Mazao 10 ya kilimo yaliyoongoza mauzo nje ya nchi

Mazao 10 ya kilimo yaliyoongoza mauzo nje ya nchi

Hapa ndio umeandika nini?
Soko la Dunia bei inakua kwa usd.

Assume kilo ya bidhaa ni dola 1.

Jinsi hela unavyo shuka thamani basi ndio jinsi unapata hela nyingi, kwa sasa ina maana mkulima atapata hio 2700, ila shilingi ikipanda thamani na kuwa 2300 ina maana mkulima anapata hela kidogo zaidi.

Ndio maana nchi nyingi zinazo Export sana kama China wanashusha thamani hela zao wapate hela nyingi zaidi.
 
Mama yako kachukia alievujisha nyaraka za ufisadi kwa mange yeye anataka ufisadi ufunikwe
Ni kinyume na Maadili wewe ulitaka achekelee?

Watumishi wa Umma wameapkwa sheria ya usalama wa Taifa kutovujisha Siri Sasa wakivujisha huo sio utovu wa nidhamu?
 
Kaka nitume account wekeni billion 1.5 kwa sababu mna machwa wa kindezi sana ujue🤔
Una feli meku
Yaan machimbo yote haya hujapata lako ulambe asali Mzee?
Ebu acha uzembe bhana
Mama mitano tena yaan ingewezekana akae hadi 2035
 
My Take
Kama unataka pesa ni kulima ufuta na Kakao.

Pamba,Chai na Mkonge ni zilipendwa Kwa Sasa.Mwaka wa pili mfululizo Ufuta unaongoza.

Mazao 10 ya kilimo yaliyoongoza mauzo nje ya nchi:

1. Ufuta - Trilioni 2.0
2. Korosho - Bilioni 931.0
3. Tumbaku - Bilioni 860.2
4. Mbaazi - Bilioni 615.2
5. Kakao - Bilioni 568.6
6. Mchele - Bilioni 450.5
7. Kahawa - Bilioni 392.9
8. Mahindi - Bilioni 348.9
9. Dengu - Bilioni 280.3
10. Parachichi - Bilioni 252.3
View attachment 3344247

Haya ni matokeo ya muendelezo wa kazi nzuri iliyofanywa na Samia kwenye sekta ya Kilimo.

Kwani nani kasema mkonge hauhitajiki? Hivi unajua pamba ilivyo na thamani ingawa kilimo chake kiko vile vile toka enzi na enzi?

Unapoandika haya, usitoe conclusion kirahisi rahisi. Uelewa wako ni mdogo sana kwenye haya mambo. Wewe unapambania tonge na kwenda na upepo unavyovuma
 
Mpaka hapo hakuna thamani
 
Kwahiyo mama samia kawalazimisha watu wa nje wale ufuta kwa wingi?
Acha ujinga wewe mbuzi ,kutafuta masoko ya Nje kuanzia china Hadi India.

Nyie mawatu msio kwenye Kilimo hakuna kitu mnajua
 
Ufuta bei imezingua mwaka huu,ngoja tusubiri mbaazi na korosho
 
Acha ujinga wewe mbuzi ,kutafuta masoko ya Nje kuanzia china Hadi India.

Nyie mawatu msio kwenye Kilimo hakuna kitu mnajua
Boss nalima nyanya na pilipili sema nami napambana na msimu, sasa hivi nimelima mwendokasi pilipili za kupata hata pesa ya kula tu nimekuta zimezagaa mtaani, ila natafuta njia nizitunze màana miaka 2 nasikia zinadunda ngoja niziudumie nipate hata ndoo 2 kwa wiki
 
Back
Top Bottom