Maxence Melo; Mtanzania anayeishi mbele ya wakati

Maxence Melo; Mtanzania anayeishi mbele ya wakati

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,063
Reaction score
47,048
Huyu ni mtu aliyetuanzishia forum hii na kufanya vema kama ilivyokuwa wikileaks ya majuu, hii tunaitambua JF kama Swahili Wikileaks,

Kwa haraka haraka huwezi ona umuhimu wake mpaka pale inapizimwa zimwa serikali ndo unahisi kumiss jambo muhim na la msimgi,

Mara zote namuangalia huyu mtu kama mtu anayeona mbele sana , anaona mbele sana kabla ya muda kufika aliona kwamba kuna mda tutataka kukosoa yaliyojificha ndani ya sserikali n.a. akaanzisha Swahili Wikileaks

Pongezi kwako Mr Maxence Melo

MD.PNG
 
Nyuma ya JF ndugu Maxence Melo anapigana vita kali sana ili JF iendelee kubaki hewani na Watanzania waendelee kuogelea kwenye uhuru wa kupata habari!!!.....

Kwa JF kuwa tu hewani na Watanzania kupata habari ni kama vile Melo amejitoa muhanga kwa ajili ya umma wa Watanzania Kwani hili chukizo kuu kwa watawala wasiotaka kukubali ana na nyakati zilizopo na matendo yake!!!!....

Viva Jamiiforums

Viva Ndugu Maxence Melo

Viva wana Jamiiforums wote kwa namna moja au nyingine wanaoifanya JF kuwa chem chem na bubujiko la habari na maarifa mbali mbali

Hakika JF ni Home of Great Thinkers
 
Kuna mapungu mengi humu, mwambieni aya rekebishe. Mkimsifia sana atajisahau.

Long live jf
Mwanadamu mwenye mapungufu hawezi kuunda kitu kikamilifu.....lakini maoni na ushauri wa wadau kama wewe ndio wanaosababisha maboresho ya Jukwaa letu.....

Tusiiishie kulalamika bali kuyaanisha hayo mapungufu ili wahusika wayafanyie kazi na kuifanya JF kuwa sehemu sahihi kwa watu sahihi!!!!
 
Kusearch uzi ni mtihani kama hukumbuki heading vizuri
 
Kutukana haturuhusiwi kikanuni, sasa hata kitufe cha dislike hawataki kukiweka ni ngumu kuwaelewa.
Kuna wakati hatutaki kubishana na vilaza waliochenjuliwa akili na crusher la mapinduzi!! Tunatamani kutupia "dislike" wajikute wanachangiana mazezeta watupu.
 
Nyuma ya JF ndugu Maxence Melo anapigana vita kali sana ili JF iendelee kubaki hewani na Watanzania waendelee kuogelea kwenye uhuru wa kupata habari!!!.....

Kwa JF kuwa tu hewani na Watanzania kupata habari ni kama vile Melo amejitoa muhanga kwa ajili ya umma wa Watanzania Kwani hili chukizo kuu kwa watawala wasiotaka kukubali ana na nyakati zilizopo na matendo yake!!!!....

Viva Jamiiforums

Viva Ndugu Maxence Melo

Viva wana Jamii kwa namna au nyingine wanao fanya JF kuwa chem chem na bubujiko la habari na maarifa mbali mbali

Hakika JF ni Home of Great Thinkers
Yap!
Mie Maxence Melo ni mmoja kati ya ma-Boss ambao kwangu ni wa muhimu nyakati zote.
Haijalishi ana mapungufu gani....ila kwangu namuona yuko sahihi wakati wote.

Viva Jamii Forums
Viva Maxence Melo
Viva Moderates japo samtaim mnakuwa mwiba kwa wasiowaelewa

Asante,
Madame B,
Mdau yakinifu kutoka Jamii Forums hasa JLW.

NB:
Maxence Melo & Co, tunaomba kitufe cha Dislike.
 
Kutukana haturuhusiwi kikanuni, sasa hata kitufe cha dislike hawataki kukiweka ni ngumu kuwaelewa.
Kuna wakati hatutaki kubishana na vilaza waliochenjuliwa akili na crusher la mapinduzi!! Tunatamani kutupia "dislike" wajikute wanachangiana mazezeta watupu.
uwepo wa werevu na wajanja unatokana na mazezeta na wajinga!!!....
 
Melo na Mushi na timu yote ya Jf chapeni kazi,jambo la pili msimsahau Pascal Mayalla ni mtu muhimu sana mtupieni ka ulaji angalao John mtembezi awe anasuuza koo.
 
Melo na Mushi na timu yote ya Jf chapeni kazi,jambo la pili msimsahau Pascal Mayalla ni mtu muhimu sana mtupieni ka ulaji angalao John mtembezi awe anasuuza koo.
Sure
 
Back
Top Bottom