Mazingaombwe Tanzania; hii kesi iliishia wapi!

Mazingaombwe Tanzania; hii kesi iliishia wapi!

kama una dili piga,ha
mna atakaye kuhoji mrdi uwe na mfadhili serekalini.
ukweli ndio huo,kwaherini
 
Unakosea mkuu ukisema hivo mie ni mkristo na naiheshimu sana dini ya mtu yoyote so usije ukasikia fulani anaitwa juma ikajua ni muislamu au anaitwa john basi ni mkristo hapana utakuwa umekosea! Kuitwa ALI haimaanishi kwamba wewe ni muislam ila je unafuata uislamu unavotaka? au wewe kuitwa JOSEPH haimaanishi haimaanishi kwamba wewe ni mkristo ila ila je unafuata UKRISTO unachofundisha? kwa hio sio vizuri kuwaona WAISLAAM NI WATU WABAYA LA HASHA ILA KUNA WATU WACHACHE KAMA HAO NDO WANAOIHARIBU DINI KUTOKANA NA MAJINA YAO! NA NDO MAANA KULE KWENYE ISLAMIC STATES WANAWANYONGA.fuatilia hakuna dini inayomtaka mtu awe drug traficker au drug dealer!!!!! Au tuseme kwamba wale wauzaji wakubwa wa mihadarati kule marekaniwenye majina ya JOSEPH,WINSTON,GEORGE n.k na wao ni WAKRISTO? Mkuu jaribu kufikiri mambo katika three dimensional usikurupuke!!!!!! Na usikashfu dini ya mwenzio sisi ni watu wa AL~KITABU yaan tuliopewa kitabu kabla yao so ni ndugu zetu hawa tusiaone wao kuwa ni WATUKUTU KIASI HICHO.asante

Hata uenyeji nao unachangia! kwani hawa wangalikua wakaazi wa Moshi, au Kagera, au Musoma, Mufindi, Katavi n.k. basi tungetegemea kupata waumini wa dini nyenginezo. Kiukweli hawa ni Watanzania, wanatia aibu taifa, taifa ambalo linapumulia mashine kwa kuzidiwa na wingi wa hawa watu kwa sasa!!
 
Unakosea mkuu ukisema hivo mie ni mkristo na naiheshimu sana dini ya mtu yoyote so usije ukasikia fulani anaitwa juma ikajua ni muislamu au anaitwa john basi ni mkristo hapana utakuwa umekosea! Kuitwa ALI haimaanishi kwamba wewe ni muislam ila je unafuata uislamu unavotaka? au wewe kuitwa JOSEPH haimaanishi haimaanishi kwamba wewe ni mkristo ila ila je unafuata UKRISTO unachofundisha? kwa hio sio vizuri kuwaona WAISLAAM NI WATU WABAYA LA HASHA ILA KUNA WATU WACHACHE KAMA HAO NDO WANAOIHARIBU DINI KUTOKANA NA MAJINA YAO! NA NDO MAANA KULE KWENYE ISLAMIC STATES WANAWANYONGA.fuatilia hakuna dini inayomtaka mtu awe drug traficker au drug dealer!!!!! Au tuseme kwamba wale wauzaji wakubwa wa mihadarati kule marekaniwenye majina ya JOSEPH,WINSTON,GEORGE n.k na wao ni WAKRISTO? Mkuu jaribu kufikiri mambo katika three dimensional usikurupuke!!!!!! Na usikashfu dini ya mwenzio sisi ni watu wa AL~KITABU yaan tuliopewa kitabu kabla yao so ni ndugu zetu hawa tusiaone wao kuwa ni WATUKUTU KIASI HICHO.asante

Ni kweli mkuu. Make mkuu wa mkoa wa Mwanza na hta Wasira nao wanajidai ni wakristu, lakini waliamuru waislam wachinje kwe lile sakata la nani anahaki ya kuchinja.
 
Kwanza ungeuliza icho kidhibiti ka bado kipo.
Mkuu ni kweli ishu hapa ni kwamba serikali ihakikishe inasafisha idara zake zooote na kuwatia mikononi mwa sheria wale wote wanaojihusisha na hiii bishara ya dawa za kulevya.WANAJULIKANA SO WASIFUMBIWE MACHO
 
umeanza lini tabia ya kurudi nyu:ma, pinda mkubwa wewe... mbona wakristo nao wapo, umefanya research gani ukapruvu kuwa 90% ya drug dealer ni muslims? acha ung-ese wewe...
 
Mie ninasubiri waifute ile kesi ya Mramba, Yona na Mgonja.. kesi ambayo ilifunguliwa mwaka 2008 au 2009 hivi.. Maana sasa inatia hasara.. Kesi gani ya jinai inachukua 5 years..!
 
Hivi kwa nini wanaojihusisha na madawa ama madrug dealers wengi yaani kama 90% ni waislamu? Mimi siyo mdini lakini wewe chunguza hata waliotajawa kwenye ile list ya Hong Kong ama wanaokamatwa uwanja wa ndege Dar ndiyo utajua nachokisema.Waaislamu bwana wanatuharibia ndugu zetu

Si ndio wanaoongoza kwa umaskini hapa nchini? Umesahau alichosema yule jamaa aliyeandika ile barua kutoka Hong Kong kuwa wao ni Mules (Punda) wanaotafuta ujira baada ya kufikisha mzigo? Haya ni matokeo ya watu (hasa vijana) kukaa bila ajira, watafanya kazi yoyote ili mradi mkono uende kinywani! Nimemuona FaizaFoxy kwenye uzi fulani akinadi kuwa eti drug dealers wengi ni Wakatolic!!! Huoni aibu mdini wewe? Ni wapi dunia hii kuna watu wenye maendeleo mazuri ya maisha kama Wakatolic? Mkuu wa nchi mwenyewe ni shahidi kwani alisoma kwenye shule zao ingawa ni Muislamu, pole sana!
 
Ni kweli kabisa ndugu!! Yaani viongozi wetu hawa hutumia tukio moja kufunikia jingine!na ni kweli kabisa kuwa viongozi(hasa wa ccm)wamekuwa wakitengeneza matukio hata ya mauaji ili kufunika na/au kuwasahaulisha wananchi kuhusu hoja nzito iliyokuwa ikiwaumiza vichwa na au kuhatarisha maslahi ya wakubwa hao,ila Mungu ni mkubwa!na ni mkubwa zaidi juu ya wanyonyaji na wakandamizaji wauaji kama ccm!!na atawalipiza hakika.

Kwa hiyo mkuu sasa hivi Serikali ya ccm inapika tukio ili kutusahaulisha hili la madawa ya kulevya.....Ngoja tusubiri tuone nn kitafuata ili tuhame kwenye tukio la dawa za kulevya...
 
Swali lako zuri sana na observation yako ni sahihi kabisa.

Natumaini swali litajibiwa kisomi kwa sababu jibu lake lipo na mifano halisi ipo.

Na hiyo siyo kwenye madawa ya kulevya tu, hata kwenye kesi za wizi mdogo mdogo mahakama ya mwanzo etc.

Wale wanaofikishwa mahakama za mwanzo wengi wao wanatiwa hatiani na kuhukumiwa vifungo jela lakini hawa wanaofikishwa mahakama za hakimu mkazi hasa kisutu kesi zao huwa zinayeyuka tu bila kujulikana zimeishaje.
 
Si ndio wanaoongoza kwa umaskini hapa nchini? Umesahau alichosema yule jamaa aliyeandika ile barua kutoka Hong Kong kuwa wao ni Mules (Punda) wanaotafuta ujira baada ya kufikisha mzigo? Haya ni matokeo ya watu (hasa vijana) kukaa bila ajira, watafanya kazi yoyote ili mradi mkono uende kinywani! Nimemuona FaizaFoxy kwenye uzi fulani akinadi kuwa eti drug dealers wengi ni Wakatolic!!! Huoni aibu mdini wewe? Ni wapi dunia hii kuna watu wenye maendeleo mazuri ya maisha kama Wakatolic? Mkuu wa nchi mwenyewe ni shahidi kwani alisoma kwenye shule zao ingawa ni Muislamu, pole sana!

Badala ya kujadili kesi mnajadili dini! Kwa nini humu JF watu wana chuki za kidini? Mtanzania akifanya kitu utasikia muislamu huyo! Nchi hii ina 80% ya viongozi wa ngazi za juu serikalini tangu uhuru hadi leo ya wakristo mbona hawashutumiwi kwa kushindwa kuleta maendeleo yanayoendana na rasilimali tulizo nazo na umri wa uhuru wetu, wakati Korea, Thailand au Indonesia tuliokuwa tunalingana nao by then wameendelea ukilinganisha na sisi? Tuzitumie elimu zetu vizuri, msilete mifarakano isiyo na tija.
 
Wakuu, Polepole hebu tutumie logic mbona tunkurupuka ! Hekima na busara wote tunaziacha nyuma ya mgongo, alafu tu shabikia nguvu za DINI/imani kali..... hebu tujifunze na methali hii:- ukihesabu idadi za ajali ya magari nchini utagundua kuwa gari ya aina za TOYOTA ndiyo nyingi zilizo husika katika ajali na kugongana...! Sasa yaani mtachukua hisia au tija kuwa TOYOTA ni magari mabaya na yenye uharibifu barabarani??? hapo mtakosea na kuwa hamkutendea haki shirika la magari ya TOYOTA, kwani wingi wa magari yao ni lazima yapate taathira na umaarufu wa machoni. Mfano huu unaPROVE kuwa idadi ya Raia wengi ni WAISILAMU Tanzania. kwa hiyo kosa linapotokea kukusanyika na kupatikana wengi wao kwenye chungu kimoja na wahanga wengi katika majangaa ni katika ratio za walokithiri kwa majina ya kiisilamu japo UISILAMU upo INNOCENT na watendaji na uhalifu wao. Lingine panapo tokea balaa au maafa huwpo majina mengi ambayo ni kiisilamu ndo inamaanisha walijitakia kuwa na maafa? Shida na ugumu wa maisha zisizokwepeka humpeleka mtu mwneye akili timamu kutenda maovu " Desperate make desperate people do desperate things" hivyo itatubidi waTanzania kujigeuza MALAIKA (angels) tusifanye dhambi, u tujigeuze wanyama tusiwe na huruma.... Kila taifa lina watu wabaya na watu wazuri.
 
Dili za Bilions! Ndugu yangu akufunge nani? Kwa hili dili unaweza kupewa Mke hata na Raisi ukaoa mwanaye maana mpunga wake si mchezo.
Ha ha ha !!!
Ngoja nizche kusoma miye, taabu ya nini wakati waweza kupata billions kwa kuwa pakacha la kubebea mali!
 
Huyu jamaa tangu abadili rangi ya bendera amekuwa mjinga kweli. Au kwa kuwa mabwana wako ndio wanafanya hii kitu?

Tujadili mustakabali wa vijana wetu na matumizi ya madawa ya kulevya bila kuvunjiana heshima!Comrade Zemarcopolo doesnt deserve this at all!

Agnes Masogange aliyekamatwa na kilo 150 za madawa huko SA akitokea TZ ni MWISLAM?Au kuna mwenye ushahidi kuwa dada huyu ni "punda" tu ila mwenye mzigo huo ni MWISLAM?
 
Back
Top Bottom