MB nazo zapunguzwa kimya kimya

MB nazo zapunguzwa kimya kimya

Nunua line ya tigo zimewekwa kifurushi cha chuo, 1500 unapata 1GB na dk 130 kwa wiki
 
Hivi bado mnatumia Voda airtell na tigo kwenye bundle za Internet
Mimi line yangu ya Halotel tena ya chuo imenirahisishia Sana kwani 500 mbs 600 per week.
 
Hivi bado mnatumia Voda airtell na tigo kwenye bundle za Internet
Mimi line yangu ya Halotel tena ya chuo imenirahisishia Sana kwani 500 mbs 600 per week.
hao tunawatumia lakini watch videos kidogo tu..huna chako
 
Mi voda wananipa kwa Tsh 500-300Mb(24hrs)
Tshs 1000-1GB (24hrs)
Tshs 2000-3GB (24hrs)
Tshs 10,000-10GB(7days)

Na speed yake ya 4G sio kitoto.
Nachek video ya 2440p Youtube..no buffering..inateleza tuu
 
Duh nimeamin kuna watumiaji wazur wa vifurush vya internet yan mtu unatumia Mb 600 kwa wiki ?? Hongera coz mimi huwa natumia GB 2 kila siku kwahyo kwa wiki ni GB 14 [emoji32][emoji32][emoji32][emoji26][emoji22] Nafwaa
 
Mi voda wananipa kwa Tsh 500-300Mb(24hrs)
Tshs 1000-1GB (24hrs)
Tshs 2000-3GB (24hrs)
Tshs 10,000-10GB(7days)

Na speed yake ya 4G sio kitoto.
Nachek video ya 2440p Youtube..no buffering..inateleza tuu

Unanunua vifurush gan
 
Unanunua vifurush gan
Ya Kwako tu.
Cheza na menyu hii *149*03#
Zipo offa tofauti tofauti hivo ukifungua once ukiona hujaona fungua tena na tena...kama unarefresh vile. Mana kuda data voice call.
So unaeza kufungua mara ya kwanza ikaja data tuu o voice tuu...so cheza ma menu iyo.
 
tigo wanatoa mb 130 kwa 500sh,mb350 kwa sh 1000 na mb 2000(GB 2) kwa sh 2000...ni masaa 24 ...je wako fair au magumashi.....
 
halotel wamepunguza 250 to 200 halafu zinafutika kama upepo by now natumia tigo wao wana 130lakini nimetumua masaa mengi yaani halotel zingeshakatika mda tu
Halotel[emoji117] Zinakatika haraka=internet speed ni fasta
Tigo[emoji117] Zinakaa muda mrefu = internet speed ni ndogo

Nafikiri hulikuwa hujafahamu
 
Ya Kwako tu.
Cheza na menyu hii *149*03#
Zipo offa tofauti tofauti hivo ukifungua once ukiona hujaona fungua tena na tena...kama unarefresh vile. Mana kuda data voice call.
So unaeza kufungua mara ya kwanza ikaja data tuu o voice tuu...so cheza ma menu iyo.

Thanks mkuu nimeiona
 
Halotel[emoji117] Zinakatika haraka=internet speed ni fasta
Tigo[emoji117] Zinakaa muda mrefu = internet speed ni ndogo

Nafikiri hulikuwa hujafahamu
bora nitumie tigo kwaza speed ya halotel inazingua kwenye simu yangu alwayz inakatakata nimeondoa line ya0o sasa naona wananitumia mameseji kibao ya kuniambia huduma zao kikikiki untill further notice
 
Duh nimeamin kuna watumiaji wazur wa vifurush vya internet yan mtu unatumia Mb 600 kwa wiki ?? Hongera coz mimi huwa natumia GB 2 kila siku kwahyo kwa wiki ni GB 14 [emoji32][emoji32][emoji32][emoji26][emoji22] Nafwaa
We kiboko
 
Back
Top Bottom