Mazoezi Nyumbani mechi ugenini

Mazoezi Nyumbani mechi ugenini

[emoji23][emoji23][emoji23] na bado tunafanya utafiti tuongeze nchi kadhaa kwenye list kuhusu mapishi tutawafundisha taratibu
 
Nina Marehemu dadangu alikuwa anaumwa akasikia Burundi kuna dawa alivyopata nguvu akaenda,kila nkimpigia analalamika mavyakula mabaya jamani hawajui kupika,kila siku kilio chake hicho,maskini mpaka akafariki,kuna wanyarwanda nlikuwa nafanya nao kazi kuku,mayai dagaa alikuwa hajui na hajawai kula (akitoka kwao anakuja na unga wa ulezi sijui ndo wanapikia ugali kwao alivyokuja nao nikawafundisha kupika uji mwe mwe mwe nlijiroga wote wakajipanga wajifunze kupika uji),wachoyo jamani
Embu wanaume zetu bakini huku tuwakarangizie
Hawajui kupika halaf wachafu hawaogi wanapaka mafuta tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wetu wamerogwa na tutawarudishaa
 
Ha Ha Ha kwenye kupika wale ndugu zetu wanajua kuchemsha makande tu ,githeri mchele kwao mpaka yesu au mtume akizaliwa,wanaume wetu jamani lakini why?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uliona lile jicho la bibi harusi wa kiba kwa prince wetu,haki yule atamtesa mwanetu
[HASHTAG]#aachike[/HASHTAG] tu kwa kweli hatutaki atutesee mwanetu
Nililiona nikasema hapaa ataachika kwa pamoja tuseme Ameen
 
Back
Top Bottom