Mazingaombwe Tanzania; hii kesi iliishia wapi!

Mazingaombwe Tanzania; hii kesi iliishia wapi!

Afghanistan ndo nchi inayozalisha 'unga' kwa kiasi kikubwa sana kuliko nchi yoyote katika sayari hii; ni nchi ya kikatoliki! Mojawapo ya kazi kubwa ya majeshi ya ushirika kule Afghanistan ilikuwa ni kuharibu mashamba ya 'poppy', nchi hizo zikiongozwa na Marekani ni nchi za kiislam! Elimu bhana, anza kumpeleka mtoto mdoogo ambaye hajaanza hata kujitambua vizuri kwenye madarasa ya dini, ujue unamtengenezea uncertain future, mwishoni toto liishie kuwa drug pusher or worse, gaidi. Na hivyo ndo wakatoliki walivyo!

Wao wanalima tu, now tell me where do they rank in drug consumption? Wanalima OPIUM na moja ya kazi yake ni painkiller, sasa hizo nchi za mnazoziita za kikristo ndio WATUMIAJI wakubwa wa dawa za kulevya. Tafuta rankings uone middle eastern countries zilivyo na watumiaji wachache. Suala la kufanya biashara haramu halitokani na dini, nani anaweza kuniambia ni chi zipi zinaongoza kwa biashara za PORNOGRAPHY, LIQUOR, HOMOSEXUALITY etc ambazo sidhani zinaruhusiwa kidini, kama sio America na Europe? Huko kwa waislamu? Acheni upumbavu usiokuwa na tija kwa taifa hili. Mjadili watu sio dini zao, retards!!!
 
Unakosea mkuu ukisema hivo mie ni mkristo na naiheshimu sana dini ya mtu yoyote so usije ukasikia fulani anaitwa juma ikajua ni muislamu au anaitwa john basi ni mkristo hapana utakuwa umekosea! Kuitwa ALI haimaanishi kwamba wewe ni muislam ila je unafuata uislamu unavotaka? au wewe kuitwa JOSEPH haimaanishi haimaanishi kwamba wewe ni mkristo ila ila je unafuata UKRISTO unachofundisha? kwa hio sio vizuri kuwaona WAISLAAM NI WATU WABAYA LA HASHA ILA KUNA WATU WACHACHE KAMA HAO NDO WANAOIHARIBU DINI KUTOKANA NA MAJINA YAO! NA NDO MAANA KULE KWENYE ISLAMIC STATES WANAWANYONGA.fuatilia hakuna dini inayomtaka mtu awe drug traficker au drug dealer!!!!! Au tuseme kwamba wale wauzaji wakubwa wa mihadarati kule marekaniwenye majina ya JOSEPH,WINSTON,GEORGE n.k na wao ni WAKRISTO? Mkuu jaribu kufikiri mambo katika three dimensional usikurupuke!!!!!! Na usikashfu dini ya mwenzio sisi ni watu wa AL~KITABU yaan tuliopewa kitabu kabla yao so ni ndugu zetu hawa tusiaone wao kuwa ni WATUKUTU KIASI HICHO.asante
Usituharibie hii thread kwa udini wako hapa. najua umetumwa uje kuvuruga haya majadiliano yanayohusu dawa za kulevya kwa kutumia dhana ya udini. you are lost tumekugundua hila zako punda wa kubebeshwa dawa za kulevya wewe!!!!
 
Afghanistan ndo nchi inayozalisha 'unga' kwa kiasi kikubwa sana kuliko nchi yoyote katika sayari hii; ni nchi ya kikatoliki! Mojawapo ya kazi kubwa ya majeshi ya ushirika kule Afghanistan ilikuwa ni kuharibu mashamba ya 'poppy', nchi hizo zikiongozwa na Marekani ni nchi za kiislam! Elimu bhana, anza kumpeleka mtoto mdoogo ambaye hajaanza hata kujitambua vizuri kwenye madarasa ya dini, ujue unamtengenezea uncertain future, mwishoni toto liishie kuwa drug pusher or worse, gaidi. Na hivyo ndo wakatoliki walivyo!
FREE AFGHANISTAN....je waijua au mwaisikia?
 
kwahiyo unataka tanzania iwe china

tz ujanjaujanja mwingiii hakuna uwazi,,hata kama hawawanyongi basi mkiwakamata kwa mbwembwe(vyombo vya habari)mmalizie kwa mbwembwe pia..........siyo mnatangaza leo mkiongwa mnawatoa kimyakimya ...mnatufanya mazube
 
It will take a lot of time n sacrifice before the naked truth is revealed, mysterious murders , assassination, disapearance of inocent people and all dreadful things will associate this saga
 
kesi za EPA ziliishia wapi?
kesi ya madawa ya mtoto wa Lyiumba iliishia wapi?
kesi ya kuhujumu shirika la ATC ya Mataka iliishia wapi?

hii ndio raha ya tanzania hasa ukiwa kwenye system...wanatuita vyura ati kelele zetu haziwazuii kunywa maji
 
Kuna haja kweli ya Data base ya kesi kuanzishwa ili mtu ukitaka kujua kesi Fulani iko hatua gani just on line upate taarifa. Hii inawezekana na hasa kesi kubwa kubwa sio zile za kuku. Inatakiwa iwe centralized pale mahakama kuu, kuwe na server kubwa, ambapo mahaka za wilaya wanaweza kuapdate taarifa.
 
Wanaolima na wanaotumia lao moja, wanamtumikia shetwani, but they have the best book, best God and best Religion under the the sun
Wao wanalima tu, now tell me where do they rank in drug consumption? Wanalima OPIUM na moja ya kazi yake ni painkiller, sasa hizo nchi za mnazoziita za kikristo ndio WATUMIAJI wakubwa wa dawa za kulevya. Tafuta rankings uone middle eastern countries zilivyo na watumiaji wachache. Suala la kufanya biashara haramu halitokani na dini, nani anaweza kuniambia ni chi zipi zinaongoza kwa biashara za PORNOGRAPHY, LIQUOR, HOMOSEXUALITY etc ambazo sidhani zinaruhusiwa kidini, kama sio America na Europe? Huko kwa waislamu? Acheni upumbavu usiokuwa na tija kwa taifa hili. Mjadili watu sio dini zao, retards!!!
 
Rais bado mtoto nyerere alisema, kwani lini tangu aambiwe umemwona kakua???
 
mkuu , asante sana kwa kunikumbusha kwamba kumbe mtagwa amefungwa kwa sababu ya unga !
 
Naomba msaada wa namna ya kuukana uraia wa Tanzania , au basi nimeghairi , maana hatuwezi kuiacha nchi mikononi mwa mapanya buku , tutaendelea kuipigania .
 
Naomba picha ya msibani au ya kaburi la Daudi Balali!!
 
Polisi wenyewe ndio hawa wakina KOVA ambae akilala na akiamka anachowaza ni kuangalia ataifanyia nini CCM dhidi ya CHADEMA unategemea kutafanyika chochote juu ya biashara ya dawa za kulevya ambazo wanaomtuma kuisingizia kesi mbalimbali CHADEMA ndio wahusika wa biashara hii ya madawa ya kulevya
 
Back
Top Bottom