Mazda CX 5 inanifilisi!

Mazda CX 5 inanifilisi!

Ntakua SA wiki ijayo tuma picha hapa hapa nikuulizie bei ya hiyo taa ntakuuzia kati ya laki saba Mpya au used itapungua kidogo ila inakua vizuri tu hata hizo service kit ukihitaji vyote nakutueletea kwa bei ndogo mpaka air cleaner yake hata brake pad cha msingi nitumie VIn yake kwa taa picha.
Malipo unafanya baada ya mzigo wako kufika daslm.
Sasa tunaenda kiangazi ni muda wa kuweka taa mpya za corolla yangu ,hakika matope yameichafua gari la ukoo .

Vipi kaka taa za corolla naweza kupata na betri zuri kabisa la gari ,kunipitishia hapa mbalizi
 
Hahahaha gari sio lelemama likiamua kukuchapa invoice.
Hahah kuna watu hudhani kwa sababu wana uhakika wa kupata 40K ya mafuta per day basi wanaweza kumiliki gari kumbe gari inahitaji huduma zaidi ya mafuta.

Taa tu 1.5 mill toka Dec mwaka jana sasa tunaenda kuugawa mwaka na hajanunua siku chuma ikidai gear box au mswaki (maana engine mzima ni shughuli nyengine) itakuwaje?
 
Mazda toka lini ikawa na parts bei juu mkuu ni vile wauzaji wanaamua kuweka mazingira magumu tu hiyo ni sawa na VW polo au GTI parts zake sio bei kubwa shida wauzaji wa Tanzania wanaua sana...
 
Tofautisha UBOVU na KUFILISI. Sijazungumzia UBOVU Bali ughali wa vifaa vya CX 5 (Taa kubwa ya mbele 1.5m tofauti na gari nyingi za ukubwa zinazofanana)
Ndugu bado hujaona uzembe wako katika hilo?
Kabla ya kuinunua hiyo Mazda CX5 hukujua gharama za vipuri vyake?
Uzembe wa maamuzi yako unaulazimisha kuwa ndio kasoro za hiyo gari kukuumiza kiuchumi.
 
Back
Top Bottom