Mawaziri Wataotemwa Hawa Hapa.

sasa je ,ungekuwa wewe ungemuacha demu wako ?
Hata ningekuwa mimi nisingemuacha, ndio mtindo wa siku hizi,wachota maji, huchotea kwenye ndoo na kidumu ila kwa kawaida kidumu huwa kimoja hivyo ni rahisi kukibeba na ndoo, tatizo linakuja pale kwenye kidumu zaidi ya kimoja, utavibeba vingapi?. Hata hicho kidumu kimoja nacho lazima kibebeke, kama hakina kishikio, hata ukikibeba hakibebeki.
 
No matter how good one is, ukishakataliwa na wananchi you are done. JK akiwabeba kwa mbeleko ya vile viti vyake, mbeleko hiyo itageuka sanda kwenye kaburi la CCM 2015

Pasco,

Kukataliwa kwa Batilda ni tofauti hivyo bado naamini atabebwa. Batilda hakuwa mbunge wa Arusha na alikuwa anagombea mara ya kwanza.

Kukataliwa ambako inakuwa ngumu kubebwa ni kama kule kwa Masha, Marmo, Kamala na wengine ambao walikuwa wabunge wa majimbo hayo na wananchi wao wamesema hapana.

Batilda amejitahidi kwa kuacha viti maalum ambavyo angepita bila matatizo na kwenda kwenye siasa za matusi na ugomvi kibao kwenye jimbo. Hata kama ameshindwa hatakiwi kuadhibiwa kwa hilo. Yeye ni bora zaidi ya akina Simba ambao bila aibu waliamua kusubiri vya kupewa.
 
Mkwere kwenye kampeni yake kesha sema kuwa safari hii tutafanya kweli hakuna mchezo; anataka kuacha legacy kwa waTanzania waje wamkumbuke juu ya madudu yote yaliyotokea wakati wa term yake ya kwanza!! Ngojeni muone viroja atakavyofanya kwenye cabinet yake!!
 
Mie nadhani bwana Kamala atatoswa, Nchimbi pia na Vicky Kamata atakuwa Naibu waziri wa Afya na maendeleo ya jamii
 
Nashauri amrudishe Magufuli wizara ya Miundombinu, JK ktk kampeni ameahidi vitu vingi sana vinavyohusiana na miundombinu maeneo mbalimbali aliokopita, anahitaji mtu makini kumsaidia kujenga miundombinu
 
JK ni mzee wa ku-take easy,hawezi kujali mawazo ya wengi.
Atasikiliza mafisadi wake wanasemaje?RA & the Company!!
 
Bado muda mchache tutaambiwa the country is experiencing dictatorship rule![/QUOTE]

Kuna udictatorship ndani ya regime ya Kikwete upo, kutuma na kufadhili vyama vikijifanya upinzani kumbe ni mamluki(TLP- Dovutwa) nao ni style ya udikiteta, Mobutu aliitumia sana hii bila kusahau disarming of potential threats kama alivyofanya kwa Sita
 
Ingawa mpaka sasa ni tetesi tu lakini I have it from a pretty reliable source kwamba Mheshimiwa Mizengo Pinda anaweza kupumzishwa kutokana na ushauri wa daktari. Yangu mancho
 
Pasco,
Kukataliwa kwa Batilda nitofauti hivyo bado naamini atabebwa. Batilda hakuwa mbunge wa Arusha na alikuwa anagombea mara ya kwanza.

Kukataliwa ambako inakuwa ngumu kubebwa ni kama kule kwa Masha, Marmo, Kamala na wengine ambao walikuwa wabunge wa majimbo hayo na wananchi wao wamesema hapana.

Batilda amejitahidi kwa kuacha viti maalum ambavyo angepita bila matatizo na kwenda kwenye siasa za matusi na ugomvi kibao kwenye jimbo. Hata kama ameshindwa hatakiwi kuadhibiwa kwa hilo. Yeye ni bora zaidi ya akina Simba ambao bila aibu waliamua kusubiri vya kupewa.
Mtanzania, nakubaliana na wewe kuwa Batilda ni mpiganaji. Wananchi wakishasema hapana, wewe ukilazimisha ni kuwatukana.

Kutokuingia kwenye cabinet yake, kunamaanisha bado anaweza kumteua kwenye position nyingine yoyote ya uteuzi, kuanzia RC, DC, balozi, m/k wa bodi etc, uwaziri no.
 
Unataka kunambia hadi Vicky Kamata naye atapewa wizara?
Lakini jamaa hashindwi yule.
Tuweke majungu kando, hivi Vicky Kamata hana uwezo wa uongozi? Huyu inasmekana anamasters degree. Tatizo liko wapi? Anafanana na Sugu?
 
1. Rostam Aziz
2. Lowasa
3. L-Masha

Lazima wawepo JK Hana cha kupoteza au kujutia kwa hilo he left nothing behind to lose kama ni second election is done
 
Sofie Chui hawezi temwa, akimtema nani atakuwa anamchekesha mkulu? au hamjui kuwa mkulu huwa anapenda sana swaga na umbea wa huyu kiumbe?
 
Hata ningekuwa mimi nisingemuacha, ndio mtindo wa siku hizi,wachota maji, huchotea kwenye ndoo na kidumu ila kwa kawaida kidumu huwa kimoja hivyo ni rahisi kukibeba na ndoo, tatizo linakuja pale kwenye kidumu zaidi ya kimoja, utavibeba vingapi?. Hata hicho kidumu kimoja nacho lazima kibebeke, kama hakina kishikio, hata ukikibeba hakibebeki.

Falsafa ya ndani kabisa hii Pasco, nimekupata vizuri sana.
 
Back
Top Bottom