Mawazo yangu huru juu ya Taifa letu; Tusibeze mbele ya Mungu wangu halazimishwi mtu

Mawazo yangu huru juu ya Taifa letu; Tusibeze mbele ya Mungu wangu halazimishwi mtu

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,301
Reaction score
12,952
Wakuu leo sina mengi ila amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja wetu katika haki na usawa.

Rejea mada tajwa hapo juu,

Taifa hili letu wote na ndo sie wa kuliponya au kulipa majeraha, hivyo nimeona ni vyema shauri yafuatayo na sio lazima kukubaliana nayo.

1. Uchaguzi usitishwe Rais aliepo asimamie mambo ya msingi kuleta Taifa pamoja ,hii inaendana na kuleta katiba huru, kuachana na kesi za visasi kwa wanasiasa na wasio wanasiasa hata kwa miaka miwili mbele huko, lengo taifa liwe moja.

2 . Kuunda task Forse ya kitaifa ili kuchunguza ndugu na jamaa waliotoweka na wahusika fikishwa kwenye vyombo vya sheria.

3. Pawepo na mjadala mpana wa wananchi ili kuhusishwa moja kwa moja nchi yetu iongozwe katika utaratibu gani .

Hii teka , poteza haitupeleki popote bali tunaenda angamiza taifa letu wenyewe, hakuna afya kwa Taifa asema Bwana

Thanks
 
Sidhani watachukua huu Ushauri.
Wakawe majobless?
 
Sidhani watachukua huu Ushauri.
Wakawe majobless?
Kazi ikikamilika toka kwa Bwana imeisha ,sie hatuna makanisa ,hatuokei sadaka yoyote , tunaishi maisha Bwana amependezwa nayo ,kazi ni moja kufikisha ujumbe kwa watawala basi.

Leo wengine tukahamua kuwa matapeli na miujiza mbona kesho tunamiliki uchumi mkubwa sana, Mungu hajaruhusu kwetu tuwe na makanisa ila ameamua kututumia kama chombo tu ,may be mda ukifika na sisi ataamua ila bado sana kuwa mbele ya watu atasema , na hatuitaji kuwa mbele za watu bali yeye tu alie hai.


Acha niendelee kutimiza matakwa yake Bwana ya Dunia hayana lolote hata ningekua t5 nyumbani au bank haina maana yoyote kama sina uhuru wa Roho
 
Serikali ya mpito iundwe na Samia aendelee mpaka katiba mpya itakapokamilika halafu ndio tuingie kwenye uchaguzi mkuu tukiwa na kati ba ya mfumo wa vyama vingi.
 
Back
Top Bottom