Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
- Thread starter
- #81
What's good Bossman....
I'm just tryna keep it 100.
Manake usikute watu hata hawataki kabisa waume/wake zao wajue kuwa wamo humu.
Na hata kama wanajua, basi huenda wanawajua kwa jina moja tu. Hivi umeshawahi kuwaza mtu kama Zinduna anatumia majina gani mengine humu?
Wangapi huwa wanadai wako kwenye ndoa na watoto juu lakini wana wabebs wao humu ndani?
It's befuddling, to say the least!
hayo mengine tushayasikia sana. hebu tupe ushuhuda wako wa mambo mazuri tu hamisi, usichafue hali ya hewa nakuomba.