Mazda CX 5 inanifilisi!

Mazda CX 5 inanifilisi!

Mwana jamii mwenzetu ,Connections amepata changamoto ya gari yake Mazda, tumpe maneno ya faraja , pia kata b ima kubwa ( Complihensive) ili ikulinde kwenye majanga haya
Ushauri mzuri huu. Watu wanapuuzia sana hili. Au ukute hata pesa ya Nina kubwa hana. Kuna jamaa juzi alikuwa ana vimba na F range ya 2023. Kuizoom ikagundulika hata bima Haina imexipre; tukabaki kumuonea huruma likitokea la kutoka ajaibonda sehemu.
 
1. Wakuu niliagiza Mazda CX 5 ya 2015, 2,200cc (diesel) August 2024 baada ya mwezi na nusu ikawa imeshafika bongo.

2. Nikajipinda nilkaitoa bandarini. Mziki umekuja kwenye kui-maintain daah msala. December nilienda nayo kijijini sasa kule Barabara zetu sio nzuri siku ikanyesha mvua tope kama lote barabaran kulazimisha kupita gari ikaserereka hadi kwenye mti puu taa ya upande wa dereva ikapasuka, kuulizia bei 1.5m TZS! Mpaka leo taa nimeunga na gundi.

3. Service natumia oil Castro 5w30 gharama za kila kitu service nayo kizunguzungu huna laki 7 hujafanya service.

Nipo safarini ila ndinga hii inanifikirisha sana.
Jipinde nunua taa mpya halafu tafuta bwege mmoja muamishie msiba
 
1. Wakuu niliagiza Mazda CX 5 ya 2015, 2,200cc (diesel) August 2024 baada ya mwezi na nusu ikawa imeshafika bongo.

2. Nikajipinda nilkaitoa bandarini. Mziki umekuja kwenye kui-maintain daah msala. December nilienda nayo kijijini sasa kule Barabara zetu sio nzuri siku ikanyesha mvua tope kama lote barabaran kulazimisha kupita gari ikaserereka hadi kwenye mti puu taa ya upande wa dereva ikapasuka, kuulizia bei 1.5m TZS! Mpaka leo taa nimeunga na gundi.

3. Service natumia oil Castro 5w30 gharama za kila kitu service nayo kizunguzungu huna laki 7 hujafanya service.

Nipo safarini ila ndinga hii inanifikirisha sana.
Takataka
 
Back
Top Bottom