Mazao jamii ya maharage ni fursa nzuri ya biashara

Kwa ardhi tuliyonayo sekta ya kilimo ingetogen ajira nyingi sana. Chakula ni biashara yenye faida zikuzote kwani kila siku inahitajika. Bakhresa ame tajiri la kwa biashara ya chakula.

Vyama vya ushirika vikiwa na mitano mikubwa vinaweza kuajiri vijana wa purchasing and marketing ambao wanaweza kwenda nje ya nchi kutafuta masoko.

Wakulima waelimishwe kuwa lengo liwe ni kuzalisha grade 1 na kwa grade hii bei ni 1$ kwa kilo. Itasaidia kuongeza jitihada. Ni kama mtihani kila mtu anasoma apate A ikitokea umepata C unashukuru bora umefaulu.
Tuna changamoto hasa.
Kwa hiyo vipi, ulipata koneksheni za kupeleka mazao Morocco?
 
Tuna changamoto hasa.
Kwa hiyo vipi, ulipata koneksheni za kupeleka mazao Morocco?
No ndiyo ninafikiria jinsi ya kupata mzigo mzuri na mkubwa pia kupack. Tenda kama hizi zinatakiwa uwe na uhakika wa upatikanaji wa bidhaa usiharibu uaminifu wako.
 
Du Kuna sehem maharage ya njano debe ni Tsh 13,000 wastani kg 1 kama 700 hivi.Tuna hao wanavijiji unawapa kazi ya kugrade kabisa na ni organic hawaweki dawa zozote maana wakishavuna tu mzigo unaingia sokoni.
 
Wapi huko boss
 
Maharage gani, sio yale mekundu kama nini sijui?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Maharage yote ukiingia vijijini yanapimwa na kopo la plastic la walanguzi, lililo chemshwa na kuungua kisha likapasuka na kushonwa.

Ujazo wake ni zaidi ya lita 1 ambayo kawaida ni equivalent ya kilo 1. Mkulima akijidai kubwa kikopo chake apime mwenyewe walanguzi hawanunui kwake.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kwa ardhi tuliyonayo sekta ya kilimo ingetogen ajira nyingi sana. Chakula ni biashara yenye faida zikuzote kwani kila siku inahitajika. Bakhresa ame tajiri la kwa biashara ya chakula.

Vyama vya ushirika vikiwa na mitano mikubwa vinaweza kuajiri vijana wa purchasing and marketing ambao wanaweza kwenda nje ya nchi kutafuta masoko.

Wakulima waelimishwe kuwa lengo liwe ni kuzalisha grade 1 na kwa grade hii bei ni 1$ kwa kilo. Itasaidia kuongeza jitihada. Ni kama mtihani kila mtu anasoma apate A ikitokea umepata C unashukuru bora umefaulu.
Uko sahihi,
Ila kwa sisi wakulima TULIOPIGIKA, hakuna jambo gumu kama kuunganisha wakulima kwenye vikundi, vyama vya ushirika viliwaibia mno wakulima, kiasi kwamba inahitajika elimu, elimu, kuwepo na vyama vya mfano vya mafanikio, watu wakaige, ila wakulima tunataka tulime tuuze on the spot hata kama ni bei ya chini BORA tulipwe keshi mkononi siyo kukopwa miaka 3.

Na mambo mengine ni kuburuzana BORA kutekeleza ilani ya Chama.
PM ametukosea SANA kwenye mazao ya biashara kung'ang'aniza ushirika!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Kwa kusafirisha nje ya nchi unapata mashine za kuchambulia na kufungia. Kama mtaji wa kununua mashine huna unatangaza vibarua, anaekuja unampa debe na ungo, anahahihisha ametoa mabovu na mawe yote na kupepeta.
Bila hata kusafirisha unaweza kupack na kusambaza madukani.
Kama kuna mtu ashaiona hiyo mashine atume hata picha ili tupate muongozo na pakuanzia
 
Bila hata kusafirisha unaweza kupack na kusambaza madukani.
Kama kuna mtu ashaiona hiyo mashine atume hata picha ili tupate muongozo na pakuanzia
1618744431679.png

Low Price Fully Automatic 1kg 2kg 3kg 5kg 10kg Bag
Hii inaanzia £8,000
 
Kwa mujibu ya taarifa ya BBC kiswahili 2018, Tanzania inaongoza kwa uzalishaji wa maharage Africa ikianza kigoma ikifuatia Kagera na ya tatu ni mbeya.

Lakini zao hilo halijatiliwa maanani na serikali hivyo watu hawawekezi kwa ukubwa bali kilimo cha kujikimu tu.

Hii fursa serikali iingalie kwa umakini, maharage ni zao la muda mfupi na halihitaji mvua nyingi na mikoa mingi lina kubali.
 
Njoo kwetu kigoma uone maharage wanavyo yauza, bakuli kubwa la kilo moja na nusu wanauza kwa sh,2800/=, Niambie kama kwenu huko Dar soko lipo niwaleteeni
Kigoma hio mbegu ya maharage ya njano imepitwa na wakati, jifunzeni nyanda za juu kusini wana mbegu nyingi nzuri.

Siku nikija nyumbani ntamletea bi mkubwa mbegu za Mbeya na Njombe/Iringa ajaribu kuzipanda.
 
Tatizo la bongo Sky Eclat Ni uwekezaji. Kuna uwekezaji mdogo kuanzia kwenye uzalishaji mpaka processing. Naweza kusema 60% ya wakulima wanalima chini ya vieka 5. wengi Sana eka 1-2 baaasi. Hapa Ni Lazima aforce kuweka high profit margin ili apate kitu. Ndio maana unakuta Kama huyo mchangiaji hapo juu alivyosema kuwa Kigoma wanauza 1.5 kg kwa 2500 sawa na 1,000/kg wakati DSM (ambapo Ni jiji la larger consumers wa mazao) Ni 2,000/kg.

Kwa sababu ya mtu mmoja mmoja kuzalisha kidogo kidogo gharama za kusafirisha kuunganisha mzigo zinakuwa juu sana. Ukumbuke pia wakulima hawasafishi vizuri Wala kuweka katika grades. Ukianza pia na kugrade ndipo usishangae kukuta grade 1 Ni 20% ya mzigo mzima, 60% Ni grade II. Hapa Sasa utakuta mazao ya Tanzania Yana Bei juu mno, Kama ilivyo kwenye mahindi. Mahindi ya Zambia Ni mazuri mno na Bei chini kidogo kuliko ya Tanzania. Soya ndio balaa lake bila angalau 1,200/kg mkulima anaona Bora atupe.

Suluhisho Ni Ushirika/Co-operatives societies. Kupitia ushirikani ndipo uhamasishaji wa kilimo unafanya, mazao yanaweza kukusanywa kwa Pamoja, kusafishwa inavyotakikana, kutafuta soko.
Tatizo jingine Ni wanasiasa na Serikali kuingilia kazi za Co-operative society mfano la mkuu wa wilaya ya Songwe.
Ushirika uliopo Sasa hivi umejaa wazee wasio na ubunifu, hawana soft marketing skills na hawajui hasa kazi ya Ushirika.

Now najifunza canning process, inshallah mwenyezi Mungu akijaalia in 5 years niwe nafunga njugu mawe.
Anayetaka njugu mawe kutoka Bukoba zipo karibu kukomaa, tutafutane.

Majibu haya hapa.
Kwa mujibu ya taarifa ya BBC kiswahili 2018, Tanzania inaongoza kwa uzalishaji wa maharage Africa ikianza kigoma ikifuatia Kagera na ya tatu ni mbeya. Lakini zao hilo halijatiliwa maanani na serikali hivyo watu hawawekezi kwa ukubwa bali kilimo cha kujikimu tu.
Hii fursa serikali iingalie kwa umakini, maharage ni zao la muda mfupi na halihitaji mvua nyingi na mikoa mingi lina kubali.
 
No ndiyo ninafikiria jinsi ya kupata mzigo mzuri na mkubwa pia kupack. Tenda kama hizi zinatakiwa uwe na uhakika wa upatikanaji wa bidhaa usiharibu uaminifu wako.
Dada usiogope Mbozi na Songea kuna maharage ya kutosha, wewe ni kutafuta supplier wa nyanda za juu kusini, mwingine kigoma mungine kagera na kilimanjaro.Hutokosa maharage ya kuuza miezi 6 constantly.

Ntakutafuta project yangu ikianza niko kujipanga walau heka 10 kwa msimu 2021-2022. Mi nipo nyanda za juu kusini, huku debe hufika mpaka 25. Miaka miwili mfululizo maharage yamekuwa juu kidogo debe 30+, ila yapo.

Wanalima masika na kiangazi.
 
Back
Top Bottom