Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Wale mawaziri waliotakiwa kujiuzulu yasemekana wameamua kujiuzulu so as wasimuweke waziri mkuu pabaya.taarifa rasmi itatolewa na waziri mkuu baada saa saba mchana..,zakia maige,lazaro nyarandu,chami,haji mponda,ngeleja,omari nuno.mukulo.
 
Wabunge wote wa CCM ni wavivu wa kufikiri.....nitafafanua....!!

Naamini wote wanajua kuwa tatizo kubwa katika nchi hii siyo mawaziri wala PM....The problem is JK mwenyewe. Na wanajua kuwa JK keshawafanyizia mara kibao, na kuwasababishia matatizo makubwa kwa wapiga kura wao. Kwa nini hawataki kujivika mask na kumaliza kazi once and for ever??

Wabunge wa CCM hawana ujasiri kufanya tukio la kihistoria kama hilo ndugu yangu...ndiyo maana wanakimbizana na kuziba matundu kwenye paa ambalo limeshatoboka kila mahali...!!

I wish they had something in their heads and some courage in their hearts!!

sasa PM anarudisha pasi nyuma tena. Eti anamsubiri baba Riz aje aamue. Mimi hapa hua sielewi Raisi anaingia wapi, waziri tumemkabidhi wizara atuendeshee, CAG na kamati ya bunge wamemsaidia kubaini uozo katika wizara yake, na nia njema kabisa ripoti hizo chafu ziliwasilishwa serekalini zaidi ya mwezi mmoja kabla ya kusomwa juzi bungeni. Cha ajabu mwezi woote huo serekali(Wizara) haikuwachukulia hatua yoyo watendaji wa wizara waliohusika na ubadhilifu huo. Sasa leo waziri unaambiwa uwajibike kwa ajili ya usimamizi mbovu wa wizara uliokabidhiwa unasema tumsubiri baba Riz.unataka aje afanye nini?
 
Kweli mkuu,

Nashangaa watu wanafurahia wakati wamepigwa changa la macho...Kwani katika CCM, ni nani anaweza kuongoza nchi hii kwa nafasi yoyote ile?

Wabunge wangetusaidia sana kama wangeweza kupunguza muda badala ya kusubiri 2015; kwa sababu tunapoteza muda bure na jamaa wanaendelea kujikusanyia kama vile wanachota mchanga wa pwani!!

Watanzania wameshindwa kuichukua nafasi hii kudai kile wanachokita.
Sidhani kama wanachokita Watanzania ni kujiuzulu kwa mawaziri nane.
Lakini habari ya kujiuzulu kwa mawaziri nane inawafanya Watanzania so excited mpaka wamesahau kila kitu.
Ni kama vile hao mawaziri wapya nane watakaokuja wata solve kila kitu.
Huwezi kusema gari bovu sana liko fit kwa kubadilisha taa za mbele.
 
kama ccm wakifanya hivyo watastablize their political situation ingekuwa a win to cdm kama mps wa ccm wangesuport their fellows on front bench. credit to zito n cdm u hv grown firmly in politics to the extent u prefered the in house failure to the boom success kwa wananchi kujenga mtaji 2015. you are smarter than i thought kwa kuwa sharp kutumia fursa on time hopeful next time mtasucceed it wz nt a wrong step as u tweeted
 
sasa PM anarudisha pasi nyuma tena. Eti anamsubiri baba Riz aje aamue. Mimi hapa hua sielewi Raisi anaingia wapi, waziri tumemkabidhi wizara atuendeshee, CAG na kamati ya bunge wamemsaidia kubaini uozo katika wizara yake, na nia njema kabisa ripoti hizo chafu ziliwasilishwa serekalini zaidi ya mwezi mmoja kabla ya kusomwa juzi bungeni. Cha ajabu mwezi woote huo serekali(Wizara) haikuwachukulia hatua yoyo watendaji wa wizara waliohusika na ubadhilifu huo. Sasa leo waziri unaambiwa uwajibike kwa ajili ya usimamizi mbovu wa wizara uliokabidhiwa unasema tumsubiri baba Riz.unataka aje afanye nini?

Ndugu yangu,

Kuwaondoa mawaziri ni kuwaonea bure...tatizo ni kubwa sana kuliko hawa mawaziri.

Naomba uwe shahidi wangu, ripoti ya CAG mwakani itakuwa baya sana kuliko hata hii!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Watanzania wameshindwa kuichukua nafasi hii kudai kile wanachokita.
Sidhani kama wanachokita Watanzania ni kujiuzulu kwa mawaziri nane.
Lakini habari ya kujiuzulu kwa mawaziri nane inawafanya Watanzania so excited mpaka wamesahau kila kitu.
Ni kama vile hao mawaziri wapya nane watakaokuja wata solve kila kitu.
Huwezi kusema gari bovu sana liko fit kwa kubadilisha taa za mbele.

Katika hii issue, nitawashangaa sana watanzania, kwa kuanzia na wabunge wa CCM.

Hivi kama hawajui kusoma, hata kuangalia picha wanashindwa?

JK kawakaanga wabunge mara kibao....kama watakubali kuipoteza nafasi hii basi wataijutia maisha yao yote!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Pamoja na hao mawaziri kuondoka hoja ha kutokuwa na imani na Waziri Mkuu iwepo pale pale.
Sijawahi kuona Waziri Mkuu wa aina hii. Alitakiwa yeye aweza wa kwanza kuondoka.
Waziri Mkuu amepewa madaraka lakini anashindwa kufanya maamuzi magumu. Hatufai huyu.
Na Waziri Mkuu akijiuzuru / akiondoka waamie kwa Spika wa Bunge....

How I wish wangeweza kumuondoa the Gaffer mwenyewe..(lakini not in Africa especially in Tanzania)
 
As for me list ya kujiuzuru ingekuwa hivi.
1. Ngeleja. 2. Kawambwa. 3. Hawa Ghasia 4. Sophia Simba. 5. Mkulo. 6. Nundu 7. Mponda. 8. Lukuvi. 9. Mkuchika. At least roho yangu ingesuuzika. But hao wa 4 haitoshi.
Technically hata hao wameshaondolewa, maana baada ya kujiuzuru hao Mh. rais atalazimika kutangaza baraza lote la mawaziri kwa hiyo basi usishange wote hao hawapo kwenye baraza jipya. Hii ni nafasi pekee kwa JK kufanya marekebisho ya baraza lake lote.
 
Ndugu yangu,

Kuwaondoa mawaziri ni kuwaonea bure...tatizo ni kubwa sana kuliko hawa mawaziri.

Naomba uwe shahidi wangu, ripoti ya CAG mwakani itakuwa baya sana kuliko hata hii!!
ni hatua moja muhimu imetusogeza ktk uwajibikaji! Najua makatibu wakuu wa wizara,wakurugenzi na wakuu wa taasisi ambazo zimetuhumiwa kutafuna pesa za umma nao watafuata! Hawa jamaa washitakiwe mahakamani kwa uzembe wa kushindwa kulinda mali ya umma na uhujumu uchumi! Adhabu mojawapo naomba wahukumiwe kuchapwa viboko!
 
Kweli mkuu,

Nashangaa watu wanafurahia wakati wamepigwa changa la macho...Kwani katika CCM, ni nani anaweza kuongoza nchi hii kwa nafasi yoyote ile?

Wabunge wangetusaidia sana kama wangeweza kupunguza muda badala ya kusubiri 2015; kwa sababu tunapoteza muda bure na jamaa wanaendelea kujikusanyia kama vile wanachota mchanga wa pwani!!

Kila jambo na wakati wake na hatua zake "Hatembei bila kutambaa" CDM walianza ukombozi na wabunge watano sasa 48 matukio ya Kiukombozi yakiongezeka. Dark City kila nyakati na matukio yake hilo nalo laja kwa wakati wake. Mungu si wa CCM bali ni wa UMMA wa wanyonge wenye kutaka haki CDM!!!! Nguvu ya UMMA ni Kubwa na siku zote INASHINDA. Tutashinda!!!!
 
Zitto, msimamo wetu uko palepale-kutokuwa na imani na PM. Hili la mawziri 8 kung'olewa si letu japo mwanzilishi ni wewe. Sisi lengo letu ni baraza zima la mawaziri
 
Last edited by a moderator:
[h=3]Breaking News mawaziri nane waachia ngazi[/h]

[h=3][/h][h=3]
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
[/h]Habari tulizopokea toka kwa ripota wetu toka Dodoma ni kwamba Tanzania imeanza kukomaa ambapo mawaziri nane wameachia ngazi baada ya wabunge kuwatolea uvivu. Ingawa habari hii hajathibitika toka serikalini, wanaotajwa ni Omar Nundu (Uchukuzi), William Ngeleja (Nishati na Madini) , Dk. Haji Mponda (Afya), Jumanne Maghembe ( Kilimo Chakula na Ushurika) , George Mkuchika (Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Cyril Chami (Viwanda na Biashara), Mustafa Mkulo (Fedha) na Ezekiel Maige (Maliasili na Utalii).

dosama, una faidi nini kuwatetea mafisadi?
Unapaswa kutoa heko kwa chama cha chadema na Mh. Zitto kwa kuwa fedha za umma hazitaibiwa tena na hawa mafisadi
 
Last edited by a moderator:
Hivi wakishajiuzulu hawa mtaridhika? au mtasema "angalau tumeanza mahali" na hivyo kuonesha kuwa mmesahau kabisayaliyiotokea 2008 au ya kina Kiula miaka kadhaa nyuma?
I know the importance is to win the war and not the battles, but remember you cant win a war without winning any battle.., of course inabidi kuanzia mahali, its not enough lakini atleast Ngereja is gone and these prima donnas will know even their swaiba sometimes can not help them (labda sasa awapeleke ubalozi wa Afghanistan)
 
Tanzania Tanzaniaaa!
Nakupenda kwa moyo woteee
Nchi yangu Tanzaniaaa
Jina lako ni tamu sanaa
Nilalapo nakuota weweeee
Ni amkapo ni heri mama weeee!
 
ni hatua moja muhimu imetusogeza ktk uwajibikaji! Najua makatibu wakuu wa wizara,wakurugenzi na wakuu wa taasisi ambazo zimetuhumiwa kutafuna pesa za umma nao watafuata! Hawa jamaa washitakiwe mahakamani kwa uzembe wa kushindwa kulinda mali ya umma na uhujumu uchumi! Adhabu mojawapo naomba wahukumiwe kuchapwa viboko!

Ndugu yangu,

Kwani kuna waziri hata mmoja ambaye issue zake ndo kwanza zinatajwa? Kama hawa watu wamenyoshewa vidole kwa muda mrefu halafu Boss wao akawalinda, sasa DPP wa kuwafungulia mashtaka atatoka wapi?

Halafu unadhani ni mtu gani atapewa wizara zao na kuziendesha kwa ufanisi hata wa 50%??

May be unadhani January Makamba ataimudu wizara ya Ngeleja!!??
 
Kila jambo na wakati wake na hatua zake "Hatembei bila kutambaa" CDM walianza ukombozi na wabunge watano sasa 48 matukio ya Kiukombozi yakiongezeka. Dark City kila nyakati na matukio yake hilo nalo laja kwa wakati wake. Mungu si wa CCM bali ni wa UMMA wa wanyonge wenye kutaka haki CDM!!!! Nguvu ya UMMA ni Kubwa na siku zote INASHINDA. Tutashinda!!!!

Ila kama opportunity imejitokeza kwa nini tunaitosa?

Unadhani wakisimama na ku-hold the bull by its horns watashindwa??
 
tanzania tanzaniaaaaaa
Nakupenda kwa moyo woteeeeee
nchi yangu tanzaniaaaaaaaaa
jina lako ni tamu sanaaaaaaa
Nilalapo nakuota weweeeeee
Niamkapo ni heri mama weeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom