Mawaziri Wataotemwa Hawa Hapa.

Tuweke majungu kando, hivi Vicky Kamata hana uwezo wa uongozi? Huyu inasmekana anamasters degree. Tatizo liko wapi? Anafanana na Sugu?

degree na uongozi vinaingilianaje? kama ana master basi apewe urais kwani anamzidi huyo atakayemteua.
 
What...!!? madudu hayoo Vicky Kamata JK atampa waziri wa Fedha na Uchumi,si maajabu in TZ, narudia tena CCM always they put VERYYYYY WRONG PEOPLE IN POSITION,
subiri uone, madudu as usual.
 
degree na uongozi vinaingilianaje? kama ana master basi apewe urais kwani anamzidi huyo atakayemteua.
Angalizo zuri hilo lakini kigezo cha uongozi kwa watu wengi hapa JF imekuwa ni elimu. Ukiondoa elimu, ni kitu gani kinamfanya Vicky Kamata asiqualify kwenye uongozi?
 
Back
Top Bottom