Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

Status
Not open for further replies.
Siku ya Leo ni mgumu kwako..Lisu amekuwa hakipigania wanyonge, Lisu hajawai kuchukua rushwa, Lisu hajawahi hata mara moja kudhurumu haki ya mtu, Lisu hajawahi hata Maria moja kufisadi nchi hii kwa sina yeyote ile..

Kilichoponza Lisu ni kuongea kile anachoamini kitu ambacho ni haki yake kabisa, hivi hawa waliotaka kutoa uhai yake Lisu kama Lisu amewakosea nini??? Hivi ni kosa kusema kile ninachokiamini? Hivi ni kosa kuwa na maoni tofauti?? Mwenyezi Mungu aweke mikono yake juu yako Tundu..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom