Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

Status
Not open for further replies.
Inauma sana kuona jamiiforums mmekaa kimya hivi mmesahau jinsi lissu alivyojivika kesi inayoikabili jf kama wakili?
Kwanini tusiwe na kumbukumbu?
Wema wa mtu hauozi nachoomba tu uongozi wa jf wekeni utaratibu tumchangie matibabu lissu nashangaa sana kwanini msiweke utaratibu kwa kuanzisha uzi na maalum na kuweka namba sisi members tumchangie kwa hiari zetu
Mpaka sasa hivi naona kimya tu hadi naumia moyoni
NAWASILISHA
 
Mi navyoona uhai wa Lissu usisubiri michango,, kuna watu hapo juu wana pesa za kutosha kina Lowassa na mbowe si watoe pesa mara moja mtu akatibiwe haraka,,halaf huku watu wakiendelea kuchanga
Msiwadanganye watu kuwa hali ya Lissu ni nzuri,hali ya Lissu ni mbaya na anahitaji matibabu ya hali ya juu
 
Mi navyoona uhai wa Lissu usisubiri michango,, kuna watu hapo juu wana pesa za kutosha kina Lowassa na mbowe si watoe pesa mara moja mtu akatibiwe haraka,,halaf huku watu wakiendelea kuchanga
Msiwadanganye watu kuwa hali ya Lissu ni nzuri,hali ya Lissu ni mbaya na anahitaji matibabu ya hali ya juu

Toa mchango, Lissu hakuwa anamtetea Mbowe na Lowassa peke yake, suala la hawa watu wanazo au hawana Ni Lao binafsi, Toa mchango mama, utu kwanza mambo mengine baadae
 
Mmh..kwa akili yake bwana yulee....ataona unamjaribu/ kumnanga kiaina... Hatoki mitandaoni,gurudumu lile linazunguuka likikosa kukanyaga kule ujue laja huku mradi lirambe!
 
karibuni kumuombea LISSU mtandaoni kunaweza kupigwa marufuku..
wamepiga marufuku maombi..
wamekamata Tshirt za kumuombea Lissu..
loading...
 
Hili lilitokea kwa Mh.Tundu Antipas Lissu, limefanya tuyajue mengi, kujitoa kwake kwa watu wengi tena bila kutaka kulipwa fedha!
Hakika Mungu aliyeyaokoa maisha yake, aendelee kumpa uzima!
He is a HERO

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu MTU from no where anakuja kutuaminisha eti Lissu no msaliti anatumiwa na mabeberu na ujinga mwingine kwa vile tuu anawaambia ukweli? Ndio maana Mungu mwenye uweza wote akakataa pamoja na risasi 16 mwilini asife ili utukufu uonekane kwa watenda haki.
Tujiulize mbona majambazi risasi moja tuu tena unyayoni ni safari tuu?
May be ni reserved president for 2020, na tuseme amina neno lako bwana na litimie
 
Nimeusoma Uzi huu wa Max naona kama umeandikwa Leo hii ambapo tunashuhudia Lissu;
Ananyimwa stahili ya matibabu hadi achangiwe na watu as if he is nobody.

Ananyang'anywa ubunge eti ni mtoro na hajulikani alipo.

Anaishia kupewa kebehi na vibaraka wa awamu ya tano kama Musiba na hawa wa JF.

Tumuombe Mungu awape maisha marefu watesi wa Lissu waje waone anavyoinuliwa kwa mkono wako
 
IMG_20190708_112420_395.JPG
 
Huwa najuta sana kuzaliwa mwanamke hv watu km kina Msiba jaman hakuna mtu anayeweza kuwanyofoa roho zao wapotee kbs??naumia sana moyo mm
Kuwanyofoa roho ni kama kurudia waliyokuwa wanafanya.
Hao ni kuwapoteza gerezani muda wao uliobaki ili wajue hawakustahili kuishi na binadamu civilized
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom