Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

Status
Not open for further replies.
yes inasikitisha mno,kuwa upande wa pili kiitikadi ni haki ya msingi ndani ya katiba hili jambo tumeliongelea sana kuwa tunajenga utamaduni mbaya sana wa kuwa taifa la vurugu na vitisho,and keep in mind hapa hapa SADC kuna nchi ambazo kwao ni kawaida to eliminate mtu yeyote ambaye for one way or another ni kikwazo na athari zake wote tunaziona,hawana muda wa kufikia mwafaka kwa mazungumzo kwao mwafaka ni damu kumwagika .nasi tumeshapiga hodi kwenye maisha hayo.get well Hon.TL wewe ni mtanzania kama sisi ni haki yako kuongea kuhusu nchi yako na vile vile ni haki ya kila mmoja wetu either kukubaliana naye au kupingana naye,its not a big issue hii ndio democracy tunayoihitaji,sio kukubaliana kwa kila kitu.
 
Inadikitidha sana. Sijui wapi tunakoelekea, kutekwa na mauaji imekua kitu cha kawaida tz kitu amvacho hatukukizoea. Lenye mwanzo halikosi mwisho na hakuna marefu yasokua na ncha. IPO siku zitajulikana mbivu na mbichi.
 
Mungu akuponye Mhe Tundu Lissu , na kikubwa zaidi akulinde. Watanzania tunakuhitaji sana kwa ajili ya ujenzi Wa nchi yetu.
Eeh Mungu ninakuombaeal ,umponye Mhe Tundu Lissu.

Hakika mkuu tuanapaswa kusema wote kuwa "ACHENI MUNGU AITWE MUNGU" Amewatia upofu maadui wakaenda kutimiza matakwa yao mchana kweupeee! Kwa mtu VIP kama TAL wangejitambua zaidi. Sasa Mungu wa huruma atamponyesha kabisa kamanda na kudeal na maadui zake mmoja mmoja kwa kadiri ya mapenzi yake yeye aliyetuumba wote.
 
Aisee toka jana ni maumivu ya moyo kwangu. Pole sana Max na Mungu wetu mkuu atamponya
 
Amin! Amini! Amini!,mzalendo,mpenda haki yoyote yule bila kujali chama,itikadi,rangi nk ameguswa na kilichomtokea mzalendo Tundu A. Lissu
 
Melo kuna uzi wangu kule kwenye jukwaa la malalamiko, nimelalamika bado sijasikilizwa hadi muda huu.

Naomba unisaidie mkuu
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Wenzetu hapa Kenya wanamkosoa rais wao hadharani tena redioni na vipindi vya kumkosoa waziwazi bila hofu na rais haoni tatizo..lakini kwetu wanataka kuabudiwa.
To be honest nimechukia kiasi cha kuingiwa na roho ya chuki dhidi ya watu flani
Yani tuna nyanyasika nchini mwetu na watu wachache wanaojiona miungu as if ni watoto yatima tusio na wakututetea...

Serious inauma na inakera mno,Mungu amponye TL soon,ila watu hawa wajifanyao wana mamlaka yote mpaka kukatisha uhai wawatu Mungu atashuhulika nao siku si nyingi...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mkuu, hakika saa inakuja ambapo hiki kiza kilichotugubika kitamezwa na nuru nzuri yenye kuvutia!

Mungu ni mwema sikuzote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom