Mazuri ya mahusiano/ndoa

Napenda flirting with my man,talking dirty mana ni yeye tu naweza ongea nae ,playing and doing stupid things,roaming around town usiku,going out,kupunguziana stress when i have a hard day nk..flaws and all,mapenzi mazuri jamani,hata kama tunadanganyana there are men u never regret to meet...and life is wonderful with them....and lately sijielewiii,ts like am falling for sm1 hadi naogopa..
 
Napenda flirting with my man,talking dirty mana ni yeye tu naweza ongea nae ,playing and doing stupid things,roaming around town usiku,going out,kupunguziana stress when i have a hard day nk..flaws and all,mapenzi mazuri jamani,hata kama tunadanganyana there are men u never regret to meet...and life is wonderful with them....and lately sijielewiii,ts like am falling for sm1 hadi naogopa..
Omg Mbona kama tunafanana hobbies ?
 
What's good Bossman....

I'm just tryna keep it 100.

Manake usikute watu hata hawataki kabisa waume/wake zao wajue kuwa wamo humu.

Na hata kama wanajua, basi huenda wanawajua kwa jina moja tu. Hivi umeshawahi kuwaza mtu kama Zinduna anatumia majina gani mengine humu?

Wangapi huwa wanadai wako kwenye ndoa na watoto juu lakini wana wabebs wao humu ndani?

It's befuddling, to say the least!

Halafu wewe, hulali mpaka shurti unitaje, wanitakiani mwana wa mwenzio?
 
Mie nikipendwa tu karoho kangu kwatuuuuu... small things vinavyofanya nihisi mtu ananijali. I always enjoy his goodbye kiss on my forehead before he leaves for work hata kama nikiwa usingizini nikishtuka nikai feel nafurahi
 
Wakubwa shikamooni wadogo marahabaa!

Leo tuzungumzie namna tunavyofurahia maisha na wapenzi wetu/wake/waume.

kila siku tumekuwa tukiona malalamiko mengi haswa juu ya ndoa. mliopo kwenye ndoa tuelezeeni matamu mnayopitia au mliyopitia japo mtuhamasishe sie mabibi harusi na mabwana harusi watarajiwa.

Vyovyote itavyokuwa mahusiano hayaweza kuwa mabaya completely.

share nasi good moments tu. kwa mlio single mnaweza share mazuri ya maex wenu.

NB: tuyatizame mahusiano kwa mtazamo chanya.

cc Kongosho, King'asti, Fixed Point, nyumba kubwa, Snowwhite Preta Heaven on Earth, Karucee miss chaga Vaislay Mwanajamii 01 Caroline Danzi sweetlady AshaDii miss neddy lara1 Kaunga Kaizer Nyani Ngabu Mtambuzi Daudi1 Katavi Rocky city @@rogie Dark City Sam Love The Boss Mbu EMT....................... wengineo wote


Kikubwa ni ile hali ya kujaliana katika vipindi vigumu na nyakati za furaha pia.
shout out to ma girl, japo mikwaruzo ipo ila she real care. God bless her
 
Halafu wewe, hulali mpaka shurti unitaje, wanitakiani mwana wa mwenzio?

Si jingine, ni huba tu Zinduna mahabuba
Uadimikapo, nahemuka

Umerudi, n'mefurahi
Kazi kwao wazushi na vidughushi

N'chombeze n'chombezeke, bebi'ake na mie
Fukufuku tuwakere, haswa wakereke

Raha zako n'nazipenda
Tele afya zanipa

Na pale n'zikosapo, hukonda kama unywele
Aaah, nliwaze mie

N'chombeze kwa muala
Aaah n'jae zangu raha
 
Mtoa mada sijaona aliyeeleza faida walau mbili au tatu za ndoa kwa ufupi ndoa kama ndoa mazuri yake hayaelezeki kwa sababu ni kama wajibu wala si kama hisani kutimiza majukumu kwenye ndoa na ndo maana watu wengi huzungumzia zaidi matatizo au mapungufu ya ndoa! Faida pekee ya ndoa ni kuendeleza kizazi au taifa, bila ndoa ukoo au taifa litaisha, wakati mwingine ndoa hupunguza upweke kama upendo wa dhati upo, heshima mbele ya jamii mf mama flan au baba flani, ndoa huleta amani na maisha flan hivi ya kutojiachia achia ovyo, ukitaka kujua ndoa ni ya thamani wale wenye ndoa mwenza anaposafiri au kuhamishwa kikazi au anaumwa au kutengana au kufariki ndo utaona balaa la nyumba! Ndoa na zidumu na ziheshimiwe
 
Back
Top Bottom