Mazuri ya mahusiano/ndoa

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,724
9,188
Wakubwa shikamooni wadogo marahabaa!

Leo tuzungumzie namna tunavyofurahia maisha na wapenzi wetu/wake/waume.

kila siku tumekuwa tukiona malalamiko mengi haswa juu ya ndoa. mliopo kwenye ndoa tuelezeeni matamu mnayopitia au mliyopitia japo mtuhamasishe sie mabibi harusi na mabwana harusi watarajiwa.

Vyovyote itavyokuwa mahusiano hayaweza kuwa mabaya completely.

share nasi good moments tu. kwa mlio single mnaweza share mazuri ya maex wenu.

NB: tuyatizame mahusiano kwa mtazamo chanya.

cc Kongosho, King'asti, Fixed Point, nyumba kubwa, Snowwhite Preta Heaven on Earth, Karucee miss chaga Vaislay Mwanajamii 01 Caroline Danzi sweetlady AshaDii miss neddy lara1 Kaunga Kaizer Nyani Ngabu Mtambuzi Daudi1 Katavi Rocky city @@rogie Dark City Sam Love The Boss Mbu EMT....................... wengineo wote
 
Marhabaaaa...Hujambo mtoto mzuri? Ushakuja huku kwetu? Mbona hujaniPM au umesahahu kama ulisema utanitafuta ukifika?
 
Hahaaaaaaa! Nakuja kutibua nyongo, ngoja nifanye kwanza presentation kwa client, nirudi kamili. Siku nikimpata bwana when i have no longer to earn a living nitaimba HELAALUYA! Nawatamanije house wives wasio njaaa!
 
uje na mazuri tu, hata kama ulipata buzi likakupeleka shopping dubai si haba ukishare nasi.
 
Kila kitu ni mtizamo wako juu ya hicho kitu. Kuna watu wanasema TZ ni nchi ya amani, kuna wengine wanabisha sana, kulingana na tafsiri zao za amani.

Ila kikubwa nilichogundua ni kuwa, ukimpata mwenza mnayerandana kimitizamo, afu na myo wako umpende(mioyo can be very stubborn at times, inamkataa the right person na kung'ang'ania alshabab), basi ndoa ni paradiso ya duniani.

Mtu ambaye unaweza mweleza hata zile worry ambazo ulikuwa hujawahi mweleza mtu, mtu ambaye mna-communicate katika 'a heart to heart level', mind you, sila kila uhusiano una aina hii ya mawasiliano. Kuna mahusiano mabayo mnawasiliana kama chiriku tu, mnaongelea mambo meeeengi, mnaishia kwenye vitu personal, no heart to heart.
Aina hii ya mahusiano, hamna siri, hamna mtu anayejengwa kwao kinyemela, hamna anayemwibia mwenzie hela, sababau kama una shida si utasema.

Ukiamka asubuhi na kukutana na tabasamu lake, uwiii, unapiga tu sala ya kuomba maisha marefu ya pamoja.
 
Ndoa ni tamu sijapata kuona maisha mazuri kama haya!,unaishi na kiumbe aliyekupa moyo wake na wewe unautunza kama mboni ya jicho we acha tu,ukiguna kidogo tu vipa baba,ukiachilia mbali kula tunda wakati wooote uutakao,mwanamke amesoma lakini anajua wajibu wa mke kwanini usiyatoe maisha yako kuihudumia familia yako kama Yesu alivyojitoa kwa ajili ya wengine
kwa wale walipata wake/waume kutoka kwa Bwana kila siku ni haleluya..".....Mke mwenye busara mtu hupewa na Bwana"
 
Husninyo j3 yote hii unaleta thread ngumu namna hii.......orait........ngoja nichekeche.......will be back after a short brake..........
 
Last edited by a moderator:
Ndoa ni tamu sijapata kuona maisha mazuri kama haya!,unaishi na kiumbe aliyekupa moyo wake na wewe unautunza kama mboni ya jicho we acha tu,ukiguna kidogo tu vipa baba,ukiachilia mbali kula tunda wakati wooote uutakao,mwanamke amesoma lakini anajua wajibu wa mke kwanini usiyatoe maisha yako kuihudumia familia yako kama Yesu alivyojitoa kwa ajili ya wengine
kwa wale walipata wake/waume kutoka kwa Bwana kila siku ni haleluya..".....Mke mwenye busara mtu hupewa na Bwana"

vizuri sana mkuu lait kila mtu angepata uzuri,aman,upendo unaopata kwa mkeo malalamiko ya ndo yangekuwa msamiati.....MUNGU AENDELEE KUKUBARIKI NA NDOA YAKO
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom