MB nazo zapunguzwa kimya kimya

MB nazo zapunguzwa kimya kimya

natumia Halotel but 500@wiki mb 600, zamani ilikuwa ukiweka Salio wanakupa mb 300,bure now wamepunguza hadi 10

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app



Acheni kuendekeza vya bure kubabake zenu.
Mie mbona najiunga 40,000 Voda kwa week na silalamiki???

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Halotel wana wizi wa ajabu ukiweka mb kazaa hichukui dakika zimekata
hha chirf hii hali imenikuta ktk line ya ngu ya halotel..niwapuuzi sana hawa....kiukweli ipo vizuri na speed ya kueleweka...ila ukigusa tu ka clip ka diamond huko youtube ..baasi Alarm hapohapo. (NDUGU MTEJA,HAUNA SALIO LA KUTOSHA)
 
Back
Top Bottom