Idimi, naanza kuingiwa na wasiwasi kwamba Mtade_Halisi na Pope ni mtu mmoja, na pengine kama si hivyo, ni watu waliojiunga JF jana kwa ajili ya kazi ya kumsafisha Edo. Just try to read between the lines.
Tunaelezwa kuna Agenda 21...a group specifically built to ascend someone back into power. Na inasadikika kuna vyombo vya habari au waandishi wamehongwa ili kumshafisha Edo. Is JF now being used for the purpose?

Ndugu wanaJF baada ya Lowassa kujieleza hapo jana na kujaribu kujitetea kwa pointless hebu tumjadili......
WADAU WENYE DATA ZAKE MBALIMBALI WASILISHENI HOJA
Mimi siwezi kuhukumu kwa lolote.
Lakini nam-miss sana kama waziri mkuu, nadhani tulikuwa bado tunamuhitaji, hizi siasa zetu ambazo si hasa... ndizo zinaiponza nchi yetu.
Na kwa utawala wa Sultani CCM hivi unategemea aliefikia Cheo Cha Waziri mkuu kushitakiwa au kutuhumiwa ? Hao mawaziri tu kesi zinapigwa danadana ,majalada yanapakiwa kwenye baiskeli yakienda huku na kule ,mara unaambiwa lipo polisi mara lipo mahakamani mara halijakabidhiwa mwisho unaambiwa ushahidi hautoshi sasa subiri mahakama itupilie mbali kesi hiyo kwa kukosekana ushahidi ,mahakama ina muda wake ukitimia tu ndio imetoka.
Mimi siwezi kuhukumu kwa lolote.
Lakini nam-miss sana kama waziri mkuu, nadhani tulikuwa bado tunamuhitaji, hizi siasa zetu ambazo si hasa... ndizo zinaiponza nchi yetu.
Ngoja Pinda akusikie!
1. Hajatuhumiwa kwa kosa lolote lile (la ufisadi)
2. Hajashtakiwa kwa kosa lolote lile (la ufisadi)
3. Hajahukumiwa na kupatikana na hatia yoyote ile (ya ufisadi).
Nimeisema hii hapa JF leo tarehe 12 julai 2009.
Ni mfuasi wa Sultani CCM ,mtawaala alietawala na bado anatawala kwa zaidi ya miaka 45 ,hivi utawapa cheo gani watu hawa na Chama Chao ,kama si usulutani. Na hawa hawaondoki kwa kura ,hivi umesikia wapi Sultani akaondolewa kwa karatasi za kupigia kura ,jawabu hakuna ,kinachowaondoa watu wa aina hii ni mapinduzi ya kijeshi au nguvu za umma na hilo linafikia pale ambapo walio wengi wechachoka na matatizo na shida za maisha na tunako elekea si mbali sana ,ikiwa sasa Sultani amefikia kutumia vyombo vya dola kubaki madarakani kwa miaka ijayo basi ujue mambo yanamwendea vigumu.Mwiba,
Ina maana unataka kusema kuwa Lowasa naye ni sultani? hii unaivuta zaidi!
Ufisadi siyo tuhuma, ufisadi siyo maneno, ufisadi ni vitendo!
Ni mfuasi wa Sultani CCM ,mtawaala alietawala na bado anatawala kwa zaidi ya miaka 45 ,hivi utawapa cheo gani watu hawa na Chama Chao ,kama si usulutani. Na hawa hawaondoki kwa kura ,hivi umesikia wapi Sultani akaondolewa kwa karatasi za kupigia kura ,jawabu hakuna ,kinachowaondoa watu wa aina hii ni mapinduzi ya kijeshi au nguvu za umma na hilo linafikia pale ambapo walio wengi wechachoka na matatizo na shida za maisha na tunako elekea si mbali sana ,ikiwa sasa Sultani amefikia kutumia vyombo vya dola kubaki madarakani kwa miaka ijayo basi ujue mambo yanamwendea vigumu.
Akioza samaki mmoja wameoza wote.Lowasa nae yumo.