Mazoezi Nyumbani mechi ugenini


Afadhali hiyo, maana kila mwanamke nikikutana nae tukabadilishana namba, ndani ya dk 5 napigwa kizinga,unakuta "my naomba nitumie 5000 ya vocha".......
Sijui wananionaje .....[emoji848][emoji848]
 
Uliona lile jicho la bibi harusi wa kiba kwa prince wetu,haki yule atamtesa mwanetu
[HASHTAG]#aachike[/HASHTAG] tu kwa kweli hatutaki atutesee mwanetu
We mwanamke, umeanza kumuonea wivu hadi kiba na mimi nipo?
Naenda Rwanda karibuni!!
 
Kweli hali mbaya kama hadi tunapangiana pa kuolea hakika kuna maombi ya toba yanahitajika. Eti makonda aingilie kati ili afanyaje?
 
Nimekumbuka kauli ya bibi kizur kinajiuza kibaya cha jitembeza
 
Rwanda na Congo wako vizuri, USA hawana adabu, Hatuoi mali sie.
Mara ya pili tena?
Mambo gani hayo ya kutupeleka kwa Makonda?
Wanawake wa Ki-tz mnataka kutuzika jamani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tunataka mnyooke, hatutaki ujinga sisi mnatukwaza sana
 
Ongea point ueleweke, yani umeandika pointless, mapenzi yapo kokote na wote ni binadamu, jifunze kutumia lugha nzuri JF,
 
Hata mimi naolewa na mzungu nachezea wotee halafu nakuja na mzungu hadi jf watuone halafu wataandika uzi wenye picha jueni ukizalishwa nje kamwe huingii ndani kamwe.

[emoji23][emoji23][emoji23] m-dm da mange akupe mwongozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…