Mawazo yananiua!

Dah, bro. una huruma? Yaani umemhurumia kufukuzwa kazi, ukamhurumia kutimliwa pa kulala na hivo ukamkodishia chumba kwenye gesti, ulipomlala ukaenda mbaaali zaidi kwa kumhurumia asiumizwe na kondom, hivo ukavua kondom! Lol, wewe ndo basi tena, hebu shika kifuani ucheki kama mapigo ya moyo yapo? Au ndo ushakufa tayari! Hatareee....
 
Nakushauri tu.. Kama una mali zozote anza kuanduka wosia mapema ukiwa na nguvu zako.
 
So kwa sababu mwanamke ni barmaid basi ndo ana aids, uti, kaswende?? When will u guys start to see people as human first and not their jobs. Mbona wengine wanawake wanafanya kazi benki ama big cartels etc na wanamegwa chooni hadi kwenye elevators. Yes, i said it!!!! Na hatujawahi ona used au pakiti ya condom kwenye elevator..
 
Utaki unaacha wake za watu ndio wanawake simple kubanduliwa kuliko kundi lingine la wanawake na hasa waajiliwa, lunch time watu wanamega kisela.

oooh,,,,sinza hapo????!???siwez kukubali wala kukataa coz sijathibitisha ulonambia,kuanzia j'3 ntapiga kambi sinza
 
Ahsante ndugu kwa kunitia nguvu. Let me assume hakua na maradhi yoyote yale. Mengine tumwachie Mungu.
 
Utaki unaacha wake za watu ndio wanawake simple kubanduliwa kuliko kundi lingine la wanawake na hasa waajiliwa, lunch time watu wanamega kisela.

ndio maana hutakim kuoa sababu na wewe huwa unabandua wake za watu lunch time sinza? yanini kufuga ng'omba bwana wkt maziwa unayapata kila siku
 
Ahsante ndugu kwa kunitia nguvu. Let me assume hakua na maradhi yoyote yale. Mengine tumwachie Mungu.

umefanya ngono zembe, afu una-assume hakuna maradhi? huruma imekuponza. nenda kapime
 
kaka pole kwa matatiz yaliyo kukuta!!

nakushauri uwahi pale bugando hospital ama hospitali yoyote ya rufaa, wakufanyie ''whole body ecreening'' ya afya yako!

sidhani kama angaza wanaweza fanya hii kazi!!

teh teh! nimetania mista...! kapime tu afya bana usije ukaparalaiz kwa mawazo wakati we mzima!
 
Last edited by a moderator:
kuna watu humu duniani wanajitengezea vimbunga wenyeweee!!.. halafu yakianza kumtokea puani...

 
ndio maana hutakim kuoa sababu na wewe huwa unabandua wake za watu lunch time sinza? yanini kufuga ng'omba bwana wkt maziwa unayapata kila siku

Hapana hujanielewa, nachukizwa na watu kupretend maisha utadhani watu waliopo hapa JF siyo sisi tunaoishi na jamii huko mitaani.

kwa mfano hii hadithi licha kwamba ni ya kutunga kuleta porojo jamvini je barmaid s unaowajuwa wewe anaweza kurudi kijijini kwao kwa sababu amefukuzwa na muajili wa awali? Bar zote hizi kama utitiri zinahitaji wanafanyakazi na hawapatikani kirahisi. Tuheshimu binadamu wenzetu.

Hivi ukiwa na dada yako hapo mtaani ana salon na frem moja kaweka vinywaji jioni anauza bia hivi huyu ni barmaid au mnamuitaje?
 
Jf kuna wanafiki sana humu,kwa hyo member wote humu mnafanyaga ngono salama? Na Matatiz peke ake ndio kafanya Ngono zembe??

Nyie tuombeane mwisho mwema tu,Madudu tunayo jilipuga Mioyo yetu ndio inabaki na Siri.

Tena ni bora kumgegeda muhudum wa bar,unakua na tahadhali kubwa,siunaona hata mtoa mada kasema baada ya kuona Condom inazingu waliivua wakapaka mafuta,, Hawa madada wa mtaani ndio balaa kubwa unakuta mmoja anamilikiwa na Mwanaume zaidi ya Mmoja hakuna Ngono salama tena hapo.
 
Fiksi tu hizi...

Ingawaje hadithi yako inawakumbusha watu waume kwa wake kuwa makini na mienendo yao...
 
Pole sana ndio maana huwa wanasisitiza unywaji uliopitiliza ni hatari kwa afya yako nakushauri kapime uache kuishi kwa wasiwasi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…