Maxence Melo; Mtanzania anayeishi mbele ya wakati

Maxence Melo; Mtanzania anayeishi mbele ya wakati

Nilimweshimu sana Maxmello Mwaka 2005 ambapo alikataa Rushwa ya bilion 8 kutoka kwa ccm ili jamii forum ife iwe controled na serikali itakayoingia madarakani

Wakiongozwa na January Makamba na. Wakafeli hakika uzalendo Max ni wa ajabu sana

Love this forum nawapenda sana waanzilishi wa mtandao huu max na Mushi
Ulishuhudia mkuu au ulihadithiwa!!?
 
Nyuma ya JF ndugu Maxence Melo anapigana vita kali sana ili JF iendelee kubaki hewani na Watanzania waendelee kuogelea kwenye uhuru wa kupata habari!!!.....

Kwa JF kuwa tu hewani na Watanzania kupata habari ni kama vile Melo amejitoa muhanga kwa ajili ya umma wa Watanzania Kwani hili chukizo kuu kwa watawala wasiotaka kukubali ana na nyakati zilizopo na matendo yake!!!!....

Viva Jamiiforums

Viva Ndugu Maxence Melo

Viva wana Jamiiforums wote kwa namna moja au nyingine wanaoifanya JF kuwa chem chem na bubujiko la habari na maarifa mbali mbali

Hakika JF ni Home of Great Thinkers
Sure
 
Kwanza Melo tuakikishie bwana, umeshakubaliana kututaja wa jf tukiitajika centero? .pili Ukiwa bado mona, kwanini mnafuta Uzi za watu humu?. Sasa ni kama we are not dare to talk Free. Tueleze ukweli tafadhali.
Kule jukwaa za kenya awafuti Uzi wa mtu.
 
Huyu ni mtu aliyetuanzishia forum hii na kufanya vema kama ilivyokuwa wikileaks ya majuu, hii tunaitambua JF kama Swahili Wikileaks,

Kwa haraka haraka huwezi ona umuhimu wake mpaka pale inapizimwa zimwa serikali ndo unahisi kumiss jambo muhim na la msimgi,

Mara zote namuangalia huyu mtu kama mtu anayeona mbele sana , anaona mbele sana kabla ya muda kufika aliona kwamba kuna mda tutataka kukosoa yaliyojificha ndani ya sserikali n.a. akaanzisha Swahili Wikileaks

Pongezi kwako Mr Maxence Melo

View attachment 862706
Kulikuwa na forums zingine kabla ya hii ni kwamba jazikusavaivu ndio watu wakaja huku.
Sioni kipya.
 
Tanzania is a deadland hakuna chochote kinachostawi
najiuliza kwanini Melo siyo tajiri? kama waanzilishi wengine wa mitandao ya kijamii?
1544804185232.png

1544804441326.png
 
Maxence Melo; Mtanzania anayeishi mbele ya wakati
 
Mwanadamu mwenye mapungufu hawezi kuunda kitu kikamilifu.....lakini maoni na ushauri wa wadau kama wewe ndio wanaosababisha maboresho ya Jukwaa letu.....

Tusiiishie kulalamika bali kuyaanisha hayo mapungufu ili wahusika wayafanyie kazi na kuifanya JF kuwa sehemu sahihi kwa watu sahihi!!!!
Tunapenda sana kulalamika
 
SI KWELI MWANADAMU ANAUMBA KITU KAMILI BILA MAPUNGUFU KWA SABABU YEYE NI MUNGU.( kwa mujibu wa Biblia)
TATIZO LINAKUJA ANAPOKUJA MUNGU MTU MWINGINE NA KUUMBA UPYA NDO ATAONA YEYE KM YEYE KUWA KUNA MAPUNGUFU.

KWA SABABU NA YEYE ANAKUJA KUUMBA NA UUMBAJI WAKE.
 
Max ni genius hasa ni vile Tanzania hatuna kasumba ya kukubali vya kwetu. Anajua vitu vingi sana na ni mwalimu mzuri sana kama ukiipata bahati ya kufundishwa nae.
 
Max ni genius hasa ni vile Tanzania hatuna kasumba ya kukubali vya kwetu. Anajua vitu vingi sana na ni mwalimu mzuri sana kama ukiipata bahati ya kufundishwa nae.

Sema alichokufundisha tukipime, mimi ninamuona kama tech entrepreneur na pro democracy activist, bado sijauona u genius wake...msije mkaniambia kufungua JF ni u genius
 
Back
Top Bottom