A BK man from Bwiru Boys Tech.Usimharibie mwenzako Mkuu, ilitakiwa uanze kuwasifia baadhi ya watu kabla yake for his existence
Mm milion moja tuu ningewauza nyie wooteeNilimweshimu sana Maxmello Mwaka 2005 ambapo alikataa Rushwa ya bilion 8 kutoka kwa ccm ili jamii forum ife iwe controled na serikali itakayoingia madarakani
Wakiongozwa na January Makamba na. Wakafeli hakika uzalendo Max ni wa ajabu sana
Love this forum nawapenda sana waanzilishi wa mtandao huu max na Mushi
Wataje hao watu basi acha gubu kama mke mwenza.Usimharibie mwenzako Mkuu, ilitakiwa uanze kuwasifia baadhi ya watu kabla yake for his existence
Bun ndio kitu gani hiki? Mjinga akinyamaza uhesabiwa hekima.Njaa au nn mbona mnamsifia sana toeni changamoto pia maana kila mtu mnataka kusifia ili usipigwe bun au
Si kila mtu anavalue for money, ina maana uwauze watu kwa million moja unafahamu host wa server ya JF Marekani analipwa dola ngapi kwa mwezi?Mm milion moja tuu ningewauza nyie wootee
Wataje hao watu basi acha gubu kama mke mwenza.
DuhNilimweshimu sana Maxmello Mwaka 2005 ambapo alikataa Rushwa ya bilion 8 kutoka kwa ccm ili jamii forum ife iwe controled na serikali itakayoingia madarakani
Wakiongozwa na January Makamba na. Wakafeli hakika uzalendo Max ni wa ajabu sana
Love this forum nawapenda sana waanzilishi wa mtandao huu max na Mushi
HAHa we mjinga sanaHuyo ndo Max Melo pichani ? Brother needs some food kwanza.
Heheheh aiseeeHivi jf inajiendesha kwa faida?
Baada ya swali hill na Mimi ngoja nimpongeze maxence mello kwa kuwafanya wengi tujione na sisi ni wasomi au great thinker kama walivyo wengine humu wakati tulifeli shule zaaamani.
Hekuma ndio kitu gani acha woga kusifia sifia tu pasipo na sababu umekimbia kuandika haraka angalia sasa ulivyo chambaBun ndio kitu gani hiki? Mjinga akinyamaza uhesabiwa hekuma.
Falla wewe huna hata uwezo wa kuinstall window ndio unambeza Computer Engineer unapata wapi guts hizo kenge wewe? Falla sana wewe.Hekuma ndio kitu gani acha woga kusifia sifia tu pasipo na sababu umekimbia kuandika haraka angalia sasa ulivyo chamba
Utaishi kitumwa maisha yako yote kuogopa sijui huyu nan tulia kungu manga ww mtoto wa kimombasa kelele nyingi acha uoga ww kuku kishingoFalla wewe huna hata uwezo wa kuinstall window ndio unambeza Computer Engineer unapata wapi guts hizo kenge wewe? Falla sana wewe.
wabongo tunajua kujipendekeza. kuna mpambe mmoja wa boss wetu. alitamka maneno isee ilikumsifia bosi akasema baada ya mungu ni yeye nilicheka mpaka nikadodokambele ya wakati?