Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,352
Mkuu Gamba la Nyoka..kama kiongozi anashindwa kazi kwa nini asiwe let go?
Kwanza naanza kuona huu utaratibu wa risala haufai. Kwa nini Waziri Mkuu asikutane na watendaji wake kwa mfano DC ama Director na kupata presentation one on one halafu ndio akauliza maswali, ku criticize na kupongeza pale inapobidi? Halafu akitoka hapo anaenda kuwa hutubia wananchi akiwa tayari ana full information kutokana na discussion aliyokuwa nayo mwanzoni?
Tunapoteza muda mwingi kwa mikutano mirefu isiyo na good outcome...kwa mfano, kama Waziri Mkuu anatembelea wilaya utakuta kwenye mkutano kuna, kwaya, ngonjera, ngoma, halafu hotuba ya DC, hotuba ya PM, etc., Kama ni siku ya katikati ya wiki basi shule kwa siku hiyo sahau..zitafungwa..also hebu fikiria muda wa kujitayarisha na ngonjera na kwaya maana mara nyingi wanao perform hizi arts mbele ya PM ni wanafunzi...Je tuko efficient kweli?
Nnaamini kabisa kuna mazuri aliyofanya..Je ni yapi hayo?
TUKUULIZE WEYE UNAYEAMINI HIVYO
1. Ni handsome na pia ana mvuto kuliko MP!
2. Orator mzuri- uwezo wa kushawishi (Kiswahili lakini) ni mkubwa sana!
3. Alijitahidi ktk sector ya elimu pamoja na mapungfu yaliyopo!
4. Muumini mzuri- huwa hakosi kanisani Jumapili!
5. Amejenga shule za Waschana wa Kimasai kule Monduli!
N.k
1. Ni handsome na pia ana mvuto kuliko MP!
2. Orator mzuri- uwezo wa kushawishi (Kiswahili lakini) ni mkubwa sana!
3. Alijitahidi ktk sector ya elimu pamoja na mapungfu yaliyopo!
4. Muumini mzuri- huwa hakosi kanisani Jumapili!
5. Amejenga shule za Waschana wa Kimasai kule Monduli!
N.k
Nnaamini kabisa kuna mazuri aliyofanya..Je ni yapi hayo?
Nnaamini kabisa kuna mazuri aliyofanya..Je ni yapi hayo?
Oh yeah, tuyaseme kama kweli yapo; binafsi sijyaona.
Ukiskia wananchi wa kitanzania wanafurahi kwa kiongozi wao kuanguka kama ilivyotokea kwa Lowasa basi uje kuwa kiongozi huyo ana walakini mkubwa.
Swali langu ni kuwa Je, kuna ubora wowote ktk wizara hiyo?..mifugo ama soko nje maaanake unaposema mchapa kazi kwelikweli shurti matunda yawepo!.. unaweza kutupa data za mafanikio ya wizara hiyo..1. Mchapakazi kwelikweli (Uliza mtu yoyote ndani ya bongo alie wizara ya mifugo, wanamuita baba huyu kwa kuwarekebishia mambo).
Swali langu ni kwamba unaposema lobbyst baabu kubwa una maana gani?.. maanake hata Pimp anaweza kuwa lobbyst babu kubwa ktk vitendo vya haramu na vinavyomdhalilisha mhusika.2. Ni lobbyst bab kubwa, kitu ambacho kwa throat cutting competitions za sasa ni muhimu sana kwa kiongozi.
Swali langu - Again, bado tumesimama palepale kuwa hata jambazi hufuatilia sana nyendo za yule anayetaka kumdhuru...Pimp mzuri ni yule anayefuatilia fedha zake hata kama ni haramu.... what matter ni mazuri kwa Taifa letu. What good amekifanya kwa Tanzania toka ashike madaraka na pengine hnyuma unakojaribu kumpaka utuli.3. Mfuatiliaji mzuri wa issues.