Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Nilishawaambieni huko nyuma, malaria imeshampanda kichwani huyu mtu -- na sasa anatoa topic hovyo tu bila ya mantiki. Again twamuomba Moids a-do somnething on this man otherwise wachangiaji wengi wenye dhamira njema na JF watapotea mmoja mmoja. Hebu fikiria JF ibakiwe na watu kama hawa pekee. Mods, please?
Unaonyesha jinsi usivyoipenda inji yako!Namkubali sana mzee pinda, namkubali sana huyu kiongozi wangu wa nchi kwa kuwa ni mchapakazi.lkn ningalitamani waziri mkuu mstaafu El kurudi tena bungeni na kuwa waziri mkuu , kwani licha ya kuwa mkali kwa watumishi wabovu, lkn pia utendaji kazi wake hasa pale alipoamuru bandari ya dsm kufanya kazi masaa 24 pale nimemkubali na matunda yake tumeyaona
Hizi chuki binafsi! What is wrong with that thread? Is there any insult from that topic? He/she is speaking his/her mind! He like Lowasa and He would be very delighted to see him back as a PM. Well..... if you dont like Lowasa Im afraid you gt to live with it because some do like Him!Nilishawaambieni huko nyuma, malaria imeshampanda kichwani huyu mtu -- na sasa anatoa topic hovyo tu bila ya mantiki. Again twamuomba Moids a-do somnething on this man otherwise wachangiaji wengi wenye dhamira njema na JF watapotea mmoja mmoja. Hebu fikiria JF ibakiwe na watu kama hawa pekee. Mods, please?
Mzee Punch,Ninyi. Mnaomfagilia huyu fisadi mnahitaji maombezi. Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atamfikiria mtu kama Lowassa kurejea kwenye uongozi. Nchi hii sasa inahitaji ukombozi baada ya kunyonywa na watawala dhalimu kwa muda mrefu na kukwamisha maendeleo yetu. Hata huyo rafiki yake, JK hastahili tena kipindi kingine cha miaka mitano. Hawa watu wameichezea sana nchi yetu na kuididimiza kwenye dimbwi la umaskini. Sehemu pekee wanayostajili kuwepo ni jela!
Mzee Punch,
Hili ni suala la mtizamo kati ya mtu mmoja na mwingine. Wakati wewe unampenda fulani mimi naweza nikawa simpendi kabisa.
Let people miss EL. Frankly speaking pamoja na udhaifu wake jamaa binafsi nammiss kwa sana.
Naamini binafsi tuki-trace Richmond JK utamweka wapi rafiki yangu?
Kama mshirika wake mkuu kisiasa kanasa kwa nini nae JK asiwemo? tunazugana hapa
Maadam kuna watu wanaofikiria kwamba EL alikuwa kiongozi mzuri basi bila shaka tuna matatizo ya Kiakili...inabidi sisi wananchi wenyewe tukapimwe akili zetu. Na kama asemavyo yule mhindi...upo uwezekano mkubwa wa kupungukiwa IQ..