hamisi nondo
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 192
- 173
Voda 2000 wanakupa gb 3 kwa siku tano
Waendelee tu kupunguza maana watu wataacha kushinda mitandaoni watakuwa bize na kazi
Duh nimeamin kuna watumiaji wazur wa vifurush vya internet yan mtu unatumia Mb 600 kwa wiki ?? Hongera coz mimi huwa natumia GB 2 kila siku kwahyo kwa wiki ni GB 14 [emoji32][emoji32][emoji32][emoji26][emoji22] Nafwaa
mkuu lazm uwe ktk ile system ya tigo university offer kwa kuwa na ile line yao mpya ya sasa ambayo wanai promo ukiinunua watakuunganisha na hiyo service au km ukajiunge maeneo na karibu n chuo iv vikubwa..ndo inapatika hii hudumaMb 500 kwa week nielekeze mkuu najiungaje
Mtandao gani, na unakipata vipi?. Maana mi natumia 1.5 gb @ day na ni tshs 2000 tigo.
yah hilo hilo, ata km ww sio mwanachuo kuna line mpya tigo wametoa ukiinunua tu wanakuunganisha ukiwaambia .so kaz kwako mkuu..mkuu sio bandle la mwana chuo hili
mkuu hii ni service ya university offer kuipata hii lazm uwe kwe system kupitia line yao mpya hii au ukajiunge maeneo ya karibu na chuo.nndo unapata huduma hiiNapataje tigo? Mbona naona 3000
Halotel nao wamepunguza mbHalotel ndo mpango
bdo hawajanishawish cz mi mtembeaji ndan ya inchi na sehem nazopita nying halotel bdo sio active sanaHalotel ndo mpango
Mwenyewe nilitoa Halotel na kurudi nilikotoka hawa jamaa siku hizi hakuna kitu kasi ni sawa na mitandao minginehalotel wamepunguza 250 to 200 halafu zinafutika kama upepo by now natumia tigo wao wana 130lakini nimetumua masaa mengi yaani halotel zingeshakatika mda tu
na mb zinayoyoma yaani kwa siki huwexzi tumia 500 wakati tigo pamojana kuwa 130mb toka jana hadi, leo nabrowseMwenyewe nilitoa Halotel na kurudi nilikotoka hawa jamaa siku hizi hakuna kitu kasi ni sawa na mitandao mingine
Hawa jamaa kwa upande wa net ni balaaHalotel ndo mpango
Hakika namba inasomeka sasa,Leo nimenunua Mb(airtel) @500. Badala yakupewa Mb 150 now wanatoa Mb 80. Haha aisee sasa kwa hali hii si JamiiForums nitaisikia katika magazeti ya udaku..
Wote wababaishajiHalotel ilikua 500 Mb 250 now 200
Icho cha halotel wiki 500 unaungaje?natumia Halotel but 500@wiki mb 600, zamani ilikuwa ukiweka Salio wanakupa mb 300,bure now wamepunguza hadi 10
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Sio lazima line ya chuo Mkuu..weka hela kwenye Airtel money then piga *150*60# chagua namba 6 then UNI.
sasa kama mtu anaweka bundle ya internet kila siku ya sh 2000 na bado ile ya maongezi 1000 labda kila siku hapo jumla inakua sh 90,000 kwa mwezi, sasa si bora uweke bundle ya 50,000 ili update dakika 750 kwa mwezi mitandao yote pamoja na 20gb bila kikomo au hicho cha 70 kama budget inaruhusu🙁 70 elfu?? Mmh hakujaga bajeti hii 🙁