Ukiuzia Kiwanda Maziwa lazma uhakikishe yapo sawa. Ukiongeza maji wanajua na wana kurudishia maziwa yako. Ingekua ina wezekana kuongeza maji na kuuzia kiwanda basi watu wange tajitika sana.Kiwanda kipo ZNZ. Wanaimport maziwa unga wanaprocess. Jiulize kwanini kiwanda hakikuwekwa bara ambako kuna maziwa mengi ya ngombe na walaji pia ni wengi?
By the way kwa Tanzania hiiiii maziwa ya ngombe ninayo trust siyo ya kutoka kiiwandani.
niongeze kwa kuwahabarisha kuwa: kwa wale mnaonunua maziwa fresh toka kwa wafugaji kuna umuhimu ujiridhishe kuwa hayajachakachuliwa. wauzaji wa maziwa wanaongeza maji kufanya yawe mengi kupata faida zaidi. ili kuficha huu ujanja huwa wanaweka vitu vya ajabu kama unga wa ngano, blue band etc kuyafanya yaendelee kuwa mazito. But ni hatari kwa afya hasa ya mtoto mchanga. Mtoto aweza kuharisha, kudumaa kwa kukosa virutubisho muhimu vya hayo maziwa na pia long term impact kwenye ini na figo. Hivyo basi namna rahisi ya kubaini kama maziwa fresh yamechakachuliwa ni: i. chovya njiti ya kiberiti halafu iwashe, isipowaka yametiwa maji
ii. mwaga kijiko kimoja cha maziwa kwenye sakafu, kama yameongezwa maji yatajitenga
iii. chukua glass weka maziwa fresh kiasi halafu kamulia ndimu au tone la alcohol (bia, konyagi) yasipokatika ni dalili pia yameongezwa maji.
Maziwa ni muhimu sana kwa afya ya inadamu hasa watoto na wazee. Tuingatie haya kwa afya bora za watanzania.
Asas au tanga fresh,azam mjanja mjanja ase
kunyweni asas diaries kama vp ila mbona azam tv hua wanaonyesha jinsi maziwa yao yanavotengenezwa na wanaonyesha ng'ombe kabisa wakikamua?
Liko wapi hilo shamba? Taja mahali lilipoAzam anashamba kubwa sana amefuga ng'ombe wa maziwa .ni maziwa halisi na wala hayana kipingamizi
Jamani, sio kila lalamiko limeambatana na wivu. Sometimes ni ladha tu zinazotofautisha mlaji A na BSasa watz kwa wivu wenu mliona ni vyema mwapige marufuku brookside ya wakenya maziwa ya kishua kazi ya Uhuru Kenyatta mwenyewe.Haya basi tulieni sindano iwaingie vizuri,ni mwanzo tu,azam watawanywesha hadi maziwa ya fisi!
NenoTatizo wabongo mmeanza tabia ya kufakamia kila kitu ambacho ni packed huku mkidharau kutumia vyakula halisi.
Hali hii inasababisha magonjwa ya kansa na shinikizo la damu kuzid kuongezeka hapa Tanzania
Mkuu kabla hujanywa maziwa Ahakikisha Tumbo halina gongo au pombe za moshi.
Usipofanya hivyo utaendelea Kuhara mpk ukauke maji mwilini.
Maziwa ya Azam yamepitishwa na TBS. Hakuna ujanja ujanja hapo.
Tatizo ni wewe Sio Maziwa.
Nishakunywa kama mara tatu, lakini kila nikinywa najiskia hovyo kama naumwa, vipi jamani haya Maziwa yana ubora kweli au ndio tunalishwa sumu kiaina?
Bidhaa ya bakhresa group of company iliyo bora ni Azam tv basi.....
TBS ni Moja tu TZ.TBS ipi unayoiongelea hapa. Kama ni wale wenye ofisi pale stand ya mkoa na kushauri ufikirie upya. Labda kama Magufuri atakamua majipu pale.
We mzima kweli?Nilijua tu lazima ulete udini
jaribu kunywa maziwa halisi ya tanga fresh hutajutia afya yako .ni natural asilimia mia.Nishakunywa kama mara tatu, lakini kila nikinywa najiskia hovyo kama naumwa, vipi jamani haya Maziwa yana ubora kweli au ndio tunalishwa sumu kiaina?
Ni sawa na shuhuda za Dr Mwaka kwenye video hazina uhalisia ni kudanganya umma wa watanzania...kunyweni asas diaries kama vp ila mbona azam tv hua wanaonyesha jinsi maziwa yao yanavotengenezwa na wanaonyesha ng'ombe kabisa wakikamua?
Yanatengenezwa na maziwa ya unga
Asas au tanga fresh,azam mjanja mjanja ase
Asas na Tanga fresh ndio maziwa ya ng'ombe halisi. Azam huwa anakusanya maziwa wapi?
Maziwa ya tanga hayahitaji kuchemsha. Yale yamefanyiwa kitu inaitwa" pesturaization" ukichemsha protein yote inakuwa denatured. Ila hongera kwa kuona kasoro kwenye kitu ya azam
Kwasababu unayatunza kwenye mazingira yasiyo ruhusu kuganda. Tofauti na azama ambayo hayatunzwi kwenye frezeer na bado hayagandi.Mi nayapikia hadi chai na hayagandi hayo tanga fresh
Hayagandi azam kwa kuwa sio maziwaKwasababu unayatunza kwenye mazingira yasiyo ruhusu kuganda. Tofauti na azama ambayo hayatunzwi kwenye frezeer na bado hayagandi.