DINHO
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 886
- 1,749
Ndio hoja hii sasa, ila sio Dhambi kujengea.Binafsi huwa siafiki ujenzi wa kaburi kulijengea, watu wote tukijengea kaburi ni kumaliza nafasi. Unless labda ule ujenzi kama wa wazungu..ila huu wa kikawaida unakula nafasi na kuwanyima wengine nafasi ya kuzika.