Maziwa ya Azam siyaelewi!

Maziwa ya Azam siyaelewi!

ndugu yangu achana na hayo maziwa mm niliyanunia nikayaweka mdomon fundo moja nikatema nikayamwaga.. maziwa yana test kama tui la naz lilikokaangwa yaan wameweka vikolombwezo ambavyo vimeondoa maana halis ya maziwa kwa kifup situmii kinywaj chochote cha azam .. maana hata hzo soft drinks zao composition yake haina viwango
sinywi tena
 
Ha ha ha kunakitu sisi watanzania inabidi kujifunza kuna kitu inaitwa " manufactured" na " packed" . Hapo ndipo shida inaanzia. Maziwa ya azam bila shaka ni manufactured ambayo yanatokana na chemical na kuzipa " aroma" ya maziwa ya ngombe. Maziwa gani ata hayagandi ukiweka sehemu ambayo natural enzymes wa maziwa watafanya yagande. Au wanaweka priservatives nyingi kiasi kwamba uhalisia wa maziwa unapotea. Maziwa halisi ni TANGA FRESH na ASAS. Mengine ongezea ww unayoyajua yanatokana na ng' ombe. Kwanza cha kujiuliza huyo bhakesa hao ng'ombe kafugia wapi???
 
Yale maziwa hayapo sawa kabisa kila nikijaribu kunywa basi siku hiyo nita hara siku nzima nimejaribu mara mbili kwa sasa nayaona kama sumu flani
 
Maziwa ni tanga fresh haya mengine ubora wake ni wa hapa na pale
 
Nishakunywa kama mara tatu, lakini kila nikinywa najiskia hovyo kama naumwa, vipi jamani haya Maziwa yana ubora kweli au ndio tunalishwa sumu kiaina?
Mkuu kabla hujanywa maziwa Ahakikisha Tumbo halina gongo au pombe za moshi.

Usipofanya hivyo utaendelea Kuhara mpk ukauke maji mwilini.

Maziwa ya Azam yamepitishwa na TBS. Hakuna ujanja ujanja hapo.

Tatizo ni wewe Sio Maziwa.
 
Nilifikiri ni mimi mwenyewe! Siku nilipokunywa yale ya kwenye boksi la buluu tumbo liliniuma siku nzima!
 
Mkuu kabla hujanywa maziwa Ahakikisha Tumbo halina gongo au pombe za moshi.

Usipofanya hivyo utaendelea Kuhara mpk ukauke maji mwilini.

Maziwa ya Azam yamepitishwa na TBS. Hakuna ujanja ujanja hapo.

Tatizo ni wewe Sio Maziwa.
Mh nakubaliana wa ww kuwa yamethibitishwa lakin kumbuka tbs sio kila muda watakuwa wanakagua. Wao wakisha kugua vitendea kazi vyako na biadha wanaludhibitisha. Sasa kama huu ukanjanja umeanza saiv. Siku zote mtukiaji wa mwisho ndio inspector wa ukweli sio hao tbs. Kama hujalalamika na tbs hawajapata taarifa watajuaje sasa???
 
Jamani acheni lugha za kuchafua biashara za watu kama hufahamu kitu ni bora uulize.Azam anashamba kubwa sana amefuga ng'ombe wa maziwa .ni maziwa halisi na wala hayana kipingamizi
 
Mh nakubaliana wa ww kuwa yamethibitishwa lakin kumbuka tbs sio kila muda watakuwa wanakagua. Wao wakisha kugua vitendea kazi vyako na biadha wanaludhibitisha. Sasa kama huu ukanjanja umeanza saiv. Siku zote mtukiaji wa mwisho ndio inspector wa ukweli sio hao tbs. Kama hujalalamika na tbs hawajapata taarifa watajuaje sasa???
Mfanya biashara km Azam hawezi kufanya upuuzi wa namna hio hata siku moja.
We unafahamu kosa la Kuwauzia wananchi Chakula au kinywaji kilicho nje ya kiwango?
Kwa upuuzi huo anahatarisha Kufungiwa VIWANDA VYAKE VYOTE na Kupigwa Faini ya mamilioni ya pesa.

Maziwa ya Azam yananywewa na Mamilioni ya watanzania.
Sasa itokee hata watu 100 tu wapelekwe hospital kwa matatizo ya hayo maziwa Ujue Azam tumo ktk SHIDA kubwa sana.

Hawa wanaohara ovyo ni Walevi wa Pombe za buku jero!
Ukute maisha yake yote bia anakunywa Christmas mpk Christmas au apewe divai ya bure kanisani.
Matokeo yake tumbo limezoa Gongo. Sasa likikutana na maziwa hali ya kuwa liko Tupu anahara ovyo .

Watakufa Kwa Gongo hawa watu.
 
Nilijua tu lazima ulete udini
 
Mkuu kabla hujanywa maziwa Ahakikisha Tumbo halina gongo au pombe za moshi.

Usipofanya hivyo utaendelea Kuhara mpk ukauke maji mwilini.

Maziwa ya Azam yamepitishwa na TBS. Hakuna ujanja ujanja hapo.

Tatizo ni wewe Sio Maziwa.

Asante kwa kukomenti
 
ndugu yangu achana na hayo maziwa mm niliyanunia nikayaweka mdomon fundo moja nikatema nikayamwaga.. maziwa yana test kama tui la naz lilikokaangwa yaan wameweka vikolombwezo ambavyo vimeondoa maana halis ya maziwa kwa kifup situmii kinywaj chochote cha azam .. maana hata hzo soft drinks zao composition yake haina viwango
U said it all. In fact maziwa ya azam sio maziwa halisi sema tu ni habari ndefu lakini nitadondosha links ili mjue what is all about the so called maziwa ya azam

Pili soda zake na juice off course hapa kwenye soda sio peke yake be careful not to drink neither azam soda nor Sayona

DON'T SAY I DID NOT WARN YOU
 
Mkuu kabla hujanywa maziwa Ahakikisha Tumbo halina gongo au pombe za moshi.

Usipofanya hivyo utaendelea Kuhara mpk ukauke maji mwilini.

Maziwa ya Azam yamepitishwa na TBS. Hakuna ujanja ujanja hapo.

Tatizo ni wewe Sio Maziwa.
Dah! Khatari kweli kweli !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom