Mazingaombwe Tanzania; hii kesi iliishia wapi!

Mazingaombwe Tanzania; hii kesi iliishia wapi!

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,600
Reaction score
23,976
1. Hii ilitokea 10th September 2011, je kesi iliishia wapi?
Source: The Guardian, IPPmedia.
​

Heron(1).jpg

​

Five people yesterday appeared before the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam charged with trafficking in 97,000 grammes of heroin with a street value of 4.3bn/-.

Principal State Attorney Fredrick Manyanda named the accused, who included four Tanzanians and an Iranian national as;



  1. Ally Pirbakhshi (41), a resident of Mikocheni
  2. Azizi Kizingiti (30), a coordinator of Jahazi Taarabu, a resident of Kinondoni
  3. Saidi Mrisho (31), a tour guide and resident of Tandale kwa Tumbo.
  4. Abdulrahman Lukongo (36), resident of Kariakoo
  5. Hamidu Karim (43), who is a resident of Magomeni in Dar es Salaam. All are reportedly taxi divers.

Manyanda alleged before Principal Resident Magistrate Ilivin Mgeta that the accused committed the offence on September 7, this year at Africana Mbuyuni area in Kinondoni District.

It was alleged that on Wednesday, September, 7, this year, the accused were caught trafficking to the country 97,000 grams of heroin with a street value of 4,365,000,000/-.

The accused were not allowed to enter any plea as the court has no mandate to proceed with the case. Manyanda said investigation into the case is continuing. The case was adjourned to September 23, this year for another mention.

Clarification;

Naona watu wengi wamepotosha kabisa lengo la posti yangu hii; ni bahati mbaya tu kwamba kesi niliyoanza nayo imegusa sehemu ya jamii lakini hilo halikuwa lengo langu, la hasha. Nilitaka tukumbushane matukio yote ya vijana wetu kukamatwa na madawa za kulevya popote pale iwe ndani ama nje ya nchi na kesi zenyewe zikaishaje. La muhimu ni kwamba wengi waliokamatwa nje ya nchi ama wamefungwa au wamenyongwa lakini hakuna kesi iliyoisha hivi hivi kama inavyotokea hapa nchini, je kulikoni? Sasa tuendelee...

2. Tanzania boxers jailed in Mauritius for drug-smuggling



_68290771_composite.jpg


​
Four Tanzanian boxers; Ramadhani Fills, Nathanael Elia Charles, Ally Rajabu Msengwa and Petro Charles Mtagwa, have been sentenced to 15 years in prison in Mauritius after pleading guilty to heroin-smuggling charges. The boxers told a court they smuggled the heroin into Mauritius because they needed money to support their families. They were on the Indian Ocean island to compete in an amateur boxing tournament when they were arrested in 2008. The judge said the time they had spent in prison since then would be knocked off their 15-year sentence.

3. Two women arrested at O.R. Tambo International Airport in Johannesburg over drug trafficking!

th
drugs.jpg
663037293.jpg


​

Two Tanzanian women, Agnes Jerald & Melisa Edward, were arrested at O.R. Tambo International Airport in Johannesburg, South Africa with 150 kilogrammes of crystal methamphetamine in their possession. The drugs, locally known as "tik", have an estimated street value of 7 billion shillings ($4.3 million), according to the South Africa Revenue Service (SARS).."It is the biggest tik or crystal meth bust that SARS customs has made at any port of entry," said SARS spokesperson Marika Muller.


4. Tanzanan Girl to be jailed for drug possession.


pix.jpg

​

Her name is Fatma and she is from Ilala, Dar es Salaam. The drugs were found in her luggage at Egypt Airport!
 
CCM huwa hawafungani.mashwatani hawa
 
Na ile ya SUMAYE kukamata kiwanda kunduchi,na yule mama wa mbezi beach,na kabuku-tanga hukamatwa watu wengi bila kujua hukumu zake
 
Watu wanaendeshwa kwa matukio...

Ukitaka kujua nchi hii noma, we nenda kalulizie KIZIBITI kiko wapi?
kama hujakuta watu washarudishiwa chao. yani POLISI HAWA HAWA wake na mzigo wa thamani ya 4Bil plus Ndani wakti hata kizuibiti cha Gongo tu huw akinapootea,
nakuhakikishia Kizibiti kama hicho hata waziri Mkuu anaweza kupita nakuomba achotewe kidogo walau kilo Moja.
 
Na ile ya SUMAYE kukamata kiwanda kunduchi,na yule mama wa mbezi beach,na kabuku-tanga hukamatwa watu wengi bila kujua hukumu zake

Mkuu wale wa Kabuku walipigwa miaka 25, nasikia wanataka kukata rufaa, ila wakili wao sijui amejitoa.
 
kuna ile ya Tanga mdogo wake mbunge mstaafu wa Igunga,DPP amemfutia mashtaka
 
Waendesha mashtaka wachunguzwe mna habari binti wa Liumba yupo uswazi!
 
Chezeya utawala wa sheria ndani ya hii Serikali sikivu!!!!

kesi za EPA ziliishia wapi?
kesi ya madawa ya mtoto wa Lyiumba iliishia wapi?
kesi ya kuhujumu shirika la ATC ya Mataka iliishia wapi?
 
Hivi Ultimatum ya Kinana kumshitaki Mbunge Msigwa zile siku hazijaisha bado? au kesi ipo Mahakama ipi?
 
Watu wanaendeshwa kwa matukio...

Ni kweli kabisa ndugu!! Yaani viongozi wetu hawa hutumia tukio moja kufunikia jingine!na ni kweli kabisa kuwa viongozi(hasa wa ccm)wamekuwa wakitengeneza matukio hata ya mauaji ili kufunika na/au kuwasahaulisha wananchi kuhusu hoja nzito iliyokuwa ikiwaumiza vichwa na au kuhatarisha maslahi ya wakubwa hao,ila Mungu ni mkubwa!na ni mkubwa zaidi juu ya wanyonyaji na wakandamizaji wauaji kama ccm!!na atawalipiza hakika.
 
Hivi kwa nini wanaojihusisha na madawa ama madrug dealers wengi yaani kama 90% ni waislamu? Mimi siyo mdini lakini wewe chunguza hata waliotajawa kwenye ile list ya Hong Kong ama wanaokamatwa uwanja wa ndege Dar ndiyo utajua nachokisema.Waaislamu bwana wanatuharibia ndugu zetu

Unakosea mkuu ukisema hivo mie ni mkristo na naiheshimu sana dini ya mtu yoyote so usije ukasikia fulani anaitwa juma ikajua ni muislamu au anaitwa john basi ni mkristo hapana utakuwa umekosea! Kuitwa ALI haimaanishi kwamba wewe ni muislam ila je unafuata uislamu unavotaka? au wewe kuitwa JOSEPH haimaanishi haimaanishi kwamba wewe ni mkristo ila ila je unafuata UKRISTO unachofundisha? kwa hio sio vizuri kuwaona WAISLAAM NI WATU WABAYA LA HASHA ILA KUNA WATU WACHACHE KAMA HAO NDO WANAOIHARIBU DINI KUTOKANA NA MAJINA YAO! NA NDO MAANA KULE KWENYE ISLAMIC STATES WANAWANYONGA.fuatilia hakuna dini inayomtaka mtu awe drug traficker au drug dealer!!!!! Au tuseme kwamba wale wauzaji wakubwa wa mihadarati kule marekaniwenye majina ya JOSEPH,WINSTON,GEORGE n.k na wao ni WAKRISTO? Mkuu jaribu kufikiri mambo katika three dimensional usikurupuke!!!!!! Na usikashfu dini ya mwenzio sisi ni watu wa AL~KITABU yaan tuliopewa kitabu kabla yao so ni ndugu zetu hawa tusiaone wao kuwa ni WATUKUTU KIASI HICHO.asante
 
Kilikuwa ni kiini macjo ili muone serikali inachukua makini. Ikawapiga chana la macho. Baadhi ya hao wapo nje ya nchi wanapeta na biashara tajwa.
 
Tungekuwa china wala tusingejadili tena coz tungekuwa tunajua kwamba wote walinyongwa,,,,lakini tz ............kawatafute viwanja wanaponda raha na case majalada yalipoteaa....chezea home wewe
 
Back
Top Bottom