britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,165
- 47,867
- Thread starter
- #21
HakikaUko sawa kabisa .. kupitia mtandao huu nimejifunza mengi sana na kikubwa zaidi nimefahamiana na wengi. .
HakikaUko sawa kabisa .. kupitia mtandao huu nimejifunza mengi sana na kikubwa zaidi nimefahamiana na wengi. .
Rekebisha kwanza mapungufu yaliyo kwenye post yako hii kisha ndio uyaone mapungufu ya wenzako Kibwengo Wahed.Kuna mapungu mengi humu, mwambieni aya rekebishe. Mkimsifia sana atajisahau.
Long live jf
Nimevutiwa na user name yako.Acha kumlamba miguu
Haika ilo kaliweza sanaKuna siku niligindua huyu jamaa pia anajukumu kubwa Sana la kulinda uslama wa watumiaji wa mtandao wake,anajitahidi kulingana na uwezo aliojaaliwa kufanya hvo
HahaYap!
Mie Maxence Melo ni mmoja kati ya ma-Boss ambao kwangu ni wa muhimu nyakati zote.
Haijalishi ana mapungufu gani....ila kwangu namuona yuko sahihi wakati wote.
Viva Jamii Forums
Viva Maxence Melo
Viva Moderates japo samtaim mnakuwa mwiba kwa wasiowaelewa
Asante,
Madame B,
Mdau yakinifu kutoka Jamii Forums hasa JLW.
NB:
Maxence Melo & Co, tunaomba kitufe cha Dislike.
Anzisha yako ili nawe tukufuate. Sisi wengine JF mpaka liamba.Kuna mapungu mengi humu, mwambieni aya rekebishe. Mkimsifia sana atajisahau.
Long live jf
Hata kwenye Google search engine kama hujatengeneza "intelligent query", utapata tabu sana kusearch for info mkuu!!!Kusearch uzi ni mtihani kama hukumbuki heading vizuri
Mara zote namuangalia huyu mtu kama mtu anayeona mbele sana , anaona mbele sana kabla ya muda kufika aliona kwamba kuna mda tutataka kukosoa yaliyojificha ndani ya sserikali n.a. akaanzisha Swahili Wikileaks