama umeweka kifurushi cha GB 1 unakuwa unaona mpaka sasa hivi umekata data kiasi gani,kunakua na icon pale juu upande wa kushoto inaonyesha hayo matumizi kama unaibiwa utajua tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom