Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,651
- 22,819
Nimemuelewa hoja yangu ni kwamba kwanini aseme gari inashida kwasababu spare ni gharama? Kwanini zile taa walimtengenezea ili akazivunje au azitumie barabarani kuangaza mwanga wa kuona akiendesha gari?Mkuu, jamaa kwenye uzi wake hajasema kuwa gari lina shida ila amesema linamfilisi kwa kuwa vipuri vyake na service ni vya gharama sana. Mfano hiyo service, ni kama amewatahadharisha wengine wataotaka kununua CX5, wajue wanachokiingia