Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 3,520
- 4,203
Mpaka hapo hakuna thamani
Uzuri wa hii ngoma ya watoto huwa haikeshi. Mnapiga na kucheza wenyewe. Mnawahi kuchoka.
Shida yetu ni kusubiri kufuata upepo. Mfano, parachichi lilipigiwa debe weee, ila sasa kimya. Tunaanza kuleta ufuta, mara kakao, mara miti....vitu vyote vinahitajika.
Ni kuamua