Mazingaombwe Tanzania; hii kesi iliishia wapi!

Mazingaombwe Tanzania; hii kesi iliishia wapi!

Hivi kwa nini wanaojihusisha na madawa ama madrug dealers wengi yaani kama 90% ni waislamu? Mimi siyo mdini lakini wewe chunguza hata waliotajawa kwenye ile list ya Hong Kong ama wanaokamatwa uwanja wa ndege Dar ndiyo utajua nachokisema.Waaislamu bwana wanatuharibia ndugu zetu
Mkuu mchana mwema, Samahani kukufahamisha Kuwa kwa nadharia yako hii umekwnda mbali na kukosea kwa yafuatayo:- Umetuhumu umma mkubwa bila kuwa na ushahidi, umehukumu watu bila kuheshimu sheria za kibinaadamu, umeshinikiza chuki juu ya waumini wa kiisilamu ndo wanawaharibu ndugu zetu hayo yote ni tuhuma za uongo na uchokozi usiona msingi. Tafadhali shughulisha kichwa na bongo lako bila hisia na chuki zako utaweza kutambua na kujua mambo na habari nyingi juu ya uhalifu wa biashara hii ambayo ina imeshimiri miaka mingi tangu 1950/60 iliyopita na mitandao yake ndiyo kwanza imetinga East Africa hapa kwetu hilo ni jipya baada ya kupigwa vita sehemu nyingi, Sasa wakongwe husika ni USA,MEXICO,ULAYA na ASIA nk. in generol FYI biashara za silaha na drugs zinamilkiwa na Churchs (makanisa makubwa) Duniani na biashara za madini (minerals) humilikiwa na wayahudi(jews)... Na biashara ya kuuza na kusafirisha wa watu(human trafficking) humilikwa na waCHINA na kwa kumalizia biashara ya JIHADIST ina milikiwa na "CIA" intelijensia za mataifa makubwa US/FRANCE/RUSSIA/UK nchi hizi ndiyo zenye access na upeo wa kuchonganisha,kushawishi na kubambikiza vujo na vita kwa malengo yao na masilahi yao kwenye utajiri wa rasilimali wazitakazo(Africa,Arabuni nk) hayo ni machache, ukisoma na kifanya tafiti zako utaelewa mengi na kujifunza kuandika ya "maana" panapo hitajika. Mkuu ni wie radhii matokeo unayo yaona ni chembe nduchu bado kuna wimbi kubwa linafuatia hakuna la kuzuia hata serikali ifanyeje.... fatilia takwimu hii:- watumiaji wameongezeka, wasafirishaji unalenga walomasikini (shida).
"Tushikane mikono pamoja na tuombe MUNGU atupishe mbali na majangaa haya maovu" na wala tusimtamanie adui yetu.
hali hii mbaya!!
 
Si ndio wanaoongoza kwa umaskini hapa nchini? Umesahau alichosema yule jamaa aliyeandika ile barua kutoka Hong Kong kuwa wao ni Mules (Punda) wanaotafuta ujira baada ya kufikisha mzigo? Haya ni matokeo ya watu (hasa vijana) kukaa bila ajira, watafanya kazi yoyote ili mradi mkono uende kinywani! Nimemuona FaizaFoxy kwenye uzi fulani akinadi kuwa eti drug dealers wengi ni Wakatolic!!! Huoni aibu mdini wewe? Ni wapi dunia hii kuna watu wenye maendeleo mazuri ya maisha kama Wakatolic? Mkuu wa nchi mwenyewe ni shahidi kwani alisoma kwenye shule zao ingawa ni Muislamu, pole sana!
Angalau wewe umesema ukweli na una maono sio hao wanaokuja kunipa propaganda za ajabu ajabu hapa.Mimi nauliza kati ya wanaotajwa nani wa kuja hapa akakanusha kuwa majina hayo si ya kiislamu na kama ni ya kiislamu atueleze kati ya hao nani anaenda msikitini ama haendi.Ukweli utabaki pale pale
 
Swali lako zuri sana na observation yako ni sahihi kabisa.

Natumaini swali litajibiwa kisomi kwa sababu jibu lake lipo na mifano halisi ipo.

Na hiyo siyo kwenye madawa ya kulevya tu, hata kwenye kesi za wizi mdogo mdogo mahakama ya mwanzo etc.

Ndugu yangu nafuu wewe umeliona hili,nchi hii watu wanapenda sana simpath kila sehemu,watu wanaogopa kuusema ukweli ndiyo maana tunabaki maskini tu wa mawazo.Mimi nimesoma majina nikaona watuhumiwa wengi wana majina ya kiislamu sasa mwenye fact ni yeye kuja na kuniambia kuwa Ramadhani Madabida ana jina la kiislamu lakini si muumini wa kiislam, ama Idd Azan ana jina la kiislam lakini si muumini wa kiislamu na msikitini hajawahi kukanyaga.

Sasa kwa kuwa tulishazoe majibu mepesimepesi kila sehemu basi akili yetu imelala tuli,narudia kusema waliokamatwa na wenye kesi nyingi za madawa ya kulevya ni waislamu sasa wewe katika watu unaowajua niambie wakristo waliokwishakamatwa ama wanaotajwatajwa ni wangapi then linganisha na waislam
 
Wakuu, Polepole hebu tutumie logic mbona tunkurupuka ! Hekima na busara wote tunaziacha nyuma ya mgongo, alafu tu shabikia nguvu za DINI/imani kali..... hebu tujifunze na methali hii:- ukihesabu idadi za ajali ya magari nchini utagundua kuwa gari ya aina za TOYOTA ndiyo nyingi zilizo husika katika ajali na kugongana...! Sasa yaani mtachukua hisia au tija kuwa TOYOTA ni magari mabaya na yenye uharibifu barabarani??? hapo mtakosea na kuwa hamkutendea haki shirika la magari ya TOYOTA, kwani wingi wa magari yao ni lazima yapate taathira na umaarufu wa machoni. Mfano huu unaPROVE kuwa idadi ya Raia wengi ni WAISILAMU Tanzania. kwa hiyo kosa linapotokea kukusanyika na kupatikana wengi wao kwenye chungu kimoja na wahanga wengi katika majangaa ni katika ratio za walokithiri kwa majina ya kiisilamu japo UISILAMU upo INNOCENT na watendaji na uhalifu wao. Lingine panapo tokea balaa au maafa huwpo majina mengi ambayo ni kiisilamu ndo inamaanisha walijitakia kuwa na maafa? Shida na ugumu wa maisha zisizokwepeka humpeleka mtu mwneye akili timamu kutenda maovu " Desperate make desperate people do desperate things" hivyo itatubidi waTanzania kujigeuza MALAIKA (angels) tusifanye dhambi, u tujigeuze wanyama tusiwe na huruma.... Kila taifa lina watu wabaya na watu wazuri.

Toyota motors na siasa wapi na wapi? Tumia akili kijana acha kutumia masabur
 
Hii ilitokea 10th September 2011, je kesi iliishia wapi?
Source: The Guardian, IPPmedia.

Heron(1).jpg

Five people yesterday appeared before the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam charged with trafficking in 97,000 grammes of heroin with a street value of 4.3bn/-.

Principal State Attorney Fredrick Manyanda named the accused, who included four Tanzanians and an Iranian national as;

  1. Ally Pirbakhshi (41), a resident of Mikocheni
  2. Azizi Kizingiti (30), a coordinator of Jahazi Taarabu, a resident of Kinondoni
  3. Saidi Mrisho (31), a tour guide and resident of Tandale kwa Tumbo.
  4. Abdulrahman Lukongo (36), resident of Kariakoo
  5. Hamidu Karim (43), who is a resident of Magomeni in Dar es Salaam. All are reportedly taxi divers.

Manyanda alleged before Principal Resident Magistrate Ilivin Mgeta that the accused committed the offence on September 7, this year at Africana Mbuyuni area in Kinondoni District.

It was alleged that on Wednesday, September, 7, this year, the accused were caught trafficking to the country 97,000 grams of heroin with a street value of 4,365,000,000/-.

The accused were not allowed to enter any plea as the court has no mandate to proceed with the case. Manyanda said investigation into the case is continuing. The case was adjourned to September 23, this year for another mention.

Nadhani atakuwa na undugu na Abrahman Mpishi wa mapilau na Bilyan kwenye masufuria za Shaba.
 
Kesi nyingi za Madawa zimeisha kinyemela kwani vidhibiti vyote vimeyeyukia kwenye hifadhi za polisi.... Mahakamani wakiomba ushahidi unaletwa Unga wa sembe na glucose unadhania nani atafungwa?
 
Mdogo wake rostamu alikamatwa na madwa tanga lakini alishinda kesi hahahahahaha.
 
Naona tunatoka kwenye swala la msingi tunaanza UDINI...Nadhani kama ungeanzishwa uzi wa kesi kubwa zote za madawa ya kulevya katika miaka 10 au 15 halafu tuone ni ngapi zilihukumiwa hapo tunaweza jua kama Serikali na watendaji wake ni wafanyabiashara hiyo au la? Nadhani tukifanya uchunguzi vizuri tunaweza pata taarifa nzuri hata zikachapishwa kwenye magazeti na kuelezeea tatizo kimfumo liko wapi.
 
Sasa hv hakuna nchi. Kuna majambazi fulani ndio wanaongoza hii nchi, hakuna cha police,tiss,jwtz,mgambo wala ------ ya nani, hii nchi ipo auto pilot, ndio muda wa kutengeza pesa kwa kuuza vumbi, kila mtu anajikusanyia awezavyo, magwanda yote chini,..........pigeni dili jamani km mnasubiri kuna siku nchi hii itakuwa ya asali na maziwa haya endeleeni kuota.........mi namsubiri yesu tu sasa hv.....coz tz hamna kipya
 
Kuhusisha uhalifu wa dawa za kulevya na dini yoyote ile ni kufilisika kimawazo. Hawa ni wahalifu tu.Shetni hana dini isipokuwa ya kishetani tu.Sote tuihimize jamii kuzingatia maadili ya kiMungu na tuungane kuiondoa CCM yenye kuwapendelea wageni hata kuwapa mikopomikubwa ya biashara kwa masharti ya hasara kwa nchi lakini ikiwakamua raia kwa hata kodi ya laini za simu na timuatimua ya wamachinga sehemu zao za biashara.
 
kesi za EPA ziliishia wapi?
kesi ya madawa ya mtoto wa Lyiumba iliishia wapi?
kesi ya kuhujumu shirika la ATC ya Mataka iliishia wapi?

Kesi ya IDI SIMBA....
Ila izo za madawa zimekwisha kihalali kwani mwenye mzigo wake si aliuchukua ndo sababu hakuna kesi?
 
Naona watu wamepotosha kabisa lengo la posti yangu hii; ni bahati mbaya tu kwamba kesi niliyoanza nayo imegusa sehemu ya jamii lakini hilo halikuwa lengo langu, la hasha. Nilitaka tukumbushane matukio yote ya ya vijana wa Kitanzania kukamatwa na dawa za kulevya popote pale iwe ndani ama nje ya nchi na kesi yenyewe ikaishaje. La muhimu ni kwamba wengi waliokamatwa nje ya nchi ama wamefungwa au wamenyongwa lakini hakuna kesi iliyoisha hivi hivi kama tunavyoshuhudia hapa nchini. Sasa tuendelee...

1. Tanzania boxers jailed in Mauritius for drug-smuggling

_68290771_composite.jpg

Four Tanzanian boxers; Ramadhani Fills, Nathanael Elia Charles, Ally Rajabu Msengwa and Petro Charles Mtagwa, have been sentenced to 15 years in prison in Mauritius after pleading guilty to heroin-smuggling charges. The boxers told a court they smuggled the heroin into Mauritius because they needed money to support their families. They were on the Indian Ocean island to compete in an amateur boxing tournament when they were arrested in 2008. The judge said the time they had spent in prison since then would be knocked off their 15-year sentence.

Tunaendelea;

2. Tanzanan Girl to be jailed for drug possession.

pix.jpg

Her name is Fatma and she is from Ilala, Dar es Salaam. The drugs were found in her luggage at Egypt Airport!

3. Two women arrested at O.R. Tambo International Airport in Johannesburg over drug trafficking!

th
drugs.jpg
663037293.jpg

Two Tanzanian women, Agnes Jerald & Melisa Edward, were arrested at O.R. Tambo International Airport in Johannesburg, South Africa with 150 kilogrammes of crystal methamphetamine in their possession. The drugs, locally known as "tik", have an estimated street value of 7 billion shillings ($4.3 million), according to the South Africa Revenue Service (SARS).."It is the biggest tik or crystal meth bust that SARS customs has made at any port of entry," said SARS spokesperson Marika Muller.
 
Mkuu mchana mwema, Samahani kukufahamisha Kuwa kwa nadharia yako hii umekwnda mbali na kukosea kwa yafuatayo:- Umetuhumu umma mkubwa bila kuwa na ushahidi, umehukumu watu bila kuheshimu sheria za kibinaadamu, umeshinikiza chuki juu ya waumini wa kiisilamu ndo wanawaharibu ndugu zetu hayo yote ni tuhuma za uongo na uchokozi usiona msingi. Tafadhali shughulisha kichwa na bongo lako bila hisia na chuki zako utaweza kutambua na kujua mambo na habari nyingi juu ya uhalifu wa biashara hii ambayo ina imeshimiri miaka mingi tangu 1950/60 iliyopita na mitandao yake ndiyo kwanza imetinga East Africa hapa kwetu hilo ni jipya baada ya kupigwa vita sehemu nyingi, Sasa wakongwe husika ni USA,MEXICO,ULAYA na ASIA nk. in generol FYI biashara za silaha na drugs zinamilkiwa na Churchs (makanisa makubwa) Duniani na biashara za madini (minerals) humilikiwa na wayahudi(jews)... Na biashara ya kuuza na kusafirisha wa watu(human trafficking) humilikwa na waCHINA na kwa kumalizia biashara ya JIHADIST ina milikiwa na "CIA" intelijensia za mataifa makubwa US/FRANCE/RUSSIA/UK nchi hizi ndiyo zenye access na upeo wa kuchonganisha,kushawishi na kubambikiza vujo na vita kwa malengo yao na masilahi yao kwenye utajiri wa rasilimali wazitakazo(Africa,Arabuni nk) hayo ni machache, ukisoma na kifanya tafiti zako utaelewa mengi na kujifunza kuandika ya "maana" panapo hitajika. Mkuu ni wie radhii matokeo unayo yaona ni chembe nduchu bado kuna wimbi kubwa linafuatia hakuna la kuzuia hata serikali ifanyeje.... fatilia takwimu hii:- watumiaji wameongezeka, wasafirishaji unalenga walomasikini (shida).
"Tushikane mikono pamoja na tuombe MUNGU atupishe mbali na majangaa haya maovu" na wala tusimtamanie adui yetu.
hali hii mbaya!!

naomba niseme kuwa mimi ni Mkristo Mkatoliki, na kwa kias flan cpendelei kuzungumzia nischokijua ila kwa hapa nitaomba nizungumze machache ninayoyajua, kwanza kabisa niseme tu kuwa nilivyoiona Tz na watu wake ni kuwa sio watu wa dini, huwa ni mashabiki wa din, kama unataka kujua hilo fanya utafiti kidogo tu, fungua guest yako halafu wewe uwe pale risepshen ushuhudie ni wateja gan wanakuja, watakuja Mohamed, John, Kayumba. na ama wake za watu au watoto wa watu, jambo ambalo hata din zote imelikataa, nikija kwenye hoja ya huyo mtoa mada nichojua mimi ni kuwa ni ukwel majina mengi ya wauzaji na wasambazaji ni watu wenye majina ya Kiislam jambo ambalo ameshindwa kuliweka sawa hapa huyu bwana ni kuwa din sio jina din ni utaratibu, miiko na utamadun ambao Mungu amemtaka kila mwanadam anaehtaji kuirith mbingu anapaswa kuifuata nj kuish, so inapotokea kwa mfano
 
Angalau wewe umesema ukweli na una maono sio hao wanaokuja kunipa propaganda za ajabu ajabu hapa.Mimi nauliza kati ya wanaotajwa nani wa kuja hapa akakanusha kuwa majina hayo si ya kiislamu na kama ni ya kiislamu atueleze kati ya hao nani anaenda msikitini ama haendi.Ukweli utabaki pale pale
Afghanistan ndo nchi inayozalisha 'unga' kwa kiasi kikubwa sana kuliko nchi yoyote katika sayari hii; ni nchi ya kikatoliki! Mojawapo ya kazi kubwa ya majeshi ya ushirika kule Afghanistan ilikuwa ni kuharibu mashamba ya 'poppy', nchi hizo zikiongozwa na Marekani ni nchi za kiislam! Elimu bhana, anza kumpeleka mtoto mdoogo ambaye hajaanza hata kujitambua vizuri kwenye madarasa ya dini, ujue unamtengenezea uncertain future, mwishoni toto liishie kuwa drug pusher or worse, gaidi. Na hivyo ndo wakatoliki walivyo!
 
hivi kwani viongozi wa dini gani wahusishwa na hii biashara hapa tz? ki ukweli biashara hii ni lazima uwe na pesa ndo utaifanya la sivyo utaishia kuwa punda tu na kuhatalisha maisha yako, mi nazani kundi lenye pesa linatumia kundi jingine ili kujinufaisha na kunufaisha jamii yake kwa ujumla huku likifanikiwa kuchafua jamii nyingine eg angalialia alichoandika NIWEMUGIZI utafahamu nini nazungumzia
 
Back
Top Bottom