TheGreatASA
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 302
- 391
Pole sana, ingekufaa IST
Haya njoo uchukue milioni 15 uepuke hizo shida.
Una bei gan?Niuzie mimi boss ndo nilikuwa naitafuta mimi Nina connection ya mafuta ya diesel ya ofisini ya bure nahisi haitanisumbua kihivyo
Kijijini kwao wangejuaje kama anamiliki gari?Kwanini uipitishe kwenye mitope? Kulikuwa na ulazima kwenda nayo kijijini kipindi cha mvua? kama umamake kupata fedha za kununua cx5 ndiyo ushindwe kupata 1.5m ya taa?
Laki 7 ni nyingi Sana kwenye serviceHiyo service ya 700K unakuwa unabadili na kitu gani?
Cabin filter,oil filter,air filter na fuel filter?
Castro 5W30 kwa mkoa haivuki 130K tena garage za kishua zenye mambo ya 18% VAT uchochoroni 110K.
Anachangamsha jamvi tu.Laki 7 ni nyingi Sana kwenye service
Ntakua SA wiki ijayo tuma picha hapa hapa nikuulizie bei ya hiyo taa ntakuuzia kati ya laki saba Mpya au used itapungua kidogo ila inakua vizuri tu hata hizo service kit ukihitaji vyote nakutueletea kwa bei ndogo mpaka air cleaner yake hata brake pad cha msingi nitumie VIn yake kwa taa picha.
Malipo unafanya baada ya mzigo wako kufika daslm.
Hahah kuna watu hudhani kwa sababu wana uhakika wa kupata 40K ya mafuta per day basi wanaweza kumiliki gari kumbe gari inahitaji huduma zaidi ya mafuta.Bado hujasema, kama gari ni 30 million plus umeweza kuilipia. Sioni ugumu wa wewe kuweza kuinunulia taa ya 1.5M
Atakuona una dharau wakati unataka kumtua mzigo!Haya njoo uchukue milioni 15 uepuke hizo shida.
Huu ndo ushauri unaofaa akiagiza online ni hela ndog mnooo uku bongo wenyew biashara zao wapo kwa ajili ya kukomoana tu ndio maana daily wanapigia kelele wachina wanaofanya biashara pale kariakooAgiza China taa laki tatu tu