Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,941
Hizo za huko kusini huwa nizarangi gani mkuu.Kigoma hio mbegu ya maharage ya njano imepitwa na wakati, jifunzeni nyanda za juu kusini wana mbegu nyingi nzuri.
Siku nikija nyumbani ntamletea bi mkubwa mbegu za Mbeya na Njombe/Iringa ajaribu kuzipanda.