Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

jamani pema usijapopema ukipema si pema tena!!!!!!!!!!!!!!Kuku akitaga kwenye nanasi sharti ampishe mwenye nanasi wakati wa mavuno hata kama anaatamia kwani wakati ukifika umefika!!!!!!!!!!!!Hawa mawaziri walikuwa wamepewa hifadhi na mzee wa brazil wakakosa uaminifu wa kuilinda kazi yao hata kama hawana sifa na nadhani taaluma yao ina mashaka,na licha ya kujiuzulu mamlaka hausika yapaswa kuchunguza vyeti vyao haraka iwezekanavyo na wasisingizie shinikizo lolote toka uongozi wa juu.Kama ni mbwai ni mbwai tu!!!!NA NIMEPATA TAARIFA (BREAKING NEWS) KWA VYOMBO VYA HABARI USIKU HUU KUWA NANE TAYARI WAMESHACHOMOKA KAMA MSHALE WA SUMU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Acha tuone timbwili asubuhi kwa mama mawigi na mimi walah nasema yeye ale dog, anywe ulanzi,komoni, hakatakalika mjegoni kesho!!!!!!!!!!!!
 
Sasa CDM waandae mkakati hawa majambazi wawezi kushtakiwa...
 
Big up movement for Change .
Mh. mdee alilianzisha kuwataka wabunge wasilalamike ila wafanye maamuzi . Kwani wanauwezo huo.
Lisu na Zitto wakapigia msumari.
 
Wadau wenzangu,mwenye taarifa kamili juu ya tetesi hizi aziweke manaa nimesikia toka clouds FM,tujuzane
 
Kwa kweli nisengewaelewa kama Ngeleja ngeleja angeachwa barazani. Big up wapambanaji.
.
 
Katibu wa PM anaingia ofisini sasa kuanza jukumu alilofuatiwa nyumbani kuja kulitekeleza hapa usiku huu ili kuandaa Taarifa itakayosomwa asubuhi na mtoto wa mkulima,

Na hiki ndicho kikosi kamili

Mkulo
Mponda
Nkya
Magembe
Nundu
Mkuchika
Chami
Maige
Ngeleja

Mkuu unaweza kuiunga katika ile thread ili kupunguza utitiri wa hizi INFO, Japo ile ya kwanza ilikuwa muhimu kusimama kama uzi unaojitegemea kuepusha usumbufu usio wa lazima kwa watanzania ambao sasa wanafungua JF kujua yanayojiri hapa DODOMA

Hakuna la ziada

ADIOS

 
HIYO NDIYO lAANA YA G. lEMA NA WATANZANIA KWA UJUMLA... PONGEZI ZA DHATI KWA VIONGOZI WOTE WA KAMBI YA UPINZANI INCLUDING ZITTO, ZBOWE, FILIKUNJOMBE, VICENT NYERERE ETC.

CHANGAMOTO
Kuna wabunge kama Filikunjombe aende upinzani mara moja maana badu Mwakyembe haikijaeleweka.
 
Siyo Kuyanyonga Tu Na kuchukua kila kitu walicho nacho mbona mawaziri wa kipindind cha Nyerere hawakuwa na mali
nyingi hivi hawa ni wezi hawafanyi kazi yoyote wanawaza wizi kila siku inawezekana hata vasco dagama naye
Ni mwizi mbona hajwahi kumfukuza mtu yeyote kati ya wezi wote hawa, anawatuma waibe ili atanue na vimodo,
 
Kamanda mi sijalala nilikuwa nasubiria hii habari hebu weka nyama kidogo eleza kwa kina kilichojiri dodoma kwenye cocus ya ccm
 
Pinda ni mzito kwa kila idara!
Mbona uwaziri mkuu ni nafasi ya utendaji anangoja amri ya nani huyu stooge?
Naanza kujiuliza nje ya Box kuwa alimpataje Tunu!

Pamoja na hao mawaziri kuondoka hoja ha kutokuwa na imani na Waziri Mkuu iwepo pale pale.
Sijawahi kuona Waziri Mkuu wa aina hii. Alitakiwa yeye aweza wa kwanza kuondoka.
Waziri Mkuu amepewa madaraka lakini anashindwa kufanya maamuzi magumu. Hatufai huyu.
 
Kumbe ccm wamewaita waandishi waandishi wa habari , halafu hawana substance...
Sasa bila kujijua wameongeza kubomoa tofali mojawapo katika himaya yao, na waandishi wamechukia!
CCM inajimaliza kwa kila upenyo inaopata, na kuongeza maadui kila ikiamka usingizini.


Hata mie nilipoona heti ni habari mpasuo (Breaking news), nikakaa mkao wa kula huku mimacho imetoka kama kibaka...

Nimeshangaa hadi mwisho sikujua yule mama kaongea kitu gani...
 
Oooooooooooooooh zito anatafuta cheap popularity yako wapi sasa?
 
Mvt4c sasa wakati muafaka kuwafikisha hawa mahakamaani tutafute ushahidi na wale wenye ushahidi wa mapema wasifike hata kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru wawe ndani hawa wajukuu wanazaliwaa wanaume wana miaka miwili wana nyonyo kama mabinti leo hii chami mngemwacha ningevua nguo humu ndani watoto wamelishwa tanbond imekwisha muda jamani yana tyre zimeua gari zetu azibalance hata ufanye wheel allignment jamani wapi hawa kwanini wajiuzulu tu na wasiwekwe ndani???whyy
 
Zitto tumwadabishe huyu mwenye kiburi aliechangia kuendele akuiba nikiamini alikuwa kwenye mgao hatuna mamlaka ya kutangaza kutokuwa na imani nae jamani
 
Pumbafu wewe unaujua mtutu wewe! au unafikiri ni sawa na ulimi wako huo, usiongee utumbo hapa eti mtutu waulize sudani au rwanda raia hawezi kuongea neno kama hilo.
 
Back
Top Bottom