Mawazo wanaJF

Sasa shida iko wapi? kwani usha muo? au mmepanga kuoana? sasa kama hujamwambia chochote cha future na akatokea mtu akasema naye, we unataka asubiri nini, kwani uko mwanza ndo wamekwisha? kama vipi nenda kwao katoe kishika uchumba alafu akileta kama hizo njoo hapa tuambie. mimi niko arusha nitakusaidia. Sorry. Sijauliza umri wenu, kama bado wadogo mkome kabisa na hayo mambo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom