Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ha haaaa, rafiki si unanijua lakini?Hivi umemwamini rafiki?🙄
Mi naamini mpaka nipate sababu ya kutokuamini
ha haaaa, rafiki si unanijua lakini?Hivi umemwamini rafiki?🙄
ha haaaa, rafiki si unanijua lakini?
Mi naamini mpaka nipate sababu ya kutokuamini
siingilii huko rafiki.....Hahahaa lol mimi siamini hadi nipat sababu ya kuamini...mtoa mada mwenyewe anajua ndo maana akasema yy atatoa sipiriensi yake mwishoni...
Mahusiano yana uzuri wake, tatizo watu wameegemea katika mabaya tu na kuwakatisha watu tamaa,mimi sipo ndoani lakini kuna watu wapo ndoani mpaka unajisikia raha jamani acha niongelee ya level yangu mazuri ni mengi ninayo yapata kwanza kujaliana kwa hali yoyote unajua ukipata kuna mtu wa kwanza kunijali ni mpenzi wangu hata kama siyo hela le tu kujua uwepo wake, kufarijiana na kupeana moyo. Yapo mengi lakini ambayo mtu anaweza akakuambia cha msingi uvumilivu pale mnapotofautiana ndiyo la msingi ukitaka kila mtu kumuacha utaacha wangapi tukumbuke hakuna binadamu ambaye amekamilika wote tunakasoro zetu cha msingi kuvumiliana,kuchukuliana,na kuonyana pale inapohitajika nanyi mtafurahia mapenzi yenu mfanye mpenzi wako kama rafiki yako kuwa huru kwake,niwatakie siku njema.wewe huna majibu?
tunakusubiri ila isiwe ahadi ya yesu
Wakubwa shikamooni wadogo marahabaa!
Leo tuzungumzie namna tunavyofurahia maisha na wapenzi wetu/wake/waume.
kila siku tumekuwa tukiona malalamiko mengi haswa juu ya ndoa. mliopo kwenye ndoa tuelezeeni matamu mnayopitia au mliyopitia japo mtuhamasishe sie mabibi harusi na mabwana harusi watarajiwa.
Vyovyote itavyokuwa mahusiano hayaweza kuwa mabaya completely.
share nasi good moments tu. kwa mlio single mnaweza share mazuri ya maex wenu.
NB: tuyatizame mahusiano kwa mtazamo chanya.
cc Kongosho, King'asti, Fixed Point, nyumba kubwa, Snowwhite Preta Heaven on Earth, Karucee miss chaga Vaislay Mwanajamii 01 Caroline Danzi sweetlady AshaDii miss neddy lara1 Kaunga Kaizer Nyani Ngabu Mtambuzi Daudi1 Katavi Rocky city @@rogie Dark City Sam Love The Boss Mbu EMT....................... wengineo wote
Uwepo wake tu hazbendi nainjoy........
Binafsi la kwanza nafurahi yupo mtu anayekidhi hitaji la mwili wangu,saa yoyote dakika yoyote wadudu wakininyevua daktari yupo bila sharti lolote.
Pili nafurahi yupo mtu anayenipa furaha ya ajabu maishani mwangu,ananipenda,ananijali,uwepo wake kwangu umenipa tumaini jipya,tunacheka wote na wakati mwingine hata kulia wote.
Nafurahi yupo mtu ambaye wakati wote anahakikisha nipo salama kwa kila nyanja ya maisha.
Nafurahi yupo mtu ambaye tunashirikiana kikamilifu tutimize ndoto za maisha kwa pamoja.
Nafurahi yupo mtu ninayempenda,namjali na mimi nimejitolea kwa dhati kwa maisha yake,anathamini uwepo wangu kwake
Nafurahi yupo mtu anahakisha tunajenga familia bora kwa pamoja,pia anahakikisha hata zile familia tulizotoka ziko bora pia.
Nafurahi yupo Mtu ananifanya niwe mwema katika dunia hii,nimpendeze Mungu wangu kila wakati.
Uwiiii Husninyo sitamaliza hizi furaha zanguuuu ni nyingi kwakweli nitajaza kurasa!!!!!!!!!! Changamoto kama kawa akufanyae ufurahi lazima akulize pia .
Pamoja na machungu kuna raha kama kujua kuna mtu yupo kwa ajili yangu anayefanya kila kitu kuhakikisha nafurahi pia ninapoamka kifuani kwa mume wangu pia kuwa nae wakati wa shida na raha bega kwa bega.ktk vyote kuwa nae weekend nzima.Najihisi kujiamini sana.
Mumeo anajua kuwa upo JF? Na ID(s) yako/zako anaz(i)jua?
Spare my ribs man...LOL
What's good Bossman....
I'm just tryna keep it 100.
Manake usikute watu hata hawataki kabisa waume/wake zao wajue kuwa wamo humu.
Na hata kama wanajua, basi huenda wanawajua kwa jina moja tu. Hivi umeshawahi kuwaza mtu kama Zinduna anatumia majina gani mengine humu?
Wangapi huwa wanadai wako kwenye ndoa na watoto juu lakini wana wabebs wao humu ndani?
It's befuddling, to say the least!