Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

Status
Not open for further replies.
Hivi, Hawa watu wasiofahamika Tzni akina nani??
Waliomteka Roma hawafahamiki....
Waliomteka Ben hawafaamiki.....
Waliopiga mabomu ofisi za wanasheria hawafahamiki ......
Waliojaribu kumuua Lissu hawafahamiki......
Hivi kile kitengo cha upelelezi kina kazi ghani?????
UMC.... Unidentified Moving Creatures...

Police knows better.
 
Nakumbuka ambavyo mwaka 2008 nilipokamatwa ikidaiwa mimi ni GAIDI ulijitoa na kuja kuwa wakili wangu bila kuombwa na hata hukuniomba senti. Wakati huo hukuwa katika "active politics".

Maisha yakaenda mbele, ukawa mwanachama wa JamiiForums kwa jina halisi (verified Tundu Lissu) na kuniambia unataka kuonesha support kwa huduma tunayoitoa.

Disemba 2016 nilipokamatwa kwa madai ya kutotoa 'ushirikiano' kwa vyombo vya dola, hukuniacha ukaja hata bila kuitwa. Ulinisisitiza "Max, tumetoka mbali hata kabla sijaingia kwenye siasa, leo unanikimbia? Sikuachi uumie, nitakutetea bure na hata kufunga safari toka Dodoma kila kesi yako itakapotajwa." Tukacheka na kutiana moyo!

View attachment 583487

Ni wiki mbili zilizopita tulipopiga picha hii, hapa ulikuwa unarekebisha kalenda yako kuhakikisha tarehe ya kesi yangu unakuwepo ili kuhakikisha sizamishwi na walionipania (na nakumbuka ulithubutu kuwaambia usoni mbele zangu).

Habari ya wewe kushambuliwa kwa risasi (ni wazi waliutaka uhai wako) imeniumiza sana, imenitia simanzi kuu na kunifanya nikose la kufanya zaidi ya kupata japo dakika kadhaa kukuombea (the best I could do).

I happen to know you Tundu, nje ya siasa wanazoona walio wengi! Mungu akusaidie upone haraka na kukurejeshea afya yako hata kuyaponya majeraha yako.

Mungu wetu ni mwingi wa huruma; kama amekuepusha na kifo leo - atakuponya!

Get well soon brother...
Inasikitisha sana kwa kweli.
 
Max ulipost kitu cha kiroho kule Facebook leo nadhani, una roho ya kinabii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We acha tu Mkuu mimi ndiyo nimepata ahueni kama nusu saa tu iliyopita. Hata kazi zangu nilishindwa kabisa kufanya kuona huu unyama wa kutisha aliofanyiwa Kamanda Lissu huku akiwa hana hatia yoyote ile bali kutimiza wajibu wake kama raia na mbunge

Huyu mtu ni hatari sana kwa mshikamano wa Taifa letu. Wastaafu wote wamkemee kwa kauli na vitendo vyake vilivyojaa chuki na visasi vya kutisha ambavyo sasa vinaigwa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya.

Mkuu machozi ya mtu mzima yana uchungu sana moyoni.
Nimelia sana, nimesikitika sana, nimesononeka sana, amani imetoweka moyoni mwangu kila ninaposikia na kushuhudia mambo kama haya katika Taifa letu.

Mungu ni Mwema Dua zetu atazijibu, tuwe na subira
 
Nakumbuka ambavyo mwaka 2008 nilipokamatwa ikidaiwa mimi ni GAIDI ulijitoa na kuja kuwa wakili wangu bila kuombwa na hata hukuniomba senti. Wakati huo hukuwa katika "active politics".

Maisha yakaenda mbele, ukawa mwanachama wa JamiiForums kwa jina halisi (verified Tundu Lissu) na kuniambia unataka kuonesha support kwa huduma tunayoitoa.

Disemba 2016 nilipokamatwa kwa madai ya kutotoa 'ushirikiano' kwa vyombo vya dola, hukuniacha ukaja hata bila kuitwa. Ulinisisitiza "Max, tumetoka mbali hata kabla sijaingia kwenye siasa, leo unanikimbia? Sikuachi uumie, nitakutetea bure na hata kufunga safari toka Dodoma kila kesi yako itakapotajwa." Tukacheka na kutiana moyo!

View attachment 583487

Ni wiki mbili zilizopita tulipopiga picha hii, hapa ulikuwa unarekebisha kalenda yako kuhakikisha tarehe ya kesi yangu unakuwepo ili kuhakikisha sizamishwi na walionipania (na nakumbuka ulithubutu kuwaambia usoni mbele zangu).

Habari ya wewe kushambuliwa kwa risasi (ni wazi waliutaka uhai wako) imeniumiza sana, imenitia simanzi kuu na kunifanya nikose la kufanya zaidi ya kupata japo dakika kadhaa kukuombea (the best I could do).

I happen to know you Tundu, nje ya siasa wanazoona walio wengi! Mungu akusaidie upone haraka na kukurejeshea afya yako hata kuyaponya majeraha yako.

Mungu wetu ni mwingi wa huruma; kama amekuepusha na kifo leo - atakuponya!

Get well soon brother...
Uzi wako umenipa sana uzun mkuu
Mungu atamponya tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom