Sio kwel Mkuu..mimi natumia line ya Airtel ambayo sio ya chuo na napata hadi hizo dakika na MB,angalia hapa nimeunga ya buku ambayo ni sku 3 napata dakika 110,2GB, unlimited SMS plus free WhatsApp, Facebook and Twitter.Zile uni zabkila laini ni changa la macho mwenye laini ya airtelbya chuo yenyewe anapata mb, dakika ,sms tofauti mimi ni wakala nawachekaga tu wanaosema uni ipo kote.
Sio kwel Mkuu..mimi natumia line ya Airtel ambayo sio ya chuo na napata hadi hizo dakika na MB,angalia hapa nimeunga ya buku ambayo ni sku 3 napata dakika 110,2GB, unlimited SMS plus free WhatsApp, Facebook and Twitter.
Nunua laini ya halotelHakika namba inasomeka sasa,Leo nimenunua Mb(airtel) @500. Badala yakupewa Mb 150 now wanatoa Mb 80. Haha aisee sasa kwa hali hii si JamiiForums nitaisikia katika magazeti ya udaku..
Hapana sio kweli Mkuu..mimi huwa najiunga mpaka hivyo vya wiki naamua tu kuchagua,hii hapa nmeingia sasa hv angalia hvyo vya wiki mpaka mweziUnacho bisha hukijui mimi nafanya kazi hiyo buku siki 2 sio ya chuo vifurushi vya chuo viko vya siki,week, mwezi hakuna cha siku 3, na hamna cha buku. ni 500 siku/week mb tu, 1500 siku 7 na 6000/ mwezi sio vinginevyo.
kwa hali hii tumaunga jero tu per 24hrssasa kama mtu anaweka bundle ya internet kila siku ya sh 2000 na bado ile ya maongezi 1000 labda kila siku hapo jumla inakua sh 90,000 kwa mwezi, sasa si bora uweke bundle ya 50,000 ili update dakika 750 kwa mwezi mitandao yote pamoja na 20gb bila kikomo au hicho cha 70 kama budget inaruhusu
Moja kwa moja huyu ni Mhaya wanapenda sifa za kijinga mwishoUna kila dalili utakuwa mhaya
[emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] eti hazina umhimu inamaana walio ziweka wajinga Wahaya utawajua tu hawajifichiUngeitaja na sifa yako ya kitaaluma ningekusifu.
Ile ya kuichangua engine ya gari unapoirejeshea nati kibao zinabaki.
Ukiulizwa unajibu "hizi hazina umuhimu"
Kumbe umesahau zinafungwa wapi!!!!!!!!
tafuteni laini za uni 500 unapewa gb1.2 na dakika kibao
airtel mkuuMtandao gan huu mkuu
Aksante kwa ufafanuzi.Vodacom tsh 2000 GB 2 for 24 hrs